Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na anadhihirisha yupo tayari kufanya lolote kwa ajili ya 2025
Ila pia nimeona mama sio mvumilivu. Alishamjibu Ndugai siku ile, angeachana nae tu
Ni kweli angempigia kimya. Ila shida ni kuwa maccm ni washenzi walikuwa wanamdharau huyu mamá Acha wavuruguane tuu bhanaNa anadhihirisha yupo tayari kufanya lolote kwa ajili ya 2025
Ila pia nimeona mama sio mvumilivu. Alishamjibu Ndugai siku ile, angeachana nae tu
Mimi na cheka shetan n vibaraka wake wanavyovuruganaKwa hotuba ya leo ya Samia kama Ndugai asipojiuzulu basi hana akili timamu na anatumikia tumbo lake tu. Samia amesema wazi kuwa kilichomsukuma Ndugai kupinga mikopo ni Uchaguzi Mkuu wa 2025. Aidha amesema wale wote wanasioweza kwenda pamoja na yeye katika kuwaletea wananchi maendeleo atawaondoa katika serikali ya ili wapate muda wa kutosha kujiandaa na uchaguzi wa 2025!
Ndungai anafikilia 2025 kutakuwapo kale kamchezo ka kupita bila kupingwa 🤣🤣Kwa hotuba ya leo ya Samia kama Ndugai asipojiuzulu basi hana akili timamu na anatumikia tumbo lake tu. Samia amesema wazi kuwa kilichomsukuma Ndugai kupinga mikopo ni Uchaguzi Mkuu wa 2025. Aidha amesema wale wote wanasioweza kwenda pamoja na yeye katika kuwaletea wananchi maendeleo atawaondoa katika serikali ya ili wapate muda wa kutosha kujiandaa na uchaguzi wa 2025!
Nimejikuta nachekaKwani nchi yetu imekuwa masikini tena.?
Both ndungai na Majaliwa wafanye chap kesho asubuhi watangaze kujiuzulu maana soon wataumbuka.Kwa kuwa mama kakorofishwa Ndugai aachie ngazi, angekuwa mwanaume labda angeendelea kukaza kuongoza Bunge, ila si kwa vijembe hivyo, na sasa wataendelea hadi mwenyewe ajichukie!
Ndugaye kama ana akili tangu jana ilibidi awepo hapa kwetu kibaigwaKwa hotuba ya leo ya Samia kama Ndugai asipojiuzulu basi hana akili timamu na anatumikia tumbo lake tu. Samia amesema wazi kuwa kilichomsukuma Ndugai kupinga mikopo ni Uchaguzi Mkuu wa 2025. Aidha amesema wale wote wanasioweza kwenda pamoja na yeye katika kuwaletea wananchi maendeleo atawaondoa katika serikali ya ili wapate muda wa kutosha kujiandaa na uchaguzi wa 2025!
Huyu ni mkongwe kwenye siasa wewe kama ulimuona wakati anaomba msamaha utagundua kabisaa hapa hakuna anaeomba kutoka moyoniNdugai tunakuomba uje na backup ya nguvu maana msamaha haujasaidia [emoji23][emoji23]
Mkuu hapo unadhani sukuma gang ndiyo wanaisha au wanapungua maana wapo wengi kama sisimiziUwiiiiiiiiiiiiiii!
Sukuma gang chaliiiiiii
Chato legacy chini!!!!!?!
Nyanengh'we!!
Kuna mtu ni kama amejaa kwenye kaamtego hivi bila kujua, akili ndefu inatumika hapa!! Baadae mtajua game inavyochezwa!!
Rais ni mwenyekiti wa chama atawatuma wabunge wapige kura ya kutokuwa na imani nae,,,spika ni mtu mdogo sana kwa nchi yetuNdugai alitakiwa kubaki na msimamo wake, kama kuvurugana wavurugane kila mmoja aoneshe makali kwa nafasi yake aliyopi
Mkumbuke tuu ndugai ni mwanasiasa mkongwe saaanaKuna mtu ni kama amejaa kwenye kaamtego hivi bila kujua, akili ndefu inatumika hapa!! Baadae mtajua game inavyochezwa!!
Jobo mpumbavu huwezi sema ile clip ni editing acha mama ampe za usoMwanzoni kabisa niliwasikia watu wakisema bunge ni dhaifu.
Spika kaongea kidogo tu watu wamemvaa tena.
Kwahiyo mnataka nini??
Halafu suala la Rais wa nchi kuendelea na hili suala la mikopo ni ufinyu wa akili.
Mtu ameshaomba radhi.
Yeye bado kashikilia bango.
Poor thinking capacity.
Hawezi kujiuzuru, sio mteule wa raisi. Labda tu CCM wamvue uanachama.Kwa hotuba ya leo ya Samia kama Ndugai asipojiuzulu basi hana akili timamu na anatumikia tumbo lake tu. Samia amesema wazi kuwa kilichomsukuma Ndugai kupinga mikopo ni Uchaguzi Mkuu wa 2025. Aidha amesema wale wote wanasioweza kwenda pamoja na yeye katika kuwaletea wananchi maendeleo atawaondoa katika serikali ya ili wapate muda wa kutosha kujiandaa na uchaguzi wa 2025!
Aliwekewa mtego yeye na kanasa vibaya,kajidhalilisha jana leo karushiwa kombora,angejua angekomaa tu hii ni zaidi ya aibuNdugai