Rais Samia anafanya kile ambacho wengi wenye akili tunataka afanye! Kwa hili anastahili pongezi

Hakuna hata watalii wakaokuja zaidi ya maigizo tupu, Zanzibar watalii wamejaa hakuna hata mbuga lakini wapo tu hakuna anayetumia nguvu kubwa kutangaza ni matumizi mabaya ya fedha za umma.
Coca cola na Pepsi zinanywewa kila siku duniani Ila kila siku wanatoa matangazo kujitangaza

Biashara ni matangazo
 
Muhimu ni kwamba kila awamu kuna watu wanapata nafasi ya kula mema ya nchi na wengine wanapigika, huo ndio ukweli hizi zengine kelele tu.
 
Muhimu ni kwamba kila awamu kuna watu wanapata nafasi ya kula mema ya nchi na wengine wanapigika, huo ndio ukweli hizi zengine kelele tu.
Shida yako unawaza mambo ya kula! Huwazi maendeleo ya nchi
 
Na films za vivutio mbalimbali zipo dunia nzima na mitandaoni zimejaa. Hawana jipya hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…