Rais Samia anafanya kile ambacho wengi wenye akili tunataka afanye! Kwa hili anastahili pongezi

Balozi wa Tanzania nchini Marekani anafanya kazi gani? Labda kama maza anafikiri Tanzania ni jimbo la Marekani na yeye ni gavana wa jimbo hilo.
Wakati Netanyahu na Kagame wanafanya Royal Tour na kwenda kuizindua Marekani ulikuwa darasa la ngapi?

Kama ulikuwa na akili kwa nini hukuuliza Kama kwa nini mabalozi wao hawakufanya?
 
Neno Royal ndiyo linakubabaisha?

Theme ilikuwa ileile tu haya mengine ni porojo na kula kodi zetu tu.

Halafu mmebebana washamba tu,mlitakiwa mtoe mpunga wa maana muwakutanishe Chris Rock na Will Smith pale Los Angeles kwenye tamasha lenu halafu nyie mnarudi nyumbani.

Mpaka sasa hiyo "Low you Tour" ingekuwa ina trend huko USA,watu wangeitafuta wenyewe.

Hao uliowataja kufanya vizuri,hakuna Rais hata mmoja aliyeenda "kuzurura" huko na battalion ya wanenguaji.
Tatizo lako ushamba tu
 
Kwa miaka mingi sana Tanzania tumekuwa tunalalamika jambo moja kuu, nalo ni kwamba, pamoja na kuwa na maliasili na utajiri mwingi ila nchi yetu hasa wananchi wamekuwa masikini sana!

Mjadala huu umezungumzwa na kipindi kirefu sana na moja ya sababu ambazo zimekuwa zikitolewa kwa Tanzania kuendelea kuwa masikini pamoja na kuwa na utajiri na Maliasili nyingi ni kwa sababu tumekuwa hatutumii utajiri wetu vizuri ikiwemo kuutangaza kwa dunia ili utunufaishe kiuchumi! Siku zote biashara ni Matangazo!

Kwenye hili suala napenda leo nikiri kuwa Rais Samia ameanza kulipatia majibu suala hili!

Kwa Bara la Afrika, nchi zinazoongoza kwa kupokea watalii wengi ni Morocco, Algeria, Misri na South Africa. Nchi hizi zinapokea watalii zaidi ya Mil 5 hadi Mil 10 kwa mwaka. Na kusema kweli hizi nchi utalii unazinufaisha sana! Kiuhalisia hizi ndo nchi zenye Uchumi mkubwa Afrika na ndo zinaongoza kwa kuwa na chumi imara na maisha bora kwa sehemu kubwa ya wananchi wake!

Ila kwa uhalisia, Kama umetembelea nchi hizi zinazoongoza kwa utalii Africa utagundua kuwa hazina kitu kikubwa kuizidi Tanzania na ukweli ni kuwa Tanzania ina vivutio vingi vya utalii kuzizidi nchi zote hizi.

Kwa South Africa tu! Watalii wengi hupenda kutembelea makumbusho ya Mandela, beach za Cape Town na Mbuga maarufu ya Kruger National Park.

Kiuhalisia Tanzania tuna makumbusho nzuri za freedom fighters wa kusini mwa Afrika zilizopo Bagamoyo, Morogoro na Mtwara na pia Makumbusho ya Mwalimu Nyerere ambae kwa sehemu kubwa anaheshimika sana duniani. Ukiuliza kwa nini hazifahamiki jibu ni moja tu! Hatujazitangaza vya kutosha duniani huko! Na huu ndo ukweli! Vitu vyetu vizuri hatuvitangazi !

Kwa Kruger National Park ya South Afrika Hii ni sawa na nusu au robo ya Mikumi National Park. Kwa idadi ya wanyama haifikii Serengeti au Selous hata kwa robo tu, Ila Leo hii duniani huko ni watu wachache sana wanaijua Selous. Pamoja na Serengeti na Ngorongoro kufahamika ila bado hatujazipa promo za kutosha duniani huko! Selous ambayo kiuhalisia ina wanyama wengi kuliko hata Serengeti haitembelewi hata na watalii 10000 tu kwa mwaka na sababu kuu ni kwamba hatujaitangaza na haijulikani! Kweli kwa muda mrefu tumekuwa kichwa cha mwenda Wazimu!

Kwa beach za Cape Town hizi kwa uzuri hazifikii hata robo kwa uzuri compared na beach za Zanzibar na Mafia! Ila still wao beach zao zinatwmbelewa na watalii wengi kuliko beach zetu za Zanzibar na Mafia. Shida ni moja tu! Tumekuwa hatujitangazi na kujiuza kwa dunia ipasavyo!

Kabla ya COVID , sekta ya utalii ndo imekuwa ikichangia kwa sehemu kubwa zaidi katika kuingiza fedha za kigeni na kwenye pato la Taifa hapa Tanzania! Imekuwa ikifanya hivi huku Tanzania ikiwa haijawai kupokea Watalii Milioni 3 tu tangu kupata uhuru! Fedha hizi ndo zimekuwa zikiendesha nchi, kulipa mishahara na kununua madawa! Swali la kujiuliza ni Je hali ingekuwaje Tanzania ingekuwa inapokea watalii Milioni 5 au 7 au 8 au 10 kwa mwaka? Leo hii si tungekuwa na maendeleo makubwa sana?

Kusema kweli napenda kumpongeza sana Rais Samia kwa Hii Royal Tour, napenda sana tufanye season 2 ya Royal Tour ambapo tuionyeshe Dunia makubwa zaidi yaliyopo Tanzania.

Napenda kushauri kuwa sasa kuwe na Tangazo la kuitangaza Tanzania kwenye channel kubwa kama CNN, Al Jazeera na BBC, kuwe pia na Matangazo ya Tanzania kwenye klabu kubwa duniani kama Barcelona au Real Madrid au Liverpool au Chelsea

Tuvute mikataba nao na tuuze bidhaa zetu hata korosho na kahawa kwenye stadiums zao!

Hongera Rais Samia! Umeanza vizuri, Royal Tour iwe mwanzo tu na wala usiloose focus kwenye hili! Hayo ndo maono ya Rais!
Kama haya afanyayo ni akili kwako basi utakuwa Punguani.
 
Rubish! Eti biashara ni matangazo! Rubish! Nani asiyejua kwamba Tanzania Kuna mbuga za wanyama? Rubish!
 
Nani asiye jua kuwa Coca Cola na Pepsi ni soda ila kila siku still wanatoa matangazo
 
Chizi mmoja hivi anajiona ana akili nyingi kumbe ni bogus maandazi tuu kwenye jamii ya waelewa.
 
Kwahiyo hizo nchi marais wao ndo walikua wanatembea duniani kutangaza utalii? Issue ya utalii inahitaji mikakati thabiti na uwekezaji mkubwa siyo kuzurura.
 
Nani amezurura? Tupe tafsiri ya kuzurura!
 
Maelezo mazuri,japo sehemu nyingi za kitalii hujazitaja.
1.Kama mbuga ya wanyama ya Saadani(ambayo,wanyama wapo karibu na bahari,na wanatembea karibu ya bahari).
2.Mapango ya Amboni.
3.Majumba ya kale ya Bagamoyo.
4.Majumba ya kale ya Tongoni.
5.Maeneo ya Makaburi ya Askari wa kwanza,kuuliwa katika vita vya kwanza vya dunia(Usagara Tanga).(kama sijakosea).
 
Ningetaja vivutio vya Tanzania kwenye huu uzi ungeboa maana hakuna nchi yenye vivutio vingi Afrika hii kama Tanzania. Nilivyotaja ni baadhi tu!
 
Piga kazi mama tumecheleweshwa mnooo kama taifa. Zaidi ya miaka 6 tumepoteza mda
 
Kwahiyo harakati na consistency ni kukaa Marekani Wiki 2.
Wewe hiyo Consistency ya huyo unayemsifu umeipata wapi wakati tangu apewe kijiti ana siku 300s subir muda uongeee ndipo ulete ngonjera na mapambio sio huo uharo uharo wako.
Hakuna hata watalii wakaokuja zaidi ya maigizo tupu, Zanzibar watalii wamejaa hakuna hata mbuga lakini wapo tu hakuna anayetumia nguvu kubwa kutangaza ni matumizi mabaya ya fedha za umma.
 
Back
Top Bottom