Rais Samia anajua akikopa asilimia 21 ya mkopo unaenda Zanzibar. Watanganyika wamelala usingizi

Unapenda kuona “wabara” wakimzomea au kumpinga au kumkosoa Rais wa JMT? Seriously? In the current political context?
 
Leta uthibitisho twende sawa
Hujui kuwa Samia alimuagiza Mpango ashughulikie kero 11 za Muungano?Baadaye akaja kututambia kero za Muungano zimetatuliwa!
Kwenye 1.3 trillion,Zanzibar wamelamba bil 200+ ambayo kimahesabu ni 21%,unataka uthibitisho gani zaidi?
 
Kichwa chako kina Acid very conki., Kwanini Tanganyika muliamua kuunga na Nchi yenye idadi ndogo ya watu? Kwanini hamukuungana na Nchi kama Nigeria/Algeria nk., mkaamua Zanzibar tu

Idadi ya watu sio kigezo cha wewe kupata chingi huyu akapata kidogo kutokana na idadi yao., Zanzibar ni nchi huru kama ilivyokuwa tanganyika na ziliungana kwa hiari benefits zilitakiwa ziwe sawa bin sawiya lakini kwasababu Tanganyika na Mchongameno alikuwa na lengo la kuilaghai zanzibar ndio yanatokea haya yoote.,

Duniani kote hakuna aina muungano kama huu ni udhalimu mtupu.

Zanzibar ndio iliyotoa fedha nyingi zaidi za kigeni kuanzishwa BOT kuliko Tanganyika lakini tunapokuja kwenye mapato na BOT yenyewe inaonekana ni mali ya Tanganyika.

Kama mnaona zanzibar ni idadi ndogo ya watu basi vunjeni mkaungane na marekani na nchi nyengine wakubwa wenzenu lakini mnangania.

Ni nchi ya Zanzibar pekee duniani inalipa kodi 2., kodi moja ZRB ni kwa ajili ya maendeleo ya Zanzibar lakini kodi ya pili TRA hizi fedha zoote zinaenda Tanganyika na Zanzibar hawapati mgao wowote toka TRA ni vile Tanganyika mnaneemeka kupitia jasho la Wazanzibari, mnalipana mishahara, chakula na maposho mbali mbali na maendeleo yenu kujenga barabara, reli, sgr sijuwi mabwawa na kila kitu

Tokea uhuru hakuna maendeleo yoyote Tanganyika ilipeleka Zanzibar wao ni wao na watu wao tu., lakini ofisi za TRA kule Zanzibar zimetaradadi kila kona kuwakamua wazanzibari na ndio mana hamtaki kuwaachia.,

Zanzibar sasa imekosa meno hata kujitafutia misaada nje ya nchi mpaka kibali kitoke Tanganyika, Kina Lukuvi hao walisema makanisani hawataiwacha zanzibar kwa sababu muna maslahi makubwa kwenye maisha yenu kutokea Zanzibar.

Nchi kubwa zipo tele duniani kaunganeni nao iachieni Zanzibar wakaungane na jirani zao comoro nk
 
Kwanza billion 200 kwa 1.3 trillion ni 15%
Wewe umepigaje hesabu?
Hujui kuwa Samia alimuagiza Mpango ashughulikie kero 11 za Muungano?Baadaye akaja kututambia kero za Muungano zimetatuliwa!
Kwenye 1.3 trillion,Zanzibar wamelamba bil 200+ ambayo kimahesabu ni 21%,unataka uthibitisho gani zaidi?
 
Kwanza unapotosha Ili ikusaidie nini?
Zanzibar watapata dola za us mil.450,,je hiyo ni til.2?

 
Sisi Watanganyika tunapenda sana uongo na fitina. Tunasahau kuwa Tanzania ni muungano wa Nchi mbili, sio mikoa. Ni Lazima manufaa yoyite yaende kwenye sehemu zote za muungano.

Mbona Magufuli alipobadisha njia ya reli ya SGR iliyokuwa imepangwa kwenda kigoma kwenye tija kubwa ya mizigo ya kwenda DRC na nchi zinginezo, hatukupiga kelele. Au Alipozima mradi wa ufufuaji wa umeme wa gesi ambapo bomba limejengwa kwa ajili hiyo kwa MABILLIONS OF $, tulinyamaza kimya.

Lakini leo tunaona vibaya ndugu zetu wa muungano kupata haki yao.
 
Sisi sijui tumelogwa wapi .na yanaimba kabisa akutunze mola, pumbavu mnapigwa peupe mnasifia .
 
Wewe ndio jinga kabisa, thibitisha hiyo 10 til.aliyokopa Samia,na je kama Serikali yake imekopa ameenda kutumia Kwa familia yake?

Majitu kama wewe ni hovyo kabisa
 
Uvunjwe huu Muungano batili!
 
“Muungano umekuwa kaa la moto kwa watanganyika”
 
Hujui kuwa Samia alimuagiza Mpango ashughulikie kero 11 za Muungano?Baadaye akaja kututambia kero za Muungano zimetatuliwa!
Kwenye 1.3 trillion,Zanzibar wamelamba bil 200+ ambayo kimahesabu ni 21%,unataka uthibitisho gani zaidi?
Hesabu za darasa la 3 zinakushinda 😃😃
 
Inakopa serikali ya JMT na wanufaika wanakuwa ni wananchi wa Tanzania Bara na Visiwani. Hali Kadhalika mlipaji atakuwa ni serikali hii hii ya JMT kupitia katika kodi na maduhuli mengine yaingiziayo serikali hii fedha.
Hivi hizi tozo ni hadi zanzibar? Nauliza tu si kwa ubaya lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…