Rais Samia analala nje ya Ikulu?

sio wa kwanza yeye watangulizi wake wawili wote wamefanya hivyo kwa walimu wao au ndugu wa walimu wao na ni jambo jema sana
 
Ikulu sio kama nyumba yako ya chumba na sebule, unafungua mlango tu uko sebuleni, au hapo unapoishi kitanda na sebule vimetenganishwa na pazia.

Anapoishi ni tofauti na chumba Cha mikutano
 
Halafu ndugu yenu alikufa ghafla kabla hajayatoa madude yake
 
Rais anaishi humo ikulu ila kwa kupenda kwake misafara ya magari mgeni akifika yeye hutoka na kwenda kuanzia safari yake mbali ili aingie kwa msafara.
Kwani niriadha?
 
Angekuwa anawahi.
Hii ya kuja baadae na msafara, inaibua maswali!
Siku moja ilikuwa kuaga mwili wa Mfugale,misa imefanyika kisha wakaanza kupotezea mda ili Raid awasili wakijua alitingwa na majukumu mengine.Mara akawasili.Ktk Hotuba yake "Hakika tumuenzi marehemu kama ambavyo nilivyokuwa naangalia TV Padri akihubiri"
 
Huwa anatoka nyumbani kwake. Siyo Lazima rais aishi Ikulu; Nyerere alikuwa anaishi Msasani tangu mwaka 1966 nafikiri.
 
Nadhani huo ni ukumbi wa mikutano Ikulu maana Ikulu si kama nyumba binafsi kwamba utamkuta Rais sebureni na Ikumbukwe maeneo yake ni mapana sasa kujua analala eneo gani ni jambo lingine.
 
Ukishajibiwa utapata faida gani? Hizi nyuzi nyingine hazina kichwa wala miguu.
 
Rais anaishi humo ikulu ila kwa kupenda kwake misafara ya magari mgeni akifika yeye hutoka na kwenda kuanzia safari yake mbali ili aingie kwa msafara.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌
 
Wewe inakuhusu nini analala wapi?

Akimteua Mwalimu wake tatizo ni nini? Wewe uliye "serious" umeshifanyia nini hii nchi?
 
Umenena vema. Hiyo ni ofisi na Rais ndiye mwenyeji no matter how big the compound is. Alipaswa kuwepo kabla na kuwapokea wageni wake.
 
Mkuu ikulu ya chamwino ni 64km za mraba yaani ni kama kutoka chalinze hadi kibaigwa, ila hela noma, yaani pamekuwa na msitu kama kazimzumbwi
Serekale imeishiwa mawe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…