Hujui usemalo. Hiyo ni ikulu no matter how big the compound is. Rais ndiye mwenyeji. Anapaswa kuwepo mahali husika kupokea wageni wake aliowaita ikulu.Hujui ITIFAKI... Rais akae akimsubiria aliye chini yake?
Hajielewi huyo. Pengine ni wale wenye elimu ya kuungaunga! Kwa uelewa huu, tena karne hii, tusishangae kutawaliwa tena na wazungu kwa mfumo wowote ule maana hatujitambui.Square kilometres 64 ni kama 8km. Ni muhimu kujua kuwa kilometa za mraba sio urefu bali ni eneo
Pazito pale...[emoji2827][emoji2827][emoji2827]Kwanza naomba mnielewe ili ni swali tu nimeuliza, hivyo naomba mnieleweshe maana mi ufahamu wangu umekomea hapo,
Rais samia hii nimeona ni mara ya pili, mara ya kwanza alipofatwa kuhojiwa ikulu na Tido, niliona anakuja na msafara, jana pia hivyo hivyo wameenda ikulu wadau wa CHADEMA wakaingia ndani kisha yeye ndio akaja na msafara,
Anakua anakuja na msafara wa magari akitokea wapi?
View attachment 2232926
Mbali na hilo pia naomba nichomekee kidogo, Sijafurahishwa na uteuzi wa mwalimu wake wa form two, hii inaonyesha hayupo serious na hii nchi aisee, tunapeana shukrani au tunajenga nchi?
Huu uongo!. Kwa sababu 64Km² = Eneo lenye urefu wa 8 Km na Upana wa 8 Km. Chalinze mpaka Kibaigwa ni Approximately 245Km.( Chalinze - Moro = 85Km na Moro - Kibaigwa = 160Km)Mkuu ikulu ya chamwino ni 64km za mraba yaani ni kama kutoka chalinze hadi kibaigwa, ila hela noma, yaani pamekuwa na msitu kama kazimzumbwi
Ebu nifahamishe kilomita za mraba zinakuwaje mkuu..Square kilometres 64 ni kama 8km. Ni muhimu kujua kuwa kilometa za mraba sio urefu bali ni eneo
Petero wa tourage !?[emoji15]Unajua mahali pira anaishi?
Huwa unajiuliza kwamba wakisema ikulu wanamaanisha nn? Nyumba, majengo au ofisi??? Unajiuliza pia kwamba raisi analala ofsini??? Au nyumba iliyopo ikulu? EneoHilo swali la anatokea wapi?
Hata nami pia nilijiuliza.
Nikakosa majibu.
Yaani wageni wanamtangulia ikulu, yeye anakuja baadae. Anatokea wapi? nje ya ofisi?
Hata hivyo ujumbe wa CHADEMA ulikuwa ni ugeni wake na kawaida mwenyeji humkaribisha mgeni. Imekuwaje hapa mgeni anamkaribisha mwenyeji au ndiyo itifaki ya kirais.Rais anakaa Ikulu na ukumbi wa mikutano wa Ikulu upo mbali lakini humohumo Ikulu hivyo ina mlazimu kutoka eneo moja kwenda eneo jingine ndani ya ikulu kwa msafara. Ikulu ya Dodoma ni kubwa sana.
Ni kama Udom, kutoka college moja kwenda college nyingine.
Afike mkutanoni na jasho?
Jua la mikoani unalijua wewe?
Ili mseme alikua anazururia wapi mbona majasho?.Mkuu kwani jasho haramu? Nyie mnajuaga jasho ni umaskini au ujinga
Ikulu ya Chamwino ni kubwa Sana ina KM zaidi ya 25Kwanza naomba mnielewe ili ni swali tu nimeuliza, hivyo naomba mnieleweshe maana mi ufahamu wangu umekomea hapo,
Rais samia hii nimeona ni mara ya pili, mara ya kwanza alipofatwa kuhojiwa ikulu na Tido, niliona anakuja na msafara, jana pia hivyo hivyo wameenda ikulu wadau wa CHADEMA wakaingia ndani kisha yeye ndio akaja na msafara,
Anakua anakuja na msafara wa magari akitokea wapi?
View attachment 2232926
Mbali na hilo pia naomba nichomekee kidogo, Sijafurahishwa na uteuzi wa mwalimu wake wa form two, hii inaonyesha hayupo serious na hii nchi aisee, tunapeana shukrani au tunajenga nchi?
Chalinze to Morogoro zipo 80+ Kms sasa ndo iwe Kibaigwa?Chalinze Hadi Kibaigwa. Ukipitia shortcut gani hiyo Mkuu ikupe km64?!
Injiniiiiiaa sooomaaaa hiyo. In Aggrey Mwanri's voice
Dah....Ana maananisha km za mraba mkuu 🤣🤣🤣🤣Chalinze Hadi Kibaigwa. Ukipitia shortcut gani hiyo Mkuu ikupe km64?!
Injiniiiiiaa sooomaaaa hiyo. In Aggrey Mwanri's voice
Kwani mume wake wa sasa ni nani na anaishi wapi?Kwanza naomba mnielewe ili ni swali tu nimeuliza, hivyo naomba mnieleweshe maana mi ufahamu wangu umekomea hapo,
Rais samia hii nimeona ni mara ya pili, mara ya kwanza alipofatwa kuhojiwa ikulu na Tido, niliona anakuja na msafara, jana pia hivyo hivyo wameenda ikulu wadau wa CHADEMA wakaingia ndani kisha yeye ndio akaja na msafara,
Anakua anakuja na msafara wa magari akitokea wapi?
View attachment 2232926
Mbali na hilo pia naomba nichomekee kidogo, Sijafurahishwa na uteuzi wa mwalimu wake wa form two, hii inaonyesha hayupo serious na hii nchi aisee, tunapeana shukrani au tunajenga nchi?
Tuwe serious wengine watu wazima wenzangu wenye uwezo wa ku reason out,Aisee kwanini asitembee tu kupunguza gharama za misafara.
Sasa ndio umeandika nini hiki.Tuwe serious wengine watu wazima wenzangu wenye uwezo wa ku reason out,
Umeambiwa Chamwino State house Ni kubwa ,Kama UDOM unaanzaje kutembea kwa mfano ?
Au chukua,Mfano Mtu atoke Terminal 1 kwa mguu aende Terminal 3 kwa umbali huo eti kisa ana punguza gharama,jamani Sasa hivi Uhuru umekuwa mkubwa Hadi tunaleta porojo kwa vitu serious.
Sasa hivi Mnaandika vitu hata bila ya kufanya research na kujengea hoja ili kupata attention ya wananchi.
Basi na nyie muwe mnapanda maghorofani juu bila kutumia lift kupunguzwa gharama.
Whitehouse au Kremlin ilivyokubwa vile unategemea Presidents watembee kwa miguu?Phuuu