Rais Samia analazimisha kuizanzibarisha Tanganyika kwa nguvu

Hata ningekuwa Rais ndio Mimi ningeteua wengi ninaowafaham ilimradi sivunj sheria.
 
we lofa kahamie hiyo nchi inayoitwa Tanganyika, nchi yetu inaitwa Tanzania. Umezoea ubaguzi we kenge, kahamie huko kwenye nchi za kibaguzi.
 
Waafrika shida sana.

Marekani ilikua na majimbo zaidi ya 50 baada ya kuungana hakujawahi kuwa na kelele imekua nchi moja.

Sisi hapa vi nchi viwili tu ila kila nchi ina Rais na wabunge kama nchi kamili na kila mtu anajitutumua.

Muungano wa USA ni muungano halisi. Unaruhusiwa kuishi popote, kuabudu kwa imani yako popote, kufanya kazi serikalini jimbo lolote, kumiliki ardhi popote, kugombea nafasi yoyote, popote nk.

Tanzania ni tofauti.
 
Nafikiri ndugu mtoa uzi hauko serikalini, na pia una chuki za kidini, Sa100 bado hata robo ya ubaguzi hajafikia, watu wakiitwa kazini serikalini hesabu Galatia wangapi na Hamas wangapi, kwa taarifa yako government ratio ni Galatians 25 Kwa Hamas 1. Halafu waliojaa ni wamama wazee vikongwe kwaya mwanzo mwisho ofisini wanatuboa mno sisi wapagani, hawa vikongwe wa kigalatia wakistaafu wanapewa tena mikataba! Hadi waanguke na kufa hasa hospital

Namuunga mkono Bimkubwa Sa100 hapo bado napenda azidishe kasi ya kubalance dini ili kupunguza ufisadi na undugunization wa Galatians yani kila ofisi ya serikali ni kina Charles na Jesca watupu kwani sisi wapagani hatuna vyeti vya mlimani kama wao!

Bimkubwa Samia kanyaga twende mimi nakuunga mikono na miguu yote, teua unavyotaka.
 
DC wa Kilosa Shaka Hamdu Shaka ni mzanzibari.
Muungano wetu umekaa kiajabu sana, haueleweki kabisa mpaka hapa nashindwa hata kujua kama hili ni sawa au si sawa.
Nilisikia watu wakisema mtu kutoka bara haruhusiwi kumiliki ardhi huko Zanzibar, lakini mtu kutoka Zanzibar anaweza kumiliki ardhi huko bara. Ajabu hili sijui kama ni la kweli, kwa maaana kwamba mtu kutoka bara akienda Zanzibar anachukuliwa kama mtu kutoka taifa jingine?

Naambiwa pia kuna mambo ya Muungano na mambo yasiyo ya muungango, sasa katika hayo mambo yasiyo ya muungano, je mtu kutoka Zanzibar anaweza kupewa kazi huko bara? Tuchukulie kwamfano, wizara ya fedha ya Tanzania bara sio jambo la muungano, je mtu wa Zanzibar anaweza kuwa waziri au naibu katika hiyo wizara?
AU labda TRA sio jambo la muungano, je mtu kutoka Zanzibar anaweza kuajiriwa huko TRA na wakati sio jambo la muungano?

Muungano wetu unaacha maswali mengi sana ambayo kuyajibu ni lazima uyakwepe kwa kumwambia anayehoji analeta chokochoko. Pengine hapo baadae baada ya wazee kuondoka wakija vijana wataangalia jinsi ya kuuweka sawa na kuondoa sintofahamu.
 
Waafrika shida sana.

Marekani ilikua na majimbo zaidi ya 50 baada ya kuungana hakujawahi kuwa na kelele imekua nchi moja.

Sisi hapa vi nchi viwili tu ila kila nchi ina Rais na wabunge kama nchi kamili na kila mtu anajitutumua.
Mkuu hii nchi ni ya ajabu sana. Huu muungano wa Nyerere na Karume utaipasua nchi vipande vipande.
 
Unajali nn?
Linchi likicollapse kama zimbabwe,we waumia wapi?🤣🤣fata yako
Ngumbaru kazini
 
Huyu mama hana sifa ya kuwa Rais wa nchi sema ndo imeshatokea, mikononi mwake nchi inakufa Taratibu
 
Huu uzi ukidumu nitashangaa sana,JF imekufa siku hizi, imekuwa platform ya ma CCM kutamba
 
toa mfanyakazi mpemba au muunguja aliyepewa kazi na hana vigezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…