butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,640
- 7,943
Kwani siku zote wewe ndiyo unamtafutia pesa?Tafuta pesa hayo mawazo sio kwa usalama wako & familia yako na taifa
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani siku zote wewe ndiyo unamtafutia pesa?Tafuta pesa hayo mawazo sio kwa usalama wako & familia yako na taifa
Shaka ni DC KilosaIngependeza kama ungetoa mifano, majina ya ma DED, DAS, RAS, DCs na wakuu wa taasisi wote yanafahamika. Otherwise hizo ni hisia zako tu.
Kwani wewe hujaona jinsi Rais anavyovunja katiba kwa kuwateua wazanzibar kushika nafasi TAMISEMI wakati hii wizara haiomo kwenye muungano? Uko serious kweli au unatania mkuu?Acha kujichanganya Mheshimiwa RAIS anahaki na sifa za kikatiba kufanya HAYO unayosema na siyo kwamba anapendelea .Kwa hiyo weka siasa pembeni twende kwenye uhalisia wa maisha.LETE MADA YENYE MISAADA KWETU SISI VIJANA NA SIYO KULALAMIKA TU.SAWA?!!!
Kichwa panzi wasukuma wanataka nchi gani? Wazanzibar wanatoka nchi ya jirani ZanzibarWivu mtupu. JPM alijaza ndugu zake wasukuma, wazinza na wanyantuzu kwenye halmashauri zote nchini na hakuna aliyeinua mdomo wake.
Dawa ni kuondokana na CCM kwanza, pili katiba mpya na tatu kurekebisha kero za muungano.Tulizoea kuona wazaznzibar (maarufu kwa jina la wapemba) wametapakaa kila mahali hapa Tanganyika wakifanya biashara na shughuli nyingine za kiuchumi. Hili kama watanganyika hatuna shida nalo. Hawa ni wajasiriamali na watafutaji kama walivyo watu wa mataifa mengine waliomo hapa nchini. Tunao wachina, wahindi, wakenya, n.k, na haijawahi kuwa shida.
Kinachoudhi na kusikitisha zaidi ni kitendo cha Rais Dr Samia kuwachukua wazanzibar (hata wasiokuwa na vigezo) na kuwapa vyeo hapa Tanganyika wakati watanganyika hawana kazi. Ukitembelea kwenye ofisi za umma utashangaa kuona utitiri wa wazanzibar wakiwa wamepewa nyadhfa mbali kama vile wakurugenzi, DAS, RAS, wakuu wa mashirika ya umma, wenyeviti wa bodi mbalimbali, n.k. Rais anafanya haya yote kwa makusudi na kwa lazima huku akiwaacha watanganyika wakipuyanga bila kazi. Huu ni zaidi ya uhujumu uchumi.
Ndugu wanaJF na wananchi kwa ujumla, tuhuma hizi hazijaanza leo. Soma baadhi ya nyuzi zilizowahi kuwekwa humu kulalamikia upendeleo unaofanywa na mamlaka kwenye teuzi mbalimbali:
1. Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?
2. Teuzi za Rais Samia kulikoni?
3. Wafahamu Wajumbe wa Bodi ya TCRA iliyovunjwa
Kelele za watanganyika kukosa kazi baada ya kuhitimu zipo dhahiri. Hata humu JF siku za karibuni kumekuwa na nyuzi nyingi zinazoonyesha wasomi wa Tanganyika kuhitimu vyuo vikuu na kuishia kufanya kazi za ovyo ovyo wakati kazi walizostahili kufanya zinagawiwa ovyo kwa wazanzibar. Nyuzi zifuatazo ni sehemu ya ushahidi huo:
1. Nimekutana na Degree Graduate wa HR kutoka Mzumbe anauza Pub
2. Mzazi unasomesha mtoto aje kuuza chips na kuwa bodaboda. Inahuzunisha sana!
3. Graduates wengi tunapitia wakati mgumu sana, sema jamii inaona kama hatujielewi
MAONI YANGU
Idadi ya watu wa Zanzibar (Pemba, Unguja na visiwa vingine) haipindukii milioni moja. Tanganyika ina idadi ya zaidi ya watu milioni 64. Sasa iweje Zanzibar yenye watu wachache kiasi hiki wananchi wake wapewe kipaumbele huku watanganyika walio wengi wanaendelea kusaga meno?
Ifike mahali katiba itamke bayana idadi ya nafasi wanazostahili wazanzibar (kwa kufuata uwiano wa idadi ya watu) badala ya kufanya teuzi kibubu na kusababisha malalamiko. Na tunapendekeza hili jambo liingizwe kwenye katiba mpya kabisa ili kukata mzizi wa fitna.
Nawasilisha.
Hapana! Watumishi wote wa serikali hawazidi laki tano.Hakuna ubaya wowote, hata akiwachukua wote na kuwapa kazi Bara, ni sawa na tone ndani ya bahari,
Huna data. Wakuu wa Mikoa wangapi Wapemba? Maaskofu wangapi Wazanzibari? Katubu Tarafa? Head Teacher? Bwana Nyuki? Captain wa Yanga? Huna hoja. Nyerere alisema mkiwatoa Wazanzibari eatafuata Wachagga na Wanyakyusa, wakiisha mtawatoa Wakwere ili wabaki Wazaramo wazawa.Tulizoea kuona wazaznzibar (maarufu kwa jina la wapemba) wametapakaa kila mahali hapa Tanganyika wakifanya biashara na shughuli nyingine za kiuchumi. Hili kama watanganyika hatuna shida nalo. Hawa ni wajasiriamali na watafutaji kama walivyo watu wa mataifa mengine waliomo hapa nchini. Tunao wachina, wahindi, wakenya, n.k, na haijawahi kuwa shida.
Kinachoudhi na kusikitisha zaidi ni kitendo cha Rais Dr Samia kuwachukua wazanzibar (hata wasiokuwa na vigezo) na kuwapa vyeo hapa Tanganyika wakati watanganyika hawana kazi. Ukitembelea kwenye ofisi za umma utashangaa kuona utitiri wa wazanzibar wakiwa wamepewa nyadhfa mbali kama vile wakurugenzi, DAS, RAS, wakuu wa mashirika ya umma, wenyeviti wa bodi mbalimbali, n.k. Rais anafanya haya yote kwa makusudi na kwa lazima huku akiwaacha watanganyika wakipuyanga bila kazi. Huu ni zaidi ya uhujumu uchumi.
Ndugu wanaJF na wananchi kwa ujumla, tuhuma hizi hazijaanza leo. Soma baadhi ya nyuzi zilizowahi kuwekwa humu kulalamikia upendeleo unaofanywa na mamlaka kwenye teuzi mbalimbali:
1. Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?
2. Teuzi za Rais Samia kulikoni?
3. Wafahamu Wajumbe wa Bodi ya TCRA iliyovunjwa
Kelele za watanganyika kukosa kazi baada ya kuhitimu zipo dhahiri. Hata humu JF siku za karibuni kumekuwa na nyuzi nyingi zinazoonyesha wasomi wa Tanganyika kuhitimu vyuo vikuu na kuishia kufanya kazi za ovyo ovyo wakati kazi walizostahili kufanya zinagawiwa ovyo kwa wazanzibar. Nyuzi zifuatazo ni sehemu ya ushahidi huo:
1. Nimekutana na Degree Graduate wa HR kutoka Mzumbe anauza Pub
2. Mzazi unasomesha mtoto aje kuuza chips na kuwa bodaboda. Inahuzunisha sana!
3. Graduates wengi tunapitia wakati mgumu sana, sema jamii inaona kama hatujielewi
MAONI YANGU
Idadi ya watu wa Zanzibar (Pemba, Unguja na visiwa vingine) haipindukii milioni moja. Tanganyika ina idadi ya zaidi ya watu milioni 64. Sasa iweje Zanzibar yenye watu wachache kiasi hiki wananchi wake wapewe kipaumbele huku watanganyika walio wengi wanaendelea kusaga meno?
Ifike mahali katiba itamke bayana idadi ya nafasi wanazostahili wazanzibar (kwa kufuata uwiano wa idadi ya watu) badala ya kufanya teuzi kibubu na kusababisha malalamiko. Na tunapendekeza hili jambo liingizwe kwenye katiba mpya kabisa ili kukata mzizi wa fitna.
Nawasilisha.
Ulikuwa hujajiunga hapa jf, kipindi Cha dhalimu na chaguzi zake za kikanda na udini alikuwa anapewa ukweli wake. Tukasema dhalimu anatengeneza presidency mbaya maana viongozi wengine wafuatao watafanya kama yeye. Na huu kwa sasa utakuwa ndio utamaduni mpya.Wivu mtupu. JPM alijaza ndugu zake wasukuma, wazinza na wanyantuzu kwenye halmashauri zote nchini na hakuna aliyeinua mdomo wake.
Kwahiyo wazanzibar ndio wakijazwa watamsaidia?Wanaweza wakajazwa watanganyika watupu na bado usiwe wewe kwenye hizo teuzi.Na Na hata hao watanganyika watakaojazwa wanaweza wasiwe na msaada wowote kwako wala kwa nduguzo
----------Acha nao wapumue tumewakalia kwa miongo mingi mno na huu ndio ukweli halisi.------------Tulizoea kuona wazaznzibar (maarufu kwa jina la wapemba) wametapakaa kila mahali hapa Tanganyika wakifanya biashara na shughuli nyingine za kiuchumi. Hili kama watanganyika hatuna shida nalo. Hawa ni wajasiriamali na watafutaji kama walivyo watu wa mataifa mengine waliomo hapa nchini. Tunao wachina, wahindi, wakenya, n.k, na haijawahi kuwa shida.
Kinachoudhi na kusikitisha zaidi ni kitendo cha Rais Dr Samia kuwachukua wazanzibar (hata wasiokuwa na vigezo) na kuwapa vyeo hapa Tanganyika wakati watanganyika hawana kazi. Ukitembelea kwenye ofisi za umma utashangaa kuona utitiri wa wazanzibar wakiwa wamepewa nyadhfa mbali kama vile wakurugenzi, DAS, RAS, wakuu wa mashirika ya umma, wenyeviti wa bodi mbalimbali, n.k. Rais anafanya haya yote kwa makusudi na kwa lazima huku akiwaacha watanganyika wakipuyanga bila kazi. Huu ni zaidi ya uhujumu uchumi.
Ndugu wanaJF na wananchi kwa ujumla, tuhuma hizi hazijaanza leo. Soma baadhi ya nyuzi zilizowahi kuwekwa humu kulalamikia upendeleo unaofanywa na mamlaka kwenye teuzi mbalimbali:
1. Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?
2. Teuzi za Rais Samia kulikoni?
3. Wafahamu Wajumbe wa Bodi ya TCRA iliyovunjwa
Kelele za watanganyika kukosa kazi baada ya kuhitimu zipo dhahiri. Hata humu JF siku za karibuni kumekuwa na nyuzi nyingi zinazoonyesha wasomi wa Tanganyika kuhitimu vyuo vikuu na kuishia kufanya kazi za ovyo ovyo wakati kazi walizostahili kufanya zinagawiwa ovyo kwa wazanzibar. Nyuzi zifuatazo ni sehemu ya ushahidi huo:
1. Nimekutana na Degree Graduate wa HR kutoka Mzumbe anauza Pub
2. Mzazi unasomesha mtoto aje kuuza chips na kuwa bodaboda. Inahuzunisha sana!
3. Graduates wengi tunapitia wakati mgumu sana, sema jamii inaona kama hatujielewi
MAONI YANGU
Idadi ya watu wa Zanzibar (Pemba, Unguja na visiwa vingine) haipindukii milioni moja. Tanganyika ina idadi ya zaidi ya watu milioni 64. Sasa iweje Zanzibar yenye watu wachache kiasi hiki wananchi wake wapewe kipaumbele huku watanganyika walio wengi wanaendelea kusaga meno?
Ifike mahali katiba itamke bayana idadi ya nafasi wanazostahili wazanzibar (kwa kufuata uwiano wa idadi ya watu) badala ya kufanya teuzi kibubu na kusababisha malalamiko. Na tunapendekeza hili jambo liingizwe kwenye katiba mpya kabisa ili kukata mzizi wa fitna.
Nawasilisha.
Achana na story za Nyerere, nenda Zanzibar kama wabara wana hizo nafasi, kisha uende na hizo story za Nyerere.Huna data. Wakuu wa Mikoa wangapi Wapemba? Maaskofu wangapi Wazanzibari? Katubu Tarafa? Head Teacher? Bwana Nyuki? Captain wa Yanga? Huna hoja. Nyerere alisema mkiwatoa Wazanzibari eatafuata Wachagga na Wanyakyusa, wakiisha mtawatoa Wakwere ili wabaki Wazaramo wazawa.
Kwani msimamo wa Spika ni upi?Wabunge wetu ni mazwazwa ndo wametufikisha huko.ndani ya ccm kuna machawa wengi ambao ni maseti tupu vichwani mwao
Kweli ndugu yangu nimeshangaa Rais kamteua Karume rais mstaafu wa Zanzibar mkuu w chuo Mzumbe wakati Zanzibar vipo vyuo vingi tu kwa nini asipewe huko kwao?Tulizoea kuona wazaznzibar (maarufu kwa jina la wapemba) wametapakaa kila mahali hapa Tanganyika wakifanya biashara na shughuli nyingine za kiuchumi. Hili kama watanganyika hatuna shida nalo. Hawa ni wajasiriamali na watafutaji kama walivyo watu wa mataifa mengine waliomo hapa nchini. Tunao wachina, wahindi, wakenya, n.k, na haijawahi kuwa shida.
Kinachoudhi na kusikitisha zaidi ni kitendo cha Rais Dr Samia kuwachukua wazanzibar (hata wasiokuwa na vigezo) na kuwapa vyeo hapa Tanganyika wakati watanganyika hawana kazi. Ukitembelea kwenye ofisi za umma utashangaa kuona utitiri wa wazanzibar wakiwa wamepewa nyadhfa mbali kama vile wakurugenzi, DAS, RAS, wakuu wa mashirika ya umma, wenyeviti wa bodi mbalimbali, n.k. Rais anafanya haya yote kwa makusudi na kwa lazima huku akiwaacha watanganyika wakipuyanga bila kazi. Huu ni zaidi ya uhujumu uchumi.
Ndugu wanaJF na wananchi kwa ujumla, tuhuma hizi hazijaanza leo. Soma baadhi ya nyuzi zilizowahi kuwekwa humu kulalamikia upendeleo unaofanywa na mamlaka kwenye teuzi mbalimbali:
1. Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?
2. Teuzi za Rais Samia kulikoni?
3. Wafahamu Wajumbe wa Bodi ya TCRA iliyovunjwa
Kelele za watanganyika kukosa kazi baada ya kuhitimu zipo dhahiri. Hata humu JF siku za karibuni kumekuwa na nyuzi nyingi zinazoonyesha wasomi wa Tanganyika kuhitimu vyuo vikuu na kuishia kufanya kazi za ovyo ovyo wakati kazi walizostahili kufanya zinagawiwa ovyo kwa wazanzibar. Nyuzi zifuatazo ni sehemu ya ushahidi huo:
1. Nimekutana na Degree Graduate wa HR kutoka Mzumbe anauza Pub
2. Mzazi unasomesha mtoto aje kuuza chips na kuwa bodaboda. Inahuzunisha sana!
3. Graduates wengi tunapitia wakati mgumu sana, sema jamii inaona kama hatujielewi
MAONI YANGU
Idadi ya watu wa Zanzibar (Pemba, Unguja na visiwa vingine) haipindukii milioni moja. Tanganyika ina idadi ya zaidi ya watu milioni 64. Sasa iweje Zanzibar yenye watu wachache kiasi hiki wananchi wake wapewe kipaumbele huku watanganyika walio wengi wanaendelea kusaga meno?
Ifike mahali katiba itamke bayana idadi ya nafasi wanazostahili wazanzibar (kwa kufuata uwiano wa idadi ya watu) badala ya kufanya teuzi kibubu na kusababisha malalamiko. Na tunapendekeza hili jambo liingizwe kwenye katiba mpya kabisa ili kukata mzizi wa fitna.
Nawasilisha.
Muungano wetu umekaa kiajabu sana, haueleweki kabisa mpaka hapa nashindwa hata kujua kama hili ni sawa au si sawa.
Nilisikia watu wakisema mtu kutoka bara haruhusiwi kumiliki ardhi huko Zanzibar, lakini mtu kutoka Zanzibar anaweza kumiliki ardhi huko bara. Ajabu hili sijui kama ni la kweli, kwa maaana kwamba mtu kutoka bara akienda Zanzibar anachukuliwa kama mtu kutoka taifa jingine?
Naambiwa pia kuna mambo ya Muungano na mambo yasiyo ya muungango, sasa katika hayo mambo yasiyo ya muungano, je mtu kutoka Zanzibar anaweza kupewa kazi huko bara? Tuchukulie kwamfano, wizara ya fedha ya Tanzania bara sio jambo la muungano, je mtu wa Zanzibar anaweza kuwa waziri au naibu katika hiyo wizara?
AU labda TRA sio jambo la muungano, je mtu kutoka Zanzibar anaweza kuajiriwa huko TRA na wakati sio jambo la muungano?
Muungano wetu unaacha maswali mengi sana ambayo kuyajibu ni lazima uyakwepe kwa kumwambia anayehoji analeta chokochoko. Pengine hapo baadae baada ya wazee kuondoka wakija vijana wataangalia jinsi ya kuuweka sawa na kuondoa sintofahamu.
Mkuu hili jambo halihusu ubaguzi bali linahusu Rais kuvunja katiba ya nchi kwa kuteua wazanzibar kwenye wizara ambazo sio za muungano. Kama huelewi jambo ni bora ukae kimya badala ya kuonyesha umbumbumbu wako hadharani.we lofa kahamie hiyo nchi inayoitwa Tanganyika, nchi yetu inaitwa Tanzania. Umezoea ubaguzi we kenge, kahamie huko kwenye nchi za kibaguzi.
Kweli kabisa, huku maofisini wenye Tanganyika yetu kweli tumevamiwaTulizoea kuona wazaznzibar (maarufu kwa jina la wapemba) wametapakaa kila mahali hapa Tanganyika wakifanya biashara na shughuli nyingine za kiuchumi. Hili kama watanganyika hatuna shida nalo. Hawa ni wajasiriamali na watafutaji kama walivyo watu wa mataifa mengine waliomo hapa nchini. Tunao wachina, wahindi, wakenya, n.k, na haijawahi kuwa shida.