Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mada yako hii inastahili jibu linalojitosheleza; lakini kwa sasa hivi ninalo hili la kukueleza kifupi tu ili ulipime na mada husika.Nawasilisha.
Huyu Mama anawaharibia wenzake, hajui tu. Na wasiwasi watu watawarudishia hawachelewi kuuza kila kisiwa labda abadili katiba na kupunguza madaraka ya Rais wa URT.Watastaafu baada ya yeye kuondoka watanganyika mkitaka. Ukiingia ofisini wazanzibari wote unawapa uhamisho, unawahamishia Zanzibar.
Huwezi kuona tatizo sababu hujabaguliwa. Jamaa siyo mbaguzi anawanyooshea kidole wabaguzi.Binafsi sioni tatizo hapo. Huwa sipendi tabia ya ubaguzi ubaguzi tena hao wazanzibari ni watenda haki sana unapowakuta kwenye ofisi za uma, wengi wao wana hofu ya Mungu.
Ujifunze kukaa ndani ya mada. Una uwezo wakuanzisha thread nyingine ya mhuni Makonda na tukaja tukachangia pia.Mada yako hii inastahili jibu linalojitosheleza; lakini kwa sasa hivi ninalo hili la kukueleza kifupi tu ili ulipime na mada husika.
Akina Makonda (Bashite) wakati huu wanapewa nafasi. Hawa siyo waZanzibari; unajua kwa nini?
Ili huyo mteuzi afanikishe zaidi anayoyafanya wakati huu baada ya hao akina Makonda kumrudisha kwenye ngwe yake mwenyewe.
Wewe hapa unalalamikia waZanzibari?
Mbona hawa ni rasha rasha tu, wakati waTanganyika wakirudishwa kwenye himaya ya waarabu!
Kwa hiyo mada yako umeinyima wigo wake unaostahili, kwa kuzungumzia jambo dogo zaidi, huku jambo kubwa linalo hatarisha nchi yetu sote tukiwa hatujalitupia darubini.
WaZanzibari wote wanaweza kuhamia Tanganyika na pasiwepo na madhara yoyote. Haya mengine ambayo Samia anayafanya na ambayo bado hatujayapa fikra zaidi ndiko huko kuliko na hatari zaidi kwa nchi yetu.
Ni lazima tuanze kukazia darubini huko.
Sawa kwako, siyo kwetu.Hakuna ubaya wowote, hata akiwachukua wote na kuwapa kazi Bara, ni sawa na tone ndani ya bahari,
Nyerere pia aliiba Kura Zanzibar 95.Huna data. Wakuu wa Mikoa wangapi Wapemba? Maaskofu wangapi Wazanzibari? Katubu Tarafa? Head Teacher? Bwana Nyuki? Captain wa Yanga? Huna hoja. Nyerere alisema mkiwatoa Wazanzibari eatafuata Wachagga na Wanyakyusa, wakiisha mtawatoa Wakwere ili wabaki Wazaramo wazawa.
Nchi haendeshwi kwa hisia zako bali katiba.Hakuna ubaya wowote, hata akiwachukua wote na kuwapa kazi Bara, ni sawa na tone ndani ya bahari,
Angalia pia na Watanganyika wenye vyeo mpaka Ikulu halafu ulete tena uzi.Kinachoudhi na kusikitisha zaidi ni kitendo cha Rais Dr Samia kuwachukua wazanzibar (hata wasiokuwa na vigezo) na kuwapa vyeo hapa Tanganyika wakati watanganyika hawana kazi. Ukitembelea kwenye ofisi za umma utashangaa kuona utitiri wa wazanzibar wakiwa wamepewa nyadhfa mbali kama vile wakurugenzi, DAS, RAS, wakuu wa mashirika
Sikiliza pia kelele za Wazanzibari. Ukiona kwako kwaungua ujue kwa mwinzio kwateketea.Kelele za watanganyika kukosa kazi baada ya kuhitimu zipo dhahiri.
Hata kujua kinahoendelea hujui halafu unaleta longolongo jukwaani kwa ujinga ( ignorance).Idadi ya watu wa Zanzibar (Pemba, Unguja na visiwa vingine) haipindukii milioni moja. Tanganyika ina idadi ya zaidi ya watu milioni 64. Sasa iweje Zanzibar yenye watu wachache kiasi
Mkuu mm siongei juu ya historia ya Tanganyika na Zanzibar. Naongea juu ya uwiano wa idadi ya watu ukilinganisha na ugawaji wa vyeo vinavyogawiwa ovyo kwa kukiuka katiba.Angalia pia na Watanganyika wenye vyeo mpaka Ikulu halafu ulete tena uzi.
Sikiliza pia kelele za Wazanzibari. Ukiona kwako kwaungua ujue kwa mwinzio kwateketea.
Hata kujua kinahoendelea hujui halafu unaleta longolongo jukwaani kwa ujinga ( ignorance).
Sikiliza: Kwa mujibu wa sensa ya mwisho, Tanzania ina watu milioni 62, kati ya hai milini 1.8 ni Wazanzibari. Sasa hiyo ya chini ya milioni moja imetoka kwako. Umelala, wewe ni mbumbu au umejawa na chuki? Zanzibar na Wazanzibari ilikuwepo kabla hujazaliwa na itaendelea kuwepo hata baada ya wewe na mimi kuondoka.
Tulizoea kuona wazaznzibar (maarufu kwa jina la wapemba) wametapakaa kila mahali hapa Tanganyika wakifanya biashara na shughuli nyingine za kiuchumi. Hili kama watanganyika hatuna shida nalo. Hawa ni wajasiriamali na watafutaji kama walivyo watu wa mataifa mengine waliomo hapa nchini. Tunao wachina, wahindi, wakenya, n.k, na haijawahi kuwa shida.
Kinachoudhi na kusikitisha zaidi ni kitendo cha Rais Dr Samia kuwachukua wazanzibar (hata wasiokuwa na vigezo) na kuwapa vyeo hapa Tanganyika wakati watanganyika hawana kazi. Ukitembelea kwenye ofisi za umma utashangaa kuona utitiri wa wazanzibar wakiwa wamepewa nyadhfa mbali kama vile wakurugenzi, DAS, RAS, wakuu wa mashirika ya umma, wenyeviti wa bodi mbalimbali, n.k. Rais anafanya haya yote kwa makusudi na kwa lazima huku akiwaacha watanganyika wakipuyanga bila kazi. Huu ni zaidi ya uhujumu uchumi.
Ndugu wanaJF na wananchi kwa ujumla, tuhuma hizi hazijaanza leo. Soma baadhi ya nyuzi zilizowahi kuwekwa humu kulalamikia upendeleo unaofanywa na mamlaka kwenye teuzi mbalimbali:
1. Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?
2. Teuzi za Rais Samia kulikoni?
3. Wafahamu Wajumbe wa Bodi ya TCRA iliyovunjwa
Kelele za watanganyika kukosa kazi baada ya kuhitimu zipo dhahiri. Hata humu JF siku za karibuni kumekuwa na nyuzi nyingi zinazoonyesha wasomi wa Tanganyika kuhitimu vyuo vikuu na kuishia kufanya kazi za ovyo ovyo wakati kazi walizostahili kufanya zinagawiwa ovyo kwa wazanzibar. Nyuzi zifuatazo ni sehemu ya ushahidi huo:
1. Nimekutana na Degree Graduate wa HR kutoka Mzumbe anauza Pub
2. Mzazi unasomesha mtoto aje kuuza chips na kuwa bodaboda. Inahuzunisha sana!
3. Graduates wengi tunapitia wakati mgumu sana, sema jamii inaona kama hatujielewi
MAONI YANGU
Idadi ya watu wa Zanzibar (Pemba, Unguja na visiwa vingine) haipindukii milioni moja. Tanganyika ina idadi ya zaidi ya watu milioni 64. Sasa iweje Zanzibar yenye watu wachache kiasi hiki wananchi wake wapewe kipaumbele huku watanganyika walio wengi wanaendelea kusaga meno?
Ifike mahali katiba itamke bayana idadi ya nafasi wanazostahili wazanzibar (kwa kufuata uwiano wa idadi ya watu) badala ya kufanya teuzi kibubu na kusababisha malalamiko. Na tunapendekeza hili jambo liingizwe kwenye katiba mpya kabisa ili kukata mzizi wa fitna.
Nawasilisha.
Siku zikijitegemea Kila nchi imlipe mwenzake madeni yote...!!! Mfano kunawanapokea fungu hawachangii chochote kwenye kapu. Na mengine mengi!!!I wish kila nchi ingejitegemea kivyake kwa 💯%
Watanganyika tunaweza kufanya kazi katika Serikali na Taasisi za Umma Zanzibar???Mtoa mada unasahau kwamba wanzibari wote ni watanzania na sifa za uteuzi katika nyadhifa mbalimbali za uongozi wa umma sharti uwe mtanzania.
Hii ndio hoja na mleta mada anaweza kuonekana kama labda ana chuki ila dah kwa Sasa speed ni kubwa mno hadi sio poaChanzo cha haya yote ni uwepo wa Muungano wa kidwanzi; yaani Muungano wa changu changu, chako changu. I wish kila nchi ingejitegemea kivyake kwa [emoji817]%
Unalalamika kitu gani wakati uvunjaji wa sheria na taratibu za utumishi wa ummaa aliuanza jpm tukamshangilia na kumpongeza? Aliteua wanasiasa na mtu yeyote aliyemtaka na kuwapa vyeo ktk utumishi wa umma, wanajeshi & polisi wakapewa vyeo vya kisiasa. Nafasi za kuteua makada kama vile maDC, maRC nk hazikumtosha, makada watiiufu wakazawadiwa hadi uDAS, uDED nk, Bashiru katibu mkuu wa chama cha siasa akateuliwa kuwa KM kiongozi. Kama alifanya hivyo tukanyamaza kwann hisiwe kwa Samia?Tulizoea kuona wazaznzibar (maarufu kwa jina la wapemba) wametapakaa kila mahali hapa Tanganyika wakifanya biashara na shughuli nyingine za kiuchumi. Hili kama watanganyika hatuna shida nalo. Hawa ni wajasiriamali na watafutaji kama walivyo watu wa mataifa mengine waliomo hapa nchini. Tunao wachina, wahindi, wakenya, n.k, na haijawahi kuwa shida.