Rais Samia analazimisha kuizanzibarisha Tanganyika kwa nguvu

Acha kujichanganya Mheshimiwa RAIS anahaki na sifa za kikatiba kufanya HAYO unayosema na siyo kwamba anapendelea .Kwa hiyo weka siasa pembeni twende kwenye uhalisia wa maisha.LETE MADA YENYE MISAADA KWETU SISI VIJANA NA SIYO KULALAMIKA TU.SAWA?!!!
Kwani wewe hujaona jinsi Rais anavyovunja katiba kwa kuwateua wazanzibar kushika nafasi TAMISEMI wakati hii wizara haiomo kwenye muungano? Uko serious kweli au unatania mkuu?
 
Hakuna ubaya wowote, hata akiwachukua wote na kuwapa kazi Bara, ni sawa na tone ndani ya bahari,
 
Dawa ni kuondokana na CCM kwanza, pili katiba mpya na tatu kurekebisha kero za muungano.
 
Wanaweza wakajazwa watanganyika watupu na bado usiwe wewe kwenye hizo teuzi.Na Na hata hao watanganyika watakaojazwa wanaweza wasiwe na msaada wowote kwako wala kwa nduguzo
 
Huna data. Wakuu wa Mikoa wangapi Wapemba? Maaskofu wangapi Wazanzibari? Katubu Tarafa? Head Teacher? Bwana Nyuki? Captain wa Yanga? Huna hoja. Nyerere alisema mkiwatoa Wazanzibari eatafuata Wachagga na Wanyakyusa, wakiisha mtawatoa Wakwere ili wabaki Wazaramo wazawa.
 
Wivu mtupu. JPM alijaza ndugu zake wasukuma, wazinza na wanyantuzu kwenye halmashauri zote nchini na hakuna aliyeinua mdomo wake.
Ulikuwa hujajiunga hapa jf, kipindi Cha dhalimu na chaguzi zake za kikanda na udini alikuwa anapewa ukweli wake. Tukasema dhalimu anatengeneza presidency mbaya maana viongozi wengine wafuatao watafanya kama yeye. Na huu kwa sasa utakuwa ndio utamaduni mpya.
 
Wanaweza wakajazwa watanganyika watupu na bado usiwe wewe kwenye hizo teuzi.Na Na hata hao watanganyika watakaojazwa wanaweza wasiwe na msaada wowote kwako wala kwa nduguzo
Kwahiyo wazanzibar ndio wakijazwa watamsaidia?
 
----------Acha nao wapumue tumewakalia kwa miongo mingi mno na huu ndio ukweli halisi.------------
 
Achana na story za Nyerere, nenda Zanzibar kama wabara wana hizo nafasi, kisha uende na hizo story za Nyerere.
 
Ila wizi ni mwingi sana huku
Yakhe waacheni ni dugu moja na hawadokoi sana
Achana na katiba bali tuache wizi na rushwa kila mahali ili nchi iwe tajiri
 
Kweli ndugu yangu nimeshangaa Rais kamteua Karume rais mstaafu wa Zanzibar mkuu w chuo Mzumbe wakati Zanzibar vipo vyuo vingi tu kwa nini asipewe huko kwao?
 

View: https://www.youtube.com/watch?v=xa4Toi9Sp2c
 
we lofa kahamie hiyo nchi inayoitwa Tanganyika, nchi yetu inaitwa Tanzania. Umezoea ubaguzi we kenge, kahamie huko kwenye nchi za kibaguzi.
Mkuu hili jambo halihusu ubaguzi bali linahusu Rais kuvunja katiba ya nchi kwa kuteua wazanzibar kwenye wizara ambazo sio za muungano. Kama huelewi jambo ni bora ukae kimya badala ya kuonyesha umbumbumbu wako hadharani.
 
Kweli kabisa, huku maofisini wenye Tanganyika yetu kweli tumevamiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…