Kuna thread nimesoma unasimulia kukutana na Gussie leo; umeshindwa kujifunza lolote toka kwake baada ya mkutano wenu?!Unakumbuka ule mwanga kule kwa Majaliwa, Sasa Jiulize enzi hizo Nyerere ilikuwa Je? siku hizi hakuna uchawi bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna thread nimesoma unasimulia kukutana na Gussie leo; umeshindwa kujifunza lolote toka kwake baada ya mkutano wenu?!Unakumbuka ule mwanga kule kwa Majaliwa, Sasa Jiulize enzi hizo Nyerere ilikuwa Je? siku hizi hakuna uchawi bwana
Amina hakuongoza mzee, wacha za kwako. Asingeongoza Amina halafu akafifia moja kwa moja.Siyo kweli. Kwanza Magufuli ndiyo anapaswa kushukuru kwa kuwa Mgombea. Kwenye kura aliongoza Amina Salum, akafuata Magufuli then Asha Rose Migiro.
Kama Mkapa asingemkomalia Kikwete huyo Mwendazake asingesikika popote
Mkuu hili Lina Ukweli wowote?Siyo kweli. Kwanza Magufuli ndiyo anapaswa kushukuru kwa kuwa Mgombea. Kwenye kura aliongoza Amina Salum, akafuata Magufuli then Asha Rose Migiro.
Kama Mkapa asingemkomalia Kikwete huyo Mwendazake asingesikika popote
Amekwishasema hakuwa sehemu ya maamuzi ya DIKTETA Magufuli, mbona unalazimisha kuwa alikuwa part ya system.Hoja ya msingi ni Rais SSH kuendelea kuzungumza mabaya ya JPM as if she was not part of the rotten system ili hali yeye na timu yake haijakiri hadharani kuwa kilichofanywa na JPM wanaomba radhi na haikuwa katika matakwa yao.
Chadema ni wajinga sana
Siyo kweli. Kwanza Magufuli ndiyo anapaswa kushukuru kwa kuwa Mgombea. Kwenye kura aliongoza Amina Salum, akafuata Magufuli then Asha Rose Migiro.
Kama Mkapa asingemkomalia Kikwete huyo Mwendazake asingesikika popote
Ungeonyeshwa upande Hasi wa Magufuli ungeelewa mama anachosema!Kumekuwa na mfululizo wa mashambulizi makali ya maneno ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia na wasaidizi wake wa karibu dhidi ya mtangulizi wake marehemu Magufuli.
Binafsi sifurahishwi nayo kwa kuwa yamemlenga mtu aliyekufa (Magufuli) na yanasemwa na waliokuwa wasaidizi wa marehemu Magufuli, ambao waliibuliwa na kubebwa kwa 100% na Magufuli mwenyewe. Kumkana sasa Magufuli na siasa zake kabla ya kuwaomba radhi watanzania waliomizwa na utawala wa Magufuli huku Samia akiwa msaidizi na mshauri mkuu wa Magufuli, ni jambo la fedheha sana.
Yaani mabaya yote ya utawala wa Magufuli (kama ubabe, unyanyasaji, utesaji, wizi) wanasema yalikuwa ya Magufuli mwenyewe, lakini mema yote ya Magufuli (kama ujenzi, miradi, usimamizi, uwajibikaji) wanasema yalikuwa ya wote kwa umoja wao! Huu ni unafiki mkubwa.
Sote tunajua kuwa uchaguzi wa 2015 ulichezewa ili Magufuli aingie madarakani, na uchaguzi wa 2020 ulichezewa na Magufuli mwenyewe kwa 100% ili aendelee kukaa madarakani. Na Magufuli aliyafanya hayo yote kwa maslahi yake binafsi, maslahi ya CCM na maslahi ya wasaidizi wake. Leo hii watu wale wale kumkaanga Magufuli kisiasa ni jambo la ajabu sana.
Kwanini hawakusema hayo wakati Magufuli akiwa bado hai?
Kwanini hawakukaa hata pembeni ili kukwepa kushiriki dhuluma aliyotendwa na Magufuli?
Yaani leo hii Magufuli amegeuzwa na CCM ya mama Samia kuwa dampo la kufichia uchafu wote wa kisiasa unaonuka wa CCM uliofanywa na CCM na serikali yake tangu 2015-2021. Hii hatari sasa.
Ilitosha sana kwa mama Samia na CCM yake kuja kwanza hadharani kuwaomba radhi watanzania kwa utawala mbovu wa Magufuli uliokosa aibu, utu na haki, kisha kutafuta maridhiano ili ukurasa mbovu wa utawala wa Magufuli ufungwe milele katika taifa letu.
Acheni kudanganya umma. Bila mkapa JPM angekuwa Rais.
Hoja ya msingi sio Bila Mkapa JPM angekuwa Rais , Hoja ya msingi ni Rais SSH kuendelea kuzungumza mabaya ya JPM as if she was not part of the rotten system ili hali yeye na timu yake haijakiri hadharani kuwa kilichofanywa na JPM wanaomba radhi na haikuwa katika matakwa yao.
Magufuli anajadiliwa kuliko baba wa taifa Mwalimu Nyerere.
Hakika JPM alikuwa chaguo la Mungu wa mbinguni.
Amina hakuongoza mzee, wacha za kwako. Asingeongoza Amina halafu akafifia moja kwa moja.
Wakati wa kampeini Mama akiwa akiwa Njombe alimjibu Lissu hivi
Mnazidi kuweweseka na mtu ambae hawezi tena kujitetea!, timu mafisadi mnapata taabu sana,mnaomwogopa ili hari hayupo duniani? Hakika magufuli alikuwa mwamba,
Ukweli ndiyo huo. Siri ya Kamati KuuMkuu hili Lina Ukweli wowote?
Anajadiliwa kwa yapi mabaya au mazuriMagufuli anajadiliwa kuliko baba wa taifa Mwalimu Nyerere.
Hakika JPM alikuwa chaguo la Mungu wa mbinguni.
Mbona wewe hujafa?Acha kumdhihaki Mungu wewe mjinga. Mungu Hana ushirika na wauaji na wenye viburi.
Kiongozi hujadiliwa kwa yote!Anajadiliwa kwa yapi mabaya au mazuri
Hata yeye Samia atakuja kusemwa tu, ngoja utawala wake upite...