Rais Samia anapaswa kujua kuwa bila Magufuli asingekuwa Rais

Rais Samia anapaswa kujua kuwa bila Magufuli asingekuwa Rais

Unafikiri Magufuli angepewa uhiari wa kuchagua mgombea mwenza 2015 angemchagua Samia? Huijui CCM wewe.
Bila kikwete Magufuli hangekuwa raisi.

Tusiwe na mawazo ya aina hii
Chama ni taasisi chama sio mtu.

Mtu anachaguliwa kwa maslahi ya taasisi husika
 
Niliwahi kulisema hili, kwamba Magufuli alibebwa watu wakanikatalia Sana.
Ndiyo ukweli huo. Magufuli hajawahi kushinda kihalali uchaguzi wowote.

Hata akigombea ubunge kule Biharamulo na Chato na akina Phares Kabuye na wengine alikuwa ni mtu wa mipango tu.

Anajijua HAKUBALIKI
 
Mbona wewe hujafa?

Usifuate tu mkumbo kimbwiga mbwiga bwashee?

Mbunge wenu mstaafu yuko hapo JK mnashindwa kumtibu halafu mnasingizia wengine ndio wauwaji!

Usinipangie Cha kusema, Kama Magufuli kwako Ni Mtakatifu sawa, lakini kwangu Mimi nilimuona Kama muuaji asiye na utu, aliyejiweka mbele yeye na mwenye visasi.

Aliipiga stop shirika letu kwa miaka mitatu, tuliishi kwa shida Sana bila mishahara kwa miaka mitatu mpaka leo maisha hayajakaa sawa halafu wewe unaleta utetezi kisa ulikuwa kwenye payroll yake.

Hata hayo kujenga madaraka na Barbara Ni kutaka kujenga legacy na Jina lake tu.
 
Hapana hiyo roho aliianzisha Magufuli kuwasema watangulizi wake. Alifikia Hadi kumsema Nyerere kwanini hakuweka ukuta mereranu mwaka 1961, Bila kujua Tanzanite imegunduliws miaka ya 1989. Hapo ndipo nilipomdharau.

JPM kawasema waliopita...
Samia anamsema JPM...

Kwa nini wadhani Samia naye hatanangwa na atayekuja?
 
Ndiyo ukweli huo. Magufuli hajawahi kushinda kihalali uchaguzi wote. Hata akigombea ubunge kule Biharamulo na Chato na akina Phares Kabuye na wengine alikuwa ni mtu wa mipango tu. Anajijua HAKUBALIKI

Kweli mkuu, Mimi niliambiwa na mtu wa ndani kwamba wafuasi wa Lowassa walimpigia Kura Amina Salum Ila meza ikapindishwa.
 
Sidhani km SSH aliwekwa na JPM ila alielekezwa amuweke, km ingekuwa ni utashi wake na kulambana visogo

Magufuli aliwasema wengine na hata kuwadhalilisha Viongozi waliopita naye akubali kusemwa.

Usimtendee mtu mwingine Mambo ambayo hutaki utendewe.
 
Hawa matahira wanataka kumpaisha huyo fisadi wao, Kuna Watu wana hustoria na hii Nchi kuliko huyo maggufuli wao

Yani wanataka tumuabudu kana kwamba hakuna Kama yeye.

Yani tuache kuwakumbula akina milambo, mkwawa, Sykes, silokoine, tumkumbuke bosi wa wasiojulikan.
 
Magufuli anajadiliwa kuliko baba wa taifa Mwalimu Nyerere.

Hakika JPM alikuwa chaguo la Mungu wa mbinguni.
Anajadiliwa kwa UFEDHULI na UHAYAWANI wake.

Ule uwongo alioupandikiza ndiyo tunaufuta taratibu.

Kwa mfano alikuwa anasema tunajenga miundombinu kwa fedha za ndani kumbe alikuwa anakopa.
 
Amina hakuongoza mzee, wacha za kwako. Asingeongoza Amina halafu akafifia moja kwa moja.

Wakati wa kampeini Mama akiwa akiwa Njombe alimjibu Lissu hivi



Amina ndio aliongoza sio Magufuli. Ndio maana alikataa Mambo ya siasa alijua akiruhusu hatamaliza miaka kumi. Alijitahidi kutengeneza himaya ya kumlinda.
 
Unafikiri Magufuli angepewa uhiari wa kuchagua mgombea mwenza 2015 angemchagua Samia? Huijui CCM wewe.
2020 alikuwa na uwezo wa kumuweka makamu wake amtakaye, ila hakufanya hayo.
 
Bila kikwete Magufuli hangekuwa raisi.
Tusiwe na mawazo ya aina hii
Chama ni taasisi chama sio mtu,mtu anachaguliwa kwa maslahi ya taasisi husika
Ndicho ninachomaanisha kuwa magufuli hakuchagua mwenyewe mgombea mwenza ila alipewa na chama chake.
 
Tuwaache watu watoe nyongo zao..huenda huyo samia nae ni miongoni mwa wanaodai kuumizwa na JPM(refer maneno ya kigogo kwamba samia alikua anagombezwa mpaka akataka kujiuzuru,wazee wa chama wakaokoa jahazi) so ndio wakati wake huu wa kutapika nyongo yake.
Ila Samia nae aandae kifua coz ajae atamnanga tu na yeye.
 
Tuwaache watu watoe nyongo zao..huenda huyo samia nae aliwahi kuumizwa na JPM so ndio wakati wake huu wa kutapika nyongo yake.
Ila Samia nae aandae kifua coz ajae atamnanga tu na yeye.
Muosha huoshwa
 
Usinipangie Cha kusema, Kama Magufuli kwako Ni Mtakatifu sawa, lakini kwangu Mimi nilimuona Kama muuaji asiye na utu, aliyejiweka mbele yeye na mwenye visasi. Aliipiga stop shirika letu kwa miaka mitatu, tuliishi kwa shida Sana bila mishahara kwa miaka mitatu mpaka leo maisha hayajakaa sawa halafu wewe unaleta utetezi kisa ulikuwa kwenye payroll yake.

Hata hayo kujenga madaraka na Barbara Ni kutaka kujenga legacy na Jina lake tu.
Mtibuni Prof.

RIP Chacha Wangwe.
 
Anajadiliwa kwa UFEDHULI na UHAYAWANI wake. Ule uwongo alioupandikiza ndiyo tunaufuta taratibu. Kwa mfano alikuwa anasema tunajenga miundombinu kwa fedha za ndani kumbe alikuwa anakopa.
Mbona hapo Ufipa mlikuwa mnawachangisha akina Lijualikali tsh 8 bilioni halafu wakiugua mnawatelekeza muhimbili hadi Chongolo wa CCM akasaidie!!!
 
Magu alikuwa mchapakazi,msompenda mnajulikana mko category gani.

Mlibahatika kupata Rais kama yeye,hakuwastahili.
 
Back
Top Bottom