Rais Samia anapaswa kujua kuwa bila Magufuli asingekuwa Rais

Unakumbuka ule mwanga kule kwa Majaliwa, Sasa Jiulize enzi hizo Nyerere ilikuwa Je? siku hizi hakuna uchawi bwana
Kuna thread nimesoma unasimulia kukutana na Gussie leo; umeshindwa kujifunza lolote toka kwake baada ya mkutano wenu?!
 
Siyo kweli. Kwanza Magufuli ndiyo anapaswa kushukuru kwa kuwa Mgombea. Kwenye kura aliongoza Amina Salum, akafuata Magufuli then Asha Rose Migiro.

Kama Mkapa asingemkomalia Kikwete huyo Mwendazake asingesikika popote
Amina hakuongoza mzee, wacha za kwako. Asingeongoza Amina halafu akafifia moja kwa moja.

Wakati wa kampeini Mama akiwa akiwa Njombe alimjibu Lissu hivi

Mkuu hili Lina Ukweli wowote?
 
Kuleni naye, lala naye, hata bangi vuteni naye mwenzenu nimezaa naye, sijui nimepatia??
 
Hoja ya msingi ni Rais SSH kuendelea kuzungumza mabaya ya JPM as if she was not part of the rotten system ili hali yeye na timu yake haijakiri hadharani kuwa kilichofanywa na JPM wanaomba radhi na haikuwa katika matakwa yao.
Amekwishasema hakuwa sehemu ya maamuzi ya DIKTETA Magufuli, mbona unalazimisha kuwa alikuwa part ya system.

Unaandika kishabiki kumbe humjui Magufuli. Hawa akina Samia na Majaliwa mawazo yao yalikuwa yanatupwa.

Asifuye mvua imenyea
 
Hata yeye Samia atakuja kusemwa tu, ngoja utawala wake upite...
 
Siyo kweli. Kwanza Magufuli ndiyo anapaswa kushukuru kwa kuwa Mgombea. Kwenye kura aliongoza Amina Salum, akafuata Magufuli then Asha Rose Migiro.

Kama Mkapa asingemkomalia Kikwete huyo Mwendazake asingesikika popote

Niliwahi kulisema hili, kwamba Magufuli alibebwa watu wakanikatalia Sana.
 
Ungeonyeshwa upande Hasi wa Magufuli ungeelewa mama anachosema!

tungebaki na magufuli mwaka mmoja tena sahiv kuna watu wangekuwa washauliwa maana hana simile! binadamu wa jana sio wa leo! kuishi kuvumiliana ndio maisha!

asiyekufaa leo atakufaa kesho
 
Umesahau kwamba mama alitaka kujiuzulu? Kuna Mambo tulidharau kipindi kile ndio ukweli wake unaanza kuonekana Sasa.
 
Sidhani km SSH aliwekwa na JPM ila alielekezwa amuweke, km ingekuwa ni utashi wake JPM asingemuweka SSH ila kwa kuwa yeye mwenyewe alitengenezewa mazingira awe rais na yeye akaamliwa wa kusaidiana nae km Makamu wa rais.

Kuhusu suala la kumtaja Hayati hata mimi sipendezwi nalo ila hiyo ndio hulka yetu Watz unafiki na kulambana visogo
 
Amina hakuongoza mzee, wacha za kwako. Asingeongoza Amina halafu akafifia moja kwa moja.

Wakati wa kampeini Mama akiwa akiwa Njombe alimjibu Lissu hivi

Kama hujui hizi taarifa, jihesabu wewe ni mtoto mdogo kama Kichuguu. Acha milima tukupe vitu ndiyo nawe ukomae. Endelea kusoma madini toka kwa wajuvi
 
Mnazidi kuweweseka na mtu ambae hawezi tena kujitetea!, timu mafisadi mnapata taabu sana,mnaomwogopa ili hari hayupo duniani? Hakika magufuli alikuwa mwamba,

Nani anamwogopa?. Kujadili mabaya ya mtu sio kumwogopa.
 
Acha kumdhihaki Mungu wewe mjinga. Mungu Hana ushirika na wauaji na wenye viburi.
Mbona wewe hujafa?

Usifuate tu mkumbo kimbwiga mbwiga bwashee?

Mbunge wenu mstaafu yuko hapo JK mnashindwa kumtibu halafu mnasingizia wengine ndio wauwaji!
 
Hata yeye Samia atakuja kusemwa tu, ngoja utawala wake upite...

Hapana hiyo roho aliianzisha Magufuli kuwasema watangulizi wake. Alifikia Hadi kumsema Nyerere kwanini hakuweka ukuta mereranu mwaka 1961, Bila kujua Tanzanite imegunduliws miaka ya 1989. Hapo ndipo nilipomdharau.
 
Magufuri alikuwa anamnanga Kikwete wazi wazi, tena bila heshima, Je unataka kusema bila Kikwete Magufuri angekuwa rais?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…