Bora kuwa mkweli siku zote utakuweka huru, atamsifia magu alipofanya vizuri lakini alipokwanga wacha amnange kisawasawa, damage ya kusema ukweli itachukua muda mduchu sana uongo ndio utakuathiri mileleMkuu kwenye siasa uwongo na kweli havikwepeki
Kuna muda ukweli unaweza kufanya damage kubwa kuliko uwongo, hapo ndio kuna umuhimu wa kupotezea kuliko kusema
Dunia nzima siasa ndivyo zilivyo...Wewe ndio wale wale watu wa kododge maswali, unapenda siasa tupu za kiafrika.
Ruksa kutofautiana ndani sio kuyabwaga njeserikali kuwa organised haimaanishi wote muwe na mawazo yanayofanana kama Mayai
kutofautiana misimamo haimaanishi serikali haina umoja
tusilaumu wasaidizi, yeye ni smart kiasi cha kuelewa namna ya kujibu maswali ya waandishi?Mahojiano ya jana ya Rais Samia na Gazeti la New York Times alinukuliwa akisema alipata wakati mgumu kufanya kazi na Hayati Magufuli kutokana na msimamo wa Magufuli juu ya Covid-19.
Japokuwa simkubali Magufuli, lakini hii kauli haijakaa sawa, lakini nina uhakika Rais Samia hakudhamiria kusema hivyo, bali aliyekuwa akimhoji ndio alimbana na kulazimisha kusema hivyo.
Kwa wanaoangalia mahojiano ya viongozi na waandishi wa habari wa nchi za 'mbele' wanajua jinsi waandishi hao wanavyokuwa aggressive, mnakumbuka Tundu Lissu mwenyewe alivyobanwa na mwandishi wa BBC hadi kujikuta ametamka atawapa mashoga haki zao...! Baadae akaja kukana hakumaanisha hivyo, ila sikumlaumu maana unabanwa kwelikweli.
Sasa kwa mtu kama Rais ambaye ana wasaidizi wengi smart walitakiwa ku-anticipate maswali ambayo angeulizwa Rais, na Rais angekua namna ya kuyajibu kabla, kuna maswali mengine unaya-dodge tu badala ya kutoa majibu direct ambayo yataleta utata, ndivyo wanasiasa hufanya.
Wasimuache kama anaenda kuhojiwa TBC.
Nadhani hili halitajirudia tena.
Mfano hilo suala la Covid angejibu mbinu za kukabiliana na Covid ni suala lenye ubishi dunia nzima, ikiwemo Marekani yenyewe, na ndani ya serikali ya Magu walichukua zile hatua nyepesi kama za kunawa mikono, distance n.kndio utuambie alitakiwa aseme vipi ?
Samia yupo smart sana, kuna marekebisho mengi anayafanya ya kuisadia nchi ambayo ilikuwa ikiharibika kipindi cha mtangulizi waketusilaumu wasaidizi, yeye ni smart kiasi cha kuelewa namna ya kujibu maswali ya waandishi?
kikeke juzi hapa kamsumbua tena mahojiano ya kiswahili kabisa, kaanza kusema wa mitandaoni sio watanzania!
nadhani tukubali tumepigwa, bibi sio smart upstairs
Nje ya Mada Mkuu;Jibu alilojibu raisi linaonyesha Serikali haikuwa organized .Raisi kivyake makamu kivyake utafikiri Serikali ya Sudan kusini kati ya Raisi Salva Kiir na makamu wake Riech machar!! Hakukuwa na unit of command and purpose
Swali je sasa Serikali ya Mama Samia iko organized from bottom to the top? Hilo swali kawaachia homework wamarekani wafanye analysis wenyewe!!
Kwa sasa kuko vizuri tu aendeNje ya Mada Mkuu;
Vipi hali ya usalama kwa wageni Sudan Kusini? Kuna dogo kapata kazi huko ila muda wa kuripoti bado, ndio anawaza aende au asiende?
Uingereza, Ujerumani, New Zealand, Liberia, hata wahafidhina kama Pakistan waliongozwa na wanawake ambao walifanya vizuri kuliko wanaume wengi tuWamarekani wenyewe wanaomba yasije kuwakuta kama yaliyotukuta Tanzania Biden akafa yule mama akachukua nchi kwani wanajua madhara ya mwanamke kua kichwa cha nchi.
Mwanamke ni mwanamke tu.
mkuu, amepiga hatua gani huyu bibi?Mkuu tanzania bado hakujakuwa na ujasiri huo ama utamaduni huo kwamba ukishindwa kufanya naye mtu kazi wa juu yako ukae pembeni ni vile unabaki na matumaini tu na kuendelea sio kwa mama samia tu hata nyerere alikuwa mtumwa kwa wazungu
Muacheni mama awagonge zile sehemu zenu zenye maumivu, Sasa mumeona mama mwanamke wa kizanzibari alivyopiga hatua kuliko mwendazake mnakosa amani na usingizi., Mama bado yupo sana.
Mkuu ushawahi ku deal na siasa practically ukiachana na hiza za kwenye keyboard na vijiweni? Iwe upinzani au CCM?Sio kosa lako, umeathiriwa na matatizo ya kusema uongo ili kulinda hadhi fulani. Tatizo la kutokusema ukweli ndio limetufikisha watanzania hapa tulipo. Mama kaulizwa 2+2 kasema ni 4, ulitaka aseme ni 5 kama tulivyozoeshwa hapa nchini?
Naunga mkono hoja uwezo wake kukabiliana na Press mdogo mno hatofautiani na marehemu Magufuli!! Yuko below standard achape tu kazi kama Magufuli watu wa mu judge tu kwa kazi zake.Mambo mengine ni uwezo binafsi.
Swala hapa ni kutomuexpose na situations kama hizo.
Yaani wasaidizi wake wawe wajanja kumkwepesha na mazingira kama hayo. Itokee very rare kuwa anahojiwa na vyombo vikubwa kama hivyo.
Huko mbele watu wako ahead of us kwa karne kadhaa. Uwezo wao wa kufikiri ni mkubwa sana.
“One of the mistakes which some political analysts make is to think their enemies should be our enemies,” he said which was met by applause. “Our attitude towards any country is determined by the attitude of that country to our struggle. Yasser Arafat, Colonel Gaddafi [and] Fidel Castro support our struggle to the hilt. There is no reason whatsoever why we should have any hesitation about hailing their commitment to human rights as they’re being demanded in South Africa. They do not support [the anti-apartheid struggle] only in rhetoric; they are placing resources at our disposal for us to win the struggle. That is the position.” Nelson MandelaJapokuwa simkubali Magufuli, lakini hii kauli haijakaa sawa, lakini nina uhakika Rais Samia hakudhamiria kusema hivyo, bali aliyekuwa akimhoji ndio alimbana na kulazimisha kusema hivyo.
Kwa wanaoangalia mahojiano ya viongozi na waandishi wa habari wa nchi za 'mbele' wanajua jinsi waandishi hao wanavyokuwa aggressive, mnakumbuka Tundu Lissu mwenyewe alivyobanwa na mwandishi wa BBC hadi kujikuta ametamka atawapa mashoga haki zao...! Baadae akaja kukana hakumaanisha hivyo, ila sikumlaumu maana unabanwa kwelikweli.
Sasa kwa mtu kama Rais ambaye ana wasaidizi wengi smart walitakiwa ku-anticipate maswali ambayo angeulizwa Rais, na Rais angekua namna ya kuyajibu kabla, kuna maswali mengine unaya-dodge tu badala ya kutoa majibu direct ambayo yataleta utata, ndivyo wanasiasa hufanya.
Unajuaje kama mimi ni mwanamke?Acha wivu wa kike
Mfano hilo suala la Covid angejibu mbinu za kukabiliana na Covid ni suala lenye ubishi dunia nzima, ikiwemo Marekani yenyewe, na ndani ya serikali ya Magu walichukua zile hatua nyepesi kama za kunawa mikono, distance n.k
Huku wakifanya utafiti zaidi kabla ya kuchukua hatua zenye kuathiri
Hii haina utata wowote
Mkuu ushawahi ku deal na siasa practically ukiachana na hiza za kwenye keyboard na vijiweni? Iwe upinzani au CCM?
Kama ulishawahi ungejua kuwa kuna muda huwezi kuongea kila kitu kwa public, kwa faida yenu wenyewe na kwa faida ya public
hayo majibu unajibu kama upo kibarazani kwako unakunywa kahawa sio mbele ya beberu unaemtomasa akupe pesa urudi nazo