Huo ndio uswahili wenu, jibu hoja iliyopo mezaniHuo ni mtazamo wako tunauheshimu. Ni kama jinsi ilivyo kwako kuna ambao wanakuona HUTOSHI Kabisa hapo ulipo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndio uswahili wenu, jibu hoja iliyopo mezaniHuo ni mtazamo wako tunauheshimu. Ni kama jinsi ilivyo kwako kuna ambao wanakuona HUTOSHI Kabisa hapo ulipo.
Kwani kuna Dini inaruhusu kusema Uongo? Ila mnaruhusiwa kula Kitimoto Kwa Siri?Huo ukwel mchungu,halafu mkumbuke waislamu haturuhusiw kuwa waongo
Tofauti ipo kubwa sana kati ya viongozi wa sasa viongozi aina ya Nyerere. Hawa wa sasa wanakuwa na madudu mengi,kwa hiyo lazima asiwe huru kuulizwa kila mara ajihisi. Nyerere alikuwa anakuwa free ksbb anajua usafi wa moyo mpaka matendo. Hata akiulizwa la kukasirishwa anacheka,anakujibu vile vile bila hofuNyerere alikuwa na uwezo wa kujibu maswali ya waandishi wa kizungu mpaka wanaogopa kumuuliza tena, ni swala la Ia IQ tu.
Mkuu hujui siasa, pengine unasikiliza kinachosemwa kwenye press au mijadala na baadhi ya wanasiasa unaowaamini ukadhani wanawaambia ukweli wa kila kituMkuu narudia tena, umeathiriwa na hizo siasa unazosema hapa, ndio maana unapata tabu kwenye baadhi ya mambo. Si kosa lako bali ni makuzi.
Hakuna usafi wowote wa roho aliokuwa nao NyerereTofauti ipo kubwa sana kati ya viongozi wa sasa viongozi aina ya Nyerere. Hawa wa sasa wanakuwa na madudu mengi,kwa hiyo lazima asiwe huru kuulizwa kila mara ajihisi. Nyerere alikuwa anakuwa free ksbb anajua usafi wa moyo mpaka matendo. Hata akiulizwa la kukasirishwa anacheka,anakujibu vile vile bila hofu
Aliyewanyima akili wabongo aliwaweza sana.Jibu alilojibu raisi linaonyesha Serikali haikuwa organized .Raisi kivyake makamu kivyake utafikiri Serikali ya Sudan kusini kati ya Raisi Salva Kiir na makamu wake Riech machar!! Hakukuwa na unit of command and purpose
Swali je sasa Serikali ya Mama Samia iko organized from bottom to the top? Hilo swali kawaachia homework wamarekani wafanye analysis wenyewe!!
Hii jeuri uliyo nayo dhidi ya wanawake unajidanganya unakumbuka uliingizwa kwenye shimo lao ukiwa ujiuji mweupe kisha wakakutunza na kukulisha kwenye tumbo lao kisha wakakutoa duniani ukiwa kiumbe kamili tena utakuta hata aliyemzalisha huyo KE aliyekuleta duniani naye ni KE na hadi leo bado hilo shimo linakuhangaisha hapa duniani naomba sana usiwadharau wanawake wangekubania kidogo tu ungekunywa maji na kujifia au wangeamua kumlazimisha dingi yango kuvaa ndomu ungeishia kwenda chooni na kunenepesha watoto wa nzi a.k.a finyofinyoWamarekani wenyewe wanaomba yasije kuwakuta kama yaliyotukuta Tanzania Biden akafa yule mama akachukua nchi kwani wanajua madhara ya mwanamke kua kichwa cha nchi.
Mwanamke ni mwanamke tu.
Kwani kuna Dini inaruhusu kusema Uongo? Ila mnaruhusiwa kula Kitimoto Kwa Siri?
Johnny umesekosea, unasema mwamba Magu alikuwa hamkubali?Mahojiano ya jana ya Rais Samia na Gazeti la New York Times alinukuliwa akisema alipata wakati mgumu kufanya kazi na Hayati Magufuli kutokana na msimamo wa Magufuli juu ya Covid-19.
Japokuwa simkubali Magufuli, lakini hii kauli haijakaa sawa, lakini nina uhakika Rais Samia hakudhamiria kusema hivyo, bali aliyekuwa akimhoji ndio alimbana na kulazimisha kusema hivyo.
Kwa wanaoangalia mahojiano ya viongozi na waandishi wa habari wa nchi za 'mbele' wanajua jinsi waandishi hao wanavyokuwa aggressive, mnakumbuka Tundu Lissu mwenyewe alivyobanwa na mwandishi wa BBC hadi kujikuta ametamka atawapa mashoga haki zao...! Baadae akaja kukana hakumaanisha hivyo, ila sikumlaumu maana unabanwa kwelikweli.
Sasa kwa mtu kama Rais ambaye ana wasaidizi wengi smart walitakiwa ku-anticipate maswali ambayo angeulizwa Rais, na Rais angekua namna ya kuyajibu kabla, kuna maswali mengine unaya-dodge tu badala ya kutoa majibu direct ambayo yataleta utata, ndivyo wanasiasa hufanya.
Wasimuache kama anaenda kuhojiwa TBC.
Nadhani hili halitajirudia tena.
Unajuaje kama mimi ni mwanamke?
Mkuu hujui siasa, pengine unasikiliza kinachosemwa kwenye press au mijadala na baadhi ya wanasiasa unaowaamini ukadhani wanawaambia ukweli wa kila kitu
Ila siasa hazipo hivyo. Iwe CCM iwe upinzani, iwe kwa wazungu
Kuna truths, half truths na lies, zote hizi unacheza nazo ili ku survive kwenye siasa
Kwani uongo dikteta ilikuwa siyo rahisi kufanya naye kaziMahojiano ya jana ya Rais Samia na Gazeti la New York Times alinukuliwa akisema alipata wakati mgumu kufanya kazi na Hayati Magufuli kutokana na msimamo wa Magufuli juu ya Covid-19.
Japokuwa simkubali Magufuli, lakini hii kauli haijakaa sawa, lakini nina uhakika Rais Samia hakudhamiria kusema hivyo, bali aliyekuwa akimhoji ndio alimbana na kulazimisha kusema hivyo.
Kwa wanaoangalia mahojiano ya viongozi na waandishi wa habari wa nchi za 'mbele' wanajua jinsi waandishi hao wanavyokuwa aggressive, mnakumbuka Tundu Lissu mwenyewe alivyobanwa na mwandishi wa BBC hadi kujikuta ametamka atawapa mashoga haki zao...! Baadae akaja kukana hakumaanisha hivyo, ila sikumlaumu maana unabanwa kwelikweli.
Sasa kwa mtu kama Rais ambaye ana wasaidizi wengi smart walitakiwa ku-anticipate maswali ambayo angeulizwa Rais, na Rais angekua namna ya kuyajibu kabla, kuna maswali mengine unaya-dodge tu badala ya kutoa majibu direct ambayo yataleta utata, ndivyo wanasiasa hufanya.
Wasimuache kama anaenda kuhojiwa TBC.
Nadhani hili halitajirudia tena.
Kiutaratibu ukipishana mtazamo na kiongozi wako katika jambo la msingi inabidi UJIUZULU!! Kwa nini makamu hakujiuzulu kwa kupishana na rais? Angrulizwa na waandishi Wa habari hivyo angesemaje?Bora kuwa mkweli siku zote utakuweka huru, atamsifia magu alipofanya vizuri lakini alipokwanga wacha amnange kisawasawa, damage ya kusema ukweli itachukua muda mduchu sana uongo ndio utakuathiri milele
Kidiplomasia, Samia anapaswa kujitenga au "kumkataa" Magufuli.Najua kwa ngazi ya juu kama president kabla ya kukutana na upande wa pili maswali na majibu yote yanakuwa yameandaliwa.
Haipendezi kwa mtu uliyempokea tena unamsema tofauti duniani.
Picha inakuja ni kuwa the late hakuwa na good communication na team yake.
What's picha yetu kwa dunia sasa.
Magufuli alimtaka Hussein Mwinyi awe makamu wa Raisi na Professor Mbarawa akagombee uraisi ZanzibarJohnny umesekosea, unasema mwamba Magu alikuwa hamkubali?
Diplomasia inayobadilika badilika pia ni hatari kwa uwekezaji nk vizuri kujenga hoja!!! Badala tu simply ohh niko tofauti na mtangulizi!!Diplomasia Leo kuwa hivi Kesho vile kutegemea aliye kwenye kiti haiko sawaKidiplomasia, Samia anapaswa kujitenga au "kumkataa" Magufuli.
Yeye Samia ameamua kuiendesha nchi kwa mwelekeo tofauti na mtangulizi wake, hivyo hayo anayoyafanya ni sahihi kabisa.
Hapaswi kabisa kuonekana ameubeba na kuukumbatia umagufuli.
Kiutaratibu ukipishana mtazamo na kiongozi wako katika jambo la inabidi UJIUZULU!! Kwa nini makamu halujiuzulu kwa kupishana na rais? Angrulizwa na waandishi Wa habari hivyo angesemaje?
Tofautisha moyo na rohoHakuna usafi wowote wa roho aliokuwa nao Nyerere