abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Punguza wivu wa mke mwenza
Mimi ni mwanamke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mwanamke
Na anaendeleza akili za kitoto maana alidumaa akili kwa miaka 5Muacheni huyo mama afunguke maana kwa miaka 6 ameishi akigombezwa kwenye vikao kama mtoto mdogo.
Alisema alipata wakati mgumu kufanya kazi na Magufuli,kutofautiana ni sawa kila mtu anatofauti zake Ila kusema ilikuwa ni ngumu kufanya nae kazi ni totally differentAcha usanii alijibu ukweli wa nafsi yake kwamba yeye alikuwa na mtazamo tofauti na boss wake kuhusu Covid-19, ikionekana amekosea ibaki hivyo I we sehemu ya CV take, kila MTU abebe mzigo wake ndio uwezo wake
Mficha uchi hazai aacha aaibike hivyo hivyo hana sifa za urais hio ni fact.Mambo mengine ni uwezo binafsi.
Swala hapa ni kutomuexpose na situations kama hizo.
Yaani wasaidizi wake wawe wajanja kumkwepesha na mazingira kama hayo. Itokee very rare kuwa anahojiwa na vyombo vikubwa kama hivyo.
Huko mbele watu wako ahead of us kwa karne kadhaa. Uwezo wao wa kufikiri ni mkubwa sana.
Thanks huyo alikuwa snitch mbaya sana inasikitishaAlisema alipata wakati mgumu kufanya kazi na Magufuli,kutofautiana ni sawa kila mtu anatofauti zake Ila kusema ilikuwa ni ngumu kufanya nae kazi ni totally different
Na sisi wa Mukono Christian University tupo na tunawazidi, upitie MUBS pia undergraduate, high school Najja SchoolsMakerereans tu ndio wanaweza hizo mambo,wengine majanga
Nchi ilikuwa inaeleweka vizuri na mwendeleozo mzuri tangia enzi za Mwinyi, Mkapa, Kikwete kwenye uchumi na Mambo ya nje, walikua wakitofautiana lakini tofauti hazikuwa kubwa Bali marekebisho tuNadhani kuna shida mahali nchi haiwezi kuwa kama mlango wa nyumba ya kichaa leo kaja kiongozi huyu umefunguka Kesho kaja mwingine umefungwa keshokutwa kaja mwingine umefungukuka.No tuwe serious tuwe na hoja hii trend ya mara funga kisha fungua kisha funga halafu fungua unafiki !! kwa nini hatuwi na sera na mkakati sustainable .Kwa nini itegemee nani yuko madarakani hadi mtu itoke nje ujikombe kusema mimi niko tofauti na yule wakati ulikuwa Serikali hiyo hiyo?
Very clear hajaanza kumkaanga magufuli huko marekaniInterview zote za wakubwa (Marais, wafalme, n.k) maswali ya msingi huandaliwa kabla na muhusika hupewa kabla ya interview. Maswali ya nyongeza katika swali la msingi ndie ya papo kwa papo.
Kifupi binafsi ninaimani kuwa Rais alijiandaa kujibu hivyo hivyo. Sioni kama kitu kipya kwani hata hapa nyumbani alishawahi kusema kuwa Nidhamu katika awamu ya 5 ilikuwa ni nidhamu ya uoga. Kauli hii sioni kama inatofautina sana na hiyo ya kufanya kazi na Magu.
Aliamua kuyatoa ya moyoni, na kwa kila mtu aliyewahi kufanya kazi na Magu atamuelewa Rais vizuri sana na atampa 5 nafikiri.
Angesema kwetu boss akisema habishiwi ndio katiba yetuNchi ilikuwa inaeleweka vizuri na mwendeleozo mzuri tangia enzi za Mwinyi, Mkapa, Kikwete kwenye uchumi na Mambo ya nje, walikua wakitofautiana lakini tofauti hazikuwa kubwa Bali marekebisho tu
Ila alipokuja Magufuli ikawa ni drastic changes, very radical, Hasan kwenye uchumi na Mambo ya nje
Samia anaendeleza Ile njia ya Mkapa na Kikwete na kuachana na ya Magufuli
Sema ninachotofautiana nae ni haya Mambo ya kusema ilikuwa ngumu kufanya kazi na Magufuli...haijakaa sawa
Samia hkudhamiria kusema maneno ya kumnanga Magu.Interview zote za wakubwa (Marais, wafalme, n.k) maswali ya msingi huandaliwa kabla na muhusika hupewa kabla ya interview. Maswali ya nyongeza katika swali la msingi ndie ya papo kwa papo.
Kifupi binafsi ninaimani kuwa Rais alijiandaa kujibu hivyo hivyo. Sioni kama kitu kipya kwani hata hapa nyumbani alishawahi kusema kuwa Nidhamu katika awamu ya 5 ilikuwa ni nidhamu ya uoga. Kauli hii sioni kama inatofautina sana na hiyo ya kufanya kazi na Magu.
Aliamua kuyatoa ya moyoni, na kwa kila mtu aliyewahi kufanya kazi na Magu atamuelewa Rais vizuri sana na atampa 5 nafikiri.
Wamarekani wenyewe wanaomba yasije kuwakuta kama yaliyotukuta Tanzania Biden akafa yule mama akachukua nchi kwani wanajua madhara ya mwanamke kua kichwa cha nchi.
Mwanamke ni mwanamke tu.
Samia hajawahi kumnanga Magu kabla, ni spinning tu za mtandaoniVery clear hajaanza kumkaanga magufuli huko marekani
Aibu yake abebe mwenyewe Samia alikuwa mpinzani wa Magufuli kajipambanua hajalazimshwaSamia hkudhamiria kusema maneno ya kumnanga Magu.
Kama unafuatilia hotuba zake mara nyingi hamnangi Magufuli
Hii ya juzi kuhusu nidhamu, alisema Magufuli alikuwa na staili yake ya ukali ambayo ilifanya kazi, Ila yeye kwa nature yake sio mkali atatumia staili nyingine
Hakukua na neno baya hapo zaidi ya spinning za mitandaoni
Watoe wanasiasaHuo ukwel mchungu,halafu mkumbuke waislamu haturuhusiw kuwa waongo
Msitetee kila MTU abebe mzigo wake Samia upeo mdogo, ashakuwa bibiSamia hajawahi kumnanga Magu kabla, ni spinning tu za mtandaoni
Juzi alisema Magufuli alikuwa na staili yake ya ukali iliyoleta nidhamu, akasema yeye kiasili sio mkali atakuwa na staili yake, huko sio kumnanga
Sio fair bhana bibi yeye anavua nchi nguoSasa uwongo kusema ukweli mbona yeye magufuli alikuwa anajimbwafai kusema kwamba watanzania tulipigwa sana alikuwa anauchafua sana awamu ya nne .aende mbele huko tutamchafua mwanzo mwisho
Nina uhakika Kuna maswali asingeweza kujibu. Mara ya mwisho alipohojiwa na bbc kuhusu kesi ya mbowe alisema "no comment". Na ndio naona alimaanisha huyu mleta thread.wanaomkosoa Rais walipaswa watuambie jee walitaka Rais aseme hakuwahi kutofautiana mawazo na Bosi wake?
kwanini tunataka Rais wetu awe muongo muongo?
sie tunataka dola za Wazungu mwacheni aseme lolote ambalo litarahisisha upatikanaji wa fedha
hata Comrade Kinana aliinanga sana Serikali ya Jakaya 2010-2015 ili kuingiza maboya wananchi tupate ushindi na kweli ushindi ukapatikana …mwanasiasa ili afanikishe lake hutumia 'silaha ' zote
Walianza kupata kwanza Maendeleo. Irudishe UK na Germany miaka 200 nyuma alafu peleka mwanamke uoneUingereza, Ujerumani, New Zealand, Liberia, hata wahafidhina kama Pakistan waliongozwa na wanawake ambao walifanya vizuri kuliko wanaume wengi tu
Sasa hivi hawataki maendeleo?Walianza kupata kwanza Maendeleo. Irudishe UK na Germany miaka 200 nyuma alafu peleka mwanamke uone