Rais Samia anasema 'hili tunalichukua'. Hayati John Magufuli aliamua pale pale jukwaani

Mkuu, mfalme Suleiman aliomba hekima kwa Bwana Mungu,hivyo huwezi kumfananisha na binadamu yoyote.
 
Namna zote mbili zina faida na hasara zake. Dunia haina jawabu moja ambalo liko sawa kwa kila nyakati au changamoto. JPM kuna baadhi ya mambo alifanikiwa sababu ya maamuzi ya aina ile na mambo mengine yaliharibika.

Hata Mama pia, kusubiri kwake kunaweza kuwa kwa heri na hata kwa shari nyakati nyingine. Si rahisi kuieleza dunia na mambo yake kwa kutumia platform moja tu for all the reference, kwa haya mambo yetu walimwengu
 
Hii chuki mliyonayo kwa JPM kwahakika itawa haunt maisha yenu yote...Hivi kwanza hamuoni kuwa ni laana kugombana na maiti? Mtu anaweza dhani mlimloga daah, mbona mnajichora hivi?
Kuongea/kuandika ukweli juu ya mtu fulani ni chuki!!???
"Mungu mtu" wenu hakuwa na ubora wa hata kuwa baba wa familia.
Baba hawezi kumbaka binti yake.
 
Uongozi wa Nchi unaofuata Sheria na Haki au Uongozi wa Familia ambao ni dictatorship ?

Busara ya kufuata ushauri na kuliangalia jambo kwa mapana na marefu ipo pale ili kuweka check and balances..., kwahio kiongozi akiwa chizi akiamua kesho tuwavamie majirani zetu wote ni sawa tu sababu akili yake inamwambia ni sahihi ?, Au akiambiwa fulani ni mchawi basi amuhukumu bila kuhakikisha huenda anasingiziwa ?
 
Madhara ya ujasiri yamekuja kuonekana baadae. Watu wameumizwa kwa maamuzi hayo yaliyowafurahisha watu jukwaani na wakaishia kushangilia.

Kumekuwepo na uonevu na makundi mawili yasiyokuwa na sababu wala umuhimu.
Wachache wameumizwa na wengi wakanufaika,
Na ukumbuke kutumbua ni kubadili mtu ktk nafasi yake, kazi ambayo Rais Ana mamlaka nayo
Cheo umepewa bure na Raisi na cheo kimeondolewa bure na Rais!
Cheo ni jukumu la kila mtanzania
 
Maneno yasiwe mengi,
Hangaya ni dhaifu!
 
Mwananchi : "Msaada! Msaada!, Naungua moto! Jamani Msaada!"

SSH : "Hili tumelichukua.Tutazungumza na fire tuone tunawezaje kulishughulikia"

JPM : "Chukua fire extinguisher zima moto!"

Alafu bado kuna watu wanathubutu kusema utendaji huo haukuwa na tija! Tanzania is burning in poverty,ignorance and diseases.
 
Upuuzi ni mwingi, wiziwizi tu
 
Hahahahaaaaaa

Chief Hangaya
 
Ongezea na hii..
Washenzi, wabinafsi, wezi, waporaji, dhurumati, wakandamizaji..

Come back JPM vurugavuruga in 10 year kutahamaki washenzi wote kwishney tunaanza upya tukiwa tunaheshimiana wote, itapendeza sana.
 

“hili tunalichukua' hili neno watanzania hawakulizoea awamu ya tano, litakigarimu ccm 2025-2030​

 
Wanawake kwa ujumla hawaaminiki ndugu yangu, anayemsifia mwanamke hana tofauti na nyimbo za wale wanaoimba kulisifia PENZI wakati kila siku wanaangamizwa na hilohilo penzi. Ndicho unachotaka kujaribu kusema hapo.

Kwa ufupi mama anaharibu nchi. Nchi hii imetawaliwa na wahuni haina haja ya kusubiri kuamua..ni papo kwa papo marekebisho baadae. Hili neno analotumia "tunalichukua" linatuingiza shimoni tukiwa wazima wazima
 
Mimi naikubali zaidi style ya JPM ya kutoa maamuzi ya papo kwa papo bila kujali nani atatendewa haki au nani ataonewa.

Mimi naamini kuwa, ni bora zaidi kufanya maamuzi ukakosea kuliko kutofanya maamuzi kwa kuogopa kukosea.

Rais ana mambo mengi sana, kwa hiyo akipata fursa adhimu ya kukutana na Wananchi ni vema atoe maamuzi papo kwa papo, kwani akishindwa kufanya hivyo kwa wakati huo kuna hatari ya kusahau kabisa jambo hilo.

Lakini, kwa Tanzania yetu hii ya sasa, tunahitaji mfululizo wa Marais 5 hivi wa aina ya JPM ili kukaa katika mstari.

Kama ni kubembelezana, JK aliwabembeleza sana watu lakini akafeli katika mambo mengi mengi tu. Kwa hiyo, kwa sasa tunahitaji Rais anayeweza kuipeleka Nchi mpera mpera kwa miaka kadhaa ijayo.
 
Imagine, wewe ndo Rais unakuta mtu mmoja amehujumu mradi wa maji ambayo yangehudumia hata zaidi ya Wananchi 5000, unamwuliza Mbunge anakiri kuwa, huyo ndo kahujumu mradi, Wananchi nao wanasema vivyo hivyo, halafu bila aibu unasema, HILI TUNALICHUKUA, TUTALIFANYIA KAZI.
Huo ni ulegevu na kukosa kabisa uwajibikaji.
 
Ungewajua waswahili kwa kutengenezeana kesi na kutafutiana ubaya ungekuwa na mawazo mengine kabisa.
 
NI maoni yako kusema mama anaharibu nchi wakati wanaume wameishaiharibu tangu uhuru.
 
[emoji817][emoji1241]
 
Upotevu wa muda. Badala ya kufanya mambo ya msingi unaanza kujadili matatizo ya baadhi ya watendaji wako.
Marehemu hakuwa na huu muda wa kipumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…