Pre GE2025 Rais Samia anaweza kupata 90% ya Kura kama atagombea 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na hawa Wanaotekwa na kupigwa katika awamu hii ya Samia pia watampigia kura sio?
kama Taifa yafaa kuwalaani, kuwakemea na kuwafichua majambazi, wporaji, waonevu na watekaji wa aina yoyote ile tundelee kufurahia matunda ya amani na utulivu kama ilivyo mila, desturi na utamaduni wetu wa kuheshimiana na kujali heshima na utu wa kila mtu πŸ’

kwasasa tuviachie vyombo vya dollar vifanye kazi yake kwa uhuru...

huku tukiendelea kumuunga mkono Dr Samia Suluhu Hassan kwa jitihada za makusudi anazochukua kwa manufaa ya waTanzania wote πŸ’

hatuna budi kuendelea kua pamoja nae hata 2025 endapo atagombea na tumpatie walau zaidi ya 90% ya kura zote πŸ’
 
Amini nakwambia hata ikichukuliwa Picha ya hayati Magufuli vs Samia still Picha ya hayati itashinda japo hayupo. Samia hapendwii huo ndo ukweli mchungu
Jiwe alikuwa mtu wa hovyo sana na alikubalika na watu kama wewe
 
Jeshi la kwenu, katiba ya kwenu, tume ya uchaguzi ya kwenu, mihimili yote ya kwenu, machawa wote wa kwenu. Kwanini msishinde kwa asilimia mia?
vyombo vya ulinzi na usalama ni mali ya waTanzania wote, na mihimili yote ya dola na katiba ni mali ya umma na wananchi wote wa Tanzania.
Hakuna hata siku moja mambo ya uma yatakua eti ni ya Fulani pekeyake πŸ’

hata hivyo,
ukiacha mihemko Dr.Damia Suluhu Hassan anaweza kupata zaidi ya 90% endapo atagombea urais 2025,we unaonaje hili πŸ’
 
Mwisho wa siku Mungu ndiye mwamuzi wa yote. Hata yule mwingine aliamini katika hila, nguvu, ubabe, uonevu, ukaidi, nk. Ila kilichokuja kutokea, kimebakia kuwa ni historia.
Imeandikwa,
Nchi na vyote viijazavyo ni Mali ya Bwana..

Mungu ni wetu sote, zawadi ya uhai na afya alizotujaalia bure tuzitumie vizuri, ni yeye pekee mwenye uamuzi navyo kwa miongoni mwetu wanadamu, wala hapana haja ya kutishika na hilo ..

kwa wengine kuishi ni Kristo kufa ni faida πŸ’

naona ushindi wa kishindo wa zaidi ya 90% kwa Dr.Samia Suluhu Hassan, unaonaje hili gentleman πŸ’
 
Awamu yenu hii wanawake. Pambaneni... tuko nyuma yenu.
 
Sawa, atapata asilimia zote
... tuseme mje mtupeleke katavi.
ni mtazamo tu,
huna sababu hata moja kutishwa kutoa maoni au mtazamo juu ya Dr Samia Suluhu Hassan na serikali yake sikivu.

be free mentally, emotionally saikolojikali and physically please you are all safe under the sun πŸ’
 
100%βœ“ sio 90
 
CCM mnajidanganya na kujitekenya wenyewe.

JK 2030 atakuwa amelamba udongo. Wa kuiokoa ccm wakati huo hatakuwa hayupo.

Gen-Z itawamaliza!
 
Labda aibe kama magu hana ubavu hata wa kumshinda hashim rungwe.
 
Ni mjinga na zombie pekee kama wewe anayeweza kuchagua tapeli na dhaifu
 
Labda aibe kama magu hana ubavu hata wa kumshinda hashim rungwe.
kwasababu ya ubwabwa sio 🀣
huyo si anapigaga kampeni dar tu halafu ndio kamaliza πŸ’
 
Nikuulize kwa wema tu je unadhani Rais Samia anapendwa zaidi na Watu kutoka Zanzibar au Tanganyika? Halafu pia je unadhani uchaguzi ukiwa huru na CCM anashinda kwa kiasi gani?
 
Ni mjinga na zombie pekee kama wewe anayeweza kuchagua tapeli na dhaifu
mihemko na ghadhabu za nini sasa gentleman? πŸ’

unadhani itashusha hiyo 90% ya kura za Dr Samia Suluhu Hassan 2025 ikiwa atagombea urais?🀣
 
Nikuulize kwa wema tu je unadhani Rais Samia anapendwa zaidi na Watu kutoka Zanzibar au Tanganyika? Halafu pia je unadhani uchaguzi ukiwa huru na CCM anashinda kwa kiasi gani?
hadi watoto wa dogo chekechea, msingi, sekondari, vyuo vikuu, taasisi za kidini na zisizo za kidini, wafanyabiashara, wakulima, wafugaji wanawake aise...

ni wengi sana, na upendo wa waTanzania kwa Dr Samia Suluhu Hassan haupimiki, huwez kusema sijui unapimika Zanzibar au wapi, haiko hivyo hiyo gentleman πŸ’

kwahivyo hiyo projection ya kupata zaidi ya 90% ni sawa kabisa πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…