Pre GE2025 Rais Samia anaweza kupata 90% ya Kura kama atagombea 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
True
 
Nasema hivi, hao 90% ya watakaojitokeza kupiga kura kwa mazingira haya ni mazombie, sasa atakosaje hiyo 90%?
 
Ongeza kidogo ni 96 asilimia
 
Nasema hivi, hao 90% ya watakaojitokeza kupiga kura kwa mazingira haya ni mazombie, sasa atakosaje hiyo 90%?
kuna uchaguzi mlishindwa vibaya sana,

halafu mkawaita wapiga kura waTanzania lile jina jingine ambalo liliwaumiza sana na mpaka leo huwa hawalisahau na ndicho kilichofanya wawakatae kila uchaguzi kwenye sanduku la kuraπŸ’

leo unawaita waTanzania wapiga kura nani eti, halafu baadae mkawaombe kura?🀣

unasema waTanzania wapiga kura ni nini?πŸ’
 
Nikawaombe watanzania kura kwani kuna uchaguzi?
 
Nakushauri tembelea Mirembe haraka sana
 
Muhimu watu wote wenye imani japo kidogo ya Uwepo wa Mungu tunawakumbusha kwamba hata wizi wa kura ni Dhulma kama Dhulma nyinginezo !!😳

Kazi kwenu kwa wenye tamaa ya maisha mazuri ya muda mfupi hapa Duniani πŸ˜³πŸ˜…πŸ‘
 
Nakushauri tembelea Mirembe haraka sana
maoni yako ni mazuri ila hayana maana,

ukweli ndio huo,
ni ushindi wa kishindo wa wazi kabisa kwa Dr.Samia Suluhu Hassan πŸ’
 
Muhimu watu wote wenye imani japo kidogo ya Uwepo wa Mungu tunawakumbusha kwamba hata wizi wa kura ni Dhulma kama Dhulma nyinginezo !!😳

Kazi kwenu kwa wenye tamaa ya maisha mazuri ya muda mfupi hapa Duniani πŸ˜³πŸ˜…πŸ‘
kwamba Mungu ni wako pekeyako na Imani yako, right?🀣

wenye Imani hawanaga hofu wala nongwa, husemaga kweli tu kwa Dr Samia Suluhu Hassan atashinda uchaguzi mkuu ujao ikiwa atagombea kwa zaid ya 90%πŸ’
 
Mtu akila sana anavimbiwa !
Na hata wakila vipi mwisho ni kwenda Toilet tu !
Na mwisho wa maji huwa ni tope tu !!
na hata ukiwa na mihemko na ghadhabu kiasi gani eneo ulilolitaja Lazima utalitembelea tu bila kulazimishwa 🀣

hata hivyo,
hiyo haibadili ukweli kwamba endapo Dr Samia Suluhu Hassan atagombea urais 2025, basi ushindi wa kishindo wa zaid ya 90% utamuhusu πŸ’
 
Huu woga ndio ushindi wao wala sio tume.
Wale ni raia tu kama raia wengine.
Ni waoga kama Kunguru kwa sababu kibaka ni jasiri akiona jamii inamiogopa.
mnadanganyana sio na kupeana moyo kwa kupotoshana 🀣
 
Sidhani kama unampenda Samia kweli! Ninachokiona kwako ni unafiki.
 
Ni nani y
ule aliyesemaga hata mkipigia kura wengine lakini sisi ndio washindi. πŸ™„πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…