Pre GE2025 Rais Samia anaweza kupata 90% ya Kura kama atagombea 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni nani y

ule aliyesemaga hata mkipigia kura wengine lakini sisi ndio washindi. πŸ™„πŸ˜…πŸ˜…
mambo haya ni kujipanga mapema tu ndugu zangu, hamna namna nyingine πŸ’
 
Labda kama wapiga kura ni wewe na mamaako mzazi
 
Labda kama wapiga kura ni wewe na mamaako mzazi
Yes,
Mama yupo hai,
na lazima atanipigia kura mimi kule jimboni, pamoja na Dr.Samia Suluhu Hassan urais, kura za uhakika hizo πŸ’


ila dah! Mzee ndio alishatangulia mbele za haki bana hatakuepo,
R.I.P Dady 🀭
 
Sidhani kama unampenda Samia kweli! Ninachokiona kwako ni unafiki.
kwako naona ni mihemko tu gentleman 🀣

but waTanzania wanampenda na wanamkubali sana huyu mama for sure πŸ’
 
Labda Zanzibar
 
Amini nakwambia hata ikichukuliwa Picha ya hayati Magufuli vs Samia still Picha ya hayati itashinda japo hayupo. Samia hapendwii huo ndo ukweli mchungu
Sami anapenda katika kila kona ya mtaa labda wewe tu ndo humpendi. Lakini yule aliyetudanganya eti tumeingi uchumi wa kati hata lisu tu alimpelekesha wakamuibia kura
 
Mwisho wa siku Mungu ndiye mwamuzi wa yote. Hata yule mwingine aliamini katika hila, nguvu, ubabe, uonevu, ukaidi, nk. Ila kilichokuja kutokea, kimebakia kuwa ni historia.
Mgosi kuna kila dalili hata wife alikuwa Haku baliani naye na kumuonya lakini kiburi kikazidi.
Ndio maana ndani ya mwaka mmoja wa ujane akapendeza na kunawiri!
 
Kama watanzania wote watakua chawa kama wewe atapata 700/
 
Wewe mdanganye tu
Mbona anataka ccm itoe fomu moja ya urais kama anakubarika?
 
Wewe mdanganye tu
Mbona anataka ccm itoe fomu moja ya urais kama anakubarika?
ungependelea zitolewe ngap kwa maoni yako wew usie mwanachama wa CCM? πŸ’

achilia mbali CCM, Dr Samia Suluhu Hassan anapendwa sana nchi nzima na anakubalika ndani na nje ya CCM na waTanzania walio wengi....

ushindi wa kishindo wa zaidi ya 90% unaozungumzwa mitandaoni is real gentleman, hakuna mchezo kabisaa πŸ’
 
Kama watanzania wote watakua chawa kama wewe atapata 700/
vitu vya kumpatia Dr Samia Suluhu Hassan ushindi wa kishindo wa zaidi ya 90% viko wazi kabisa,

mtu anune, azire, adhihaki, adharau autukane, but over 90% victory for Dr Samia Suluhu Hassan is real πŸ’
 
kwako naona ni mihemko tu gentleman 🀣

but waTanzania wanampenda na wanamkubali sana huyu mama for sure πŸ’
Wapigaji wote big πŸ‘ YES πŸ™Œ
But wanyonge wote wanaendelea kumkumbuka Ngosha
Wanasemaga RIP JPM πŸ™„πŸ˜³πŸ€ 

Hapa nimewachanganya watu πŸ˜³πŸ˜…πŸ˜…
 
Naunga mkono hoja.chadema wamejikatia tamaa kabisa huku mitaani.wanajiendea tu kama vipofu.
 
Naona umekuja kupima upepo🀣🀣 mwambie akagombee Kwao ZANZIBAR Kizimkazi.

Halafu mtoa uzi Msalimie saaaana CHURA KIZIWI 🐸 🐸 🐸 🐸 🐸 🀣🀣
 
Naona umekuja kupima upepo🀣🀣 mwambie akagombee Kwao ZANZIBAR Kizimkazi.

Halafu mtoa uzi Msalimie saaaana CHURA KIZIWI 🐸 🐸 🐸 🐸 🐸 🀣🀣
waTanzania kwa ujumla kwa makundi yao bara na visiwani wanamkubali na wameamua awe kiongozi wao hadi tuendako πŸ’

kuna ubaya wowote gentleman, mfano akapata ushindi wa kishindo wa zaid ya 90% ya kura zote za urais?πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…