Rais Samia anawezaje kujenga zahanati 564, Vituo vya Afya 304 na Hospitali 68?

Hatare! Ukichanganya na hospitali na vituo vya afya 700 vilivyojengwa wakati JPM bila shaka tutakuwa hatuna tena shida ya vituo vya afya bali vifaa tiba na madawa.

Vv
Kila kitu kitawekwa sawa,
 
Inawezekana kwa sababu tumeendelea kukamuliwa kodi na tozo bila chembe ya huruma.

Kodi na tozo hizo zimrendelea kupongezwa hata katikati ya majanga kama ya Corona na vita vya Ukraine.

Kwenye wakamuliwa kodi na tozo hizo wapo wasioweza kumudu hata zaidi ya mlo mmoja kwa siku.

Hospitali zenyewe ni majengo bila dawa wakati bajeti yake ni matrilioni yanaoishia mifukoni mwao.
 
Niwapi hakuna dawa mkuu wangu?
 
tujiulize pia miaka yote hiyo hela zake zinafanyaga nini, tunapgigwaa sana
 
Niwapi hakuna dawa mkuu wangu?

Hospitali ipi ina dawa? Umewahi kuumwa au kuigiza ndani ya mwaka mmoja uliopita?

Ushauri wa bure rasmi wangefuta tu dawa mahospitali ni waseme dawa hamna na bajeti hiyo haipo.

Sasa hivi bajeti ipo na dawa hamna.
 
Leta majina na orodha ya vilipo hivyo vituo, awamu ya 5 mlisema kuna viwanda vipya 100 kila mkoa ambavyo havina majina mpaka leo
Nakuunga mkono. Takwimu hizo utakuta 90% fake- ni mapambio tu ya watu wake. Hapo hawatajwi walipa kodi na tozo ambao ndiyo hela zao. Halafu pia msisahau ya CAG.
 
Asante kwa kutufahamisha wananchi.Wananchi wengi tunamuombea Mungu,ampe Afya na uzima.
 
Duuuh!

Ila Mama Samia ni kiboko aise, Tanzania ilisubiri Rais wa aina hii kwa muda mrefu sana,

Kongole Mama Samia keep on moving,
Sana,huyu ndio Rais,wananchi,anatufurahisha kwa kututatulia mataizo yetu kwa vitendo,bila maneno mengi.
 
Watakwambia hakuna alichofanya kwa mwaka mmja 😁😁😁😁..

Ukiwaomesha watabadili GIA Angani kwamba miradi aliikuta πŸ˜‚πŸ˜‚..

Narudia tena hakuna Rais atamfikia Samia kati ya wote waliopita..

Sio tuu Kwenye Afya,Hali ni hiyo hiyo kwenye maji, barabara na sekta zingine..

Good enough Samia anajua kutafuta pesa πŸ‘‡



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…