Rais Samia anayepingwa kwa uzanzibari wake ndiye amefanya makubwa kuliko hao Marais wa Tanganyika

🀝
 
-Kuhamisha Masai wasiharibu Hifadhi inayoingiza pesa 67% za Mapato sio jambo la Kitaifa?

-Kuamua kuwekeza kwenye Kilimo Ili kufuta uagizaji wa bidhaa za Kilimo mfano ngano by 2030 sio jambo la Kitaifa?

-Kuamua kufanya maamuzi ya kufuta shida ya Maji Tanzania nzima sio jambo la Kitaifa?

-Kuamua kufikisha Huduma za Jamii Kila Kijiji Kwa maslahi ya Nchi sio jambo la Kitaifa?

-Kuamua kubadili mtaala wa Elimu ilimuendane na matakwa ya Dunia ya Sasa sio jambo la Kitaifa?

-Kuamua Kufanya uamzi wa kubinafsisha mashirika na mataasisi yanaayoleta hasara na kutumia vibaya Kwa maslahi ya wachache mfano Bandari sio jambo la Kitaifa?

-Kuamua Kwa makusudi kubadili utaratibu wa kuwekeza kwenye miundombinu hasa Barabara na kuja na model Mpya eg EPC+F ,PPP ,Kumwaga pesa kufungua Nchi Vijiji sio jambo la Kitaifa?

-Kuamua kuja na sera ya Bima ya Afya Kwa wote na sheria kupitishwa tayari Kwa utekelezwaji sio jambo la Kitaifa?

Mwisho hayo uliyoita mambo ya Kitaifa ya Magufuli,vipi yenyewe hayatekelezwi Kwa pesa zinazopangwa kwenye Bajeti? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Ujinga ni mzigo.

Kama unadhani bwawa sijui reli nk ndio mwisho wa Ujenzi wa Nchi hii imekukata zinakuja nyingine nyingi sana kama tuu ambavyo zilikiwa zinajengwa kabla.JK alianzisha ujenzi wa Sgr na alizondua kabisa kabla ya Magu,alichofanya Mwendazake ni kubadili modelity,kawadanganye I nyumbu wenzenu.
 
Wewe Kwa ujinga wako unadhani Rais yupi anaweza mfikia Samia? Au unadhani Kila mtu ni mbumbumbu kama wewe?
Ni kweli hakuna Rais mwingine aliyetangulia anayemzidi Sa100.
Kwa Uongozi mbovu!!.
Huyu Mama anaonekana kabisa anategemea tu habari za kuambiwa/kushauriwa ila yeye binafsi hana maono kabisa ya kuiletea nchi maendeleo.
 
Kwa nini hawakubanwa mkawa mnakunya vichakani na kwenye maji? Ustaarabu huanzia chooni,nyie ndio huko kwenye Majumba yenu mtakuwa mnanuka vyoo.
 
Ni kweli hakuna Rais mwingine aliyetangulia anayemzidi Sa100.
Kwa Uongozi mbovu!!.
Huyu Mama anaonekana kabisa anategemea tu habari za kuambiwa/kushauriwa ila yeye binafsi hana maono kabisa ya kuiletea nchi maendeleo.
Wewe umemuambia mara ngapi? Uongozi mbovu ndio umewazidi woote wakiwamo mnaodhani ni mahiri ndio maana mnakwepa kuweka takwimu Kwa sababu mtaaibika.

Mwisho kwani wewe ukisema ni mbovu yet ana deliver ndio itaondoa ukweli kwamba amewazidi? 😁😁
 

Watu kama ww ndio wanafanya uchaguzi kwa ccm uwe mgumu Sana, no matter chama kimeongoza since dunia imeumbwa

Unaongea hoja nyepesi Sana ambazo hata yeye mwenyewe Rais akisoma atakushangaa
 
Maandishi tu haya kwenye uhalisia tunajua hali ngumu
Mko bize kununua magari ya bil 500 ila kununua madawa na kujenga vyoo vya shule mpaka mtegemee michango ya wahisani
Vipi pesa ya covid bado ipo?
Kuna Rais ameawahi toa Madawa kuzidi Samia?

**** Rais amewahi nunua magari ya Kuhudumia jamii eg ambulance,Tarura ,Elimu kushinda Samia?

Wahisani Huwa hawachangii penye matobo elewa hivyo .

Swali jingine please.
 
Hivi umekisoma ulichokiandika au umeandika kwakuwa watu watasoma.? Hacha kumwaga mapambio ata kwenye mambo yanayo onekana dhairi, ni shule za wapi hizo zenye miundombinu Bora, hizo Barbara unazosema zipo wapi.? Tena unasema Kwa msisitizo "zisizo na kawaida" πŸ€”Ukombozi wa fikra mnahitajika Sana hapa TZ
 
Gharama za maisha za mwaka 1977 haziwezi fanana na za mwaka 2024, itakuwa ni ajabu kama kilo ya unga iliyouzwa tsh 200 mwaka 1970's hadi leo hii mwaka 2024 iuzwe kwa bei hiyo
 
Hizo ni takwimu Tu,

Mwaka wa fedha ujao utashangaa kila wizara inasema imepata % 30 ya bajet yote

Sikiliza Bunge la bajet utaaamini

Achana na hayo maandishi
Haijawahi tokea chini ya Samia.Utekelezaji wa Bajeti ni zaidi ya 90% maana mama ana hela.

Mwisho nikiachana na maandishi nisikilozie stori zako za vijiweni au?
 
Haijawahi tokea chini ya Samia.Utekelezaji wa Bajeti ni zaidi ya 90% maana mama ana hela.

Mwisho nikiachana na maandishi nisikilozie stori zako za vijiweni au?

Nitajie wizara ambayo ilipata % 60 ya ela zote za bajet yake mwaka wa fedha uliopita
 
Unauliza Shule awamu ya Samia? Are you serious?

Unauliza Barabara Kwa Samia? Are you serious? Sio tuu Barabara Bali kafunga taa za Barabarani Nchi nzima mjini na Vijijini πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…