Rais Samia anayepingwa kwa uzanzibari wake ndiye amefanya makubwa kuliko hao Marais wa Tanganyika

Rais Samia anayepingwa kwa uzanzibari wake ndiye amefanya makubwa kuliko hao Marais wa Tanganyika

Yani mie huwa nawaona MAFALA wanaomsifia Samia.
Hii nchi inajifia wao wanamsifia.
Ukikuta wafanyakazi wanasifia mshahara kuongezwa huku gharama za maisha zimepanda sasa hela iliyoongezwa si inarudi kulekule sawa na bure?!
Pia watu hawajiulizi serikali inaongeza mishahara pesa inatoa wapi ya kuongeza mishahara kila muda!?
Jinga kabisa hawa.
🤝
 
Wewe unaakili kweli rais ndio amefanya hayo au ni bajeti ilipangwa kutekeleza hayo, unapozungumzia rais kufanya Jambo ni lazima liwe linahusisha taifa Kwa ujumla lenye kubadilisha mipango ya nchii.

Mfano: magufuli alifanya maamuzi ambayo ni ya kitaifa, kujenga bwawa la umeme ambalo linazalisha umeme ambalo Tanzania tokea ipate Uhuru haijawai kuuzalisha mg: 2100.

Alifanya maamuzi ya kujenga reli ambayo hayajafanyika Kwa miaka 120,tokea reli ya wachina ya Msaada.

Alifanya maamuzi ya kujenga daraja lefu kuliko yote Tanzania pale ziwani mwanza.

Alifanya maamuzi ya kufufua shirika la ndege ambalo lilikufa Kwa miaka ZAIDI ya ishirini.

Alifanya ujasusi WA kiuchumi kuinyang'anya Kenya mradi wa Bomba la mafuta kuuleta Tanzania.

Aliweza kusimama kidete kile alichokiamini kutetea wananchi wake kuhusu korona na kutuaminisha kwamba huu ni ugonjwa kama magonjwa mengine tuuzoee na tuishi nao, na ndicho mwisho WA siku WHO wakaja kukili kuwa tujifunze kuishi nao.

Ndiye aliyeasisi mfumo wa ukusanyaji wa Kodi huu huu unaona awamu hii inajisifia.

Ndiye aliyevunja rekodi ya kuamisha makao makuu ya nchii na kujenga ikulu tokea Uhuru.

Amefanya mageuzu ya mfumo wa madini ya nchii hii kitu ambachi hakuna rais yoyote aliyewai kuthubutu Kwa kuwahofia wazungu.

Haya ndio mambo ya kitaifa ambayo rais anapaswa kuyafanya ya kukumbukwa, hayo madogo madogo JPM kayafanya mengi mpaka bhasi.
-Kuhamisha Masai wasiharibu Hifadhi inayoingiza pesa 67% za Mapato sio jambo la Kitaifa?

-Kuamua kuwekeza kwenye Kilimo Ili kufuta uagizaji wa bidhaa za Kilimo mfano ngano by 2030 sio jambo la Kitaifa?

-Kuamua kufanya maamuzi ya kufuta shida ya Maji Tanzania nzima sio jambo la Kitaifa?

-Kuamua kufikisha Huduma za Jamii Kila Kijiji Kwa maslahi ya Nchi sio jambo la Kitaifa?

-Kuamua kubadili mtaala wa Elimu ilimuendane na matakwa ya Dunia ya Sasa sio jambo la Kitaifa?

-Kuamua Kufanya uamzi wa kubinafsisha mashirika na mataasisi yanaayoleta hasara na kutumia vibaya Kwa maslahi ya wachache mfano Bandari sio jambo la Kitaifa?

-Kuamua Kwa makusudi kubadili utaratibu wa kuwekeza kwenye miundombinu hasa Barabara na kuja na model Mpya eg EPC+F ,PPP ,Kumwaga pesa kufungua Nchi Vijiji sio jambo la Kitaifa?

-Kuamua kuja na sera ya Bima ya Afya Kwa wote na sheria kupitishwa tayari Kwa utekelezwaji sio jambo la Kitaifa?

Mwisho hayo uliyoita mambo ya Kitaifa ya Magufuli,vipi yenyewe hayatekelezwi Kwa pesa zinazopangwa kwenye Bajeti? 😂😂😂😂😂😂😄😄😄😄 Ujinga ni mzigo.

Kama unadhani bwawa sijui reli nk ndio mwisho wa Ujenzi wa Nchi hii imekukata zinakuja nyingine nyingi sana kama tuu ambavyo zilikiwa zinajengwa kabla.JK alianzisha ujenzi wa Sgr na alizondua kabisa kabla ya Magu,alichofanya Mwendazake ni kubadili modelity,kawadanganye I nyumbu wenzenu.
 
Wewe Kwa ujinga wako unadhani Rais yupi anaweza mfikia Samia? Au unadhani Kila mtu ni mbumbumbu kama wewe?
Ni kweli hakuna Rais mwingine aliyetangulia anayemzidi Sa100.
Kwa Uongozi mbovu!!.
Huyu Mama anaonekana kabisa anategemea tu habari za kuambiwa/kushauriwa ila yeye binafsi hana maono kabisa ya kuiletea nchi maendeleo.
 
Sasa ukikopa pesa ukajengea choo,

Kuna biashara Gani chooni itakayokusaidia kupata pesa ya kulipa mkopo?

Kwani kinyesi Cha watoto mashuleni Huwa kinazalisha gesi asili Kisha zinapatikana pesa ya kuwezesha kulipa mikopo ya ujenzi wa vyoo?

Halmashauri wangebanwa, mapato ya ndani, yangeweza kujenga vyoo vya kisasa bila kukopa.

Tukisema viongozi hawana maono, mnadai mnatukanwa!!
Kwa nini hawakubanwa mkawa mnakunya vichakani na kwenye maji? Ustaarabu huanzia chooni,nyie ndio huko kwenye Majumba yenu mtakuwa mnanuka vyoo.
 
Ni kweli hakuna Rais mwingine aliyetangulia anayemzidi Sa100.
Kwa Uongozi mbovu!!.
Huyu Mama anaonekana kabisa anategemea tu habari za kuambiwa/kushauriwa ila yeye binafsi hana maono kabisa ya kuiletea nchi maendeleo.
Wewe umemuambia mara ngapi? Uongozi mbovu ndio umewazidi woote wakiwamo mnaodhani ni mahiri ndio maana mnakwepa kuweka takwimu Kwa sababu mtaaibika.

Mwisho kwani wewe ukisema ni mbovu yet ana deliver ndio itaondoa ukweli kwamba amewazidi? 😁😁
 
Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo nchini ndio hoja kweli ya kuwaambia watanzania?

Hatujui hata mnakosimamia, mara maandamano, mkitoka huko mna hoja ya maisha magumu wakati Tundu Lissu ulimdai Rais Samia hela zako zote za ubunge na amekulipa, sasa hivi unakula raha tu mwenzetu maana maokoto uliyolipwa ya maana.

Tuachane na hoja hizo, ukweli ni kuwa huyo Rais ambaye analalamikiwa kuwa sio mtanganyika ndiye amefanya balaa kubwa la maendeleo hapa nchini.Hivi leo hakuna kijiji wala kata wala Tarafa wala wilaya ambazo hazina maboresho ya miradi ya elimu, kila shule ya kijiji ina miundombinu mizuri ya madarasa ukilinganisha na marais waliopita.

Rais Samia amejenga hospitali kubwa mpya za kisasa mikoani na wilayani, watoto wa Mbowe, shangazi zake, wajomba zake wanakwenda kutibiwa.

Zahanati kila kijiji zimejengwa kwa fedha za serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan.Tunamtaja yeye kwa sababu ndiye mwenye serikali.Fedha hizi hazitolewi na Mnyika, wala Heche wala Lissu, ni serikali ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan.

Miradi ya barabara sio ya kawaida, leo Lissu unaharibu barabara iliyojengwa kwa fedha za serikali ya Dkt Samia Suluhu Hassan kwa maandamano, kazi ya ujenzi wa barabara ilianza wakati wa awamu ya Kikwete lakini kwa sasa Dkt.Samia ameifungua nchi, leo unaweza kutembea umbali wa kilomita 2000 na usikutane na barabara ya vumbi.

Miradi ya maji imeboreshwa sana, kazi ya kumtua mama ndoo kichwani inaendelea.Rais Samia hatumii nguvu kujibizana na watu, yeye anahangaika na maisha ya watanzania, period.

Kwa kazi hiyo anayoifanya Rais Samia ya kujenga miundombinu ya elimu, afya, barabara nk unadhani utazungumza hoja gani zaidi ya ubaguzi wa kifala.

Hao wananchi unaowahutubia kwa kuwaambia unadai Tanganyika yako wanakushangaa kwa sababu hakuna hata mmoja kati ya hao unaowahutubia wanaojua jina hila limetokea wapi? Watanzania wengi hatuikubali hio hoja ya kututenganisha, sana sana tunawaona wajinga na mmeishiwa hoja.

Rais Samia, endelea kupiga kazi mama yetu, kazi ya kujenga nchi sio mchezo, ina misukosuko mingi, ina mawimni mengi, sisi wengine tunaopenda amani ya nchi itawale tutaendelea kukuunga mkono mwanzo mwisho hadi kieleweke.Kazi iendelee.

Watu kama ww ndio wanafanya uchaguzi kwa ccm uwe mgumu Sana, no matter chama kimeongoza since dunia imeumbwa

Unaongea hoja nyepesi Sana ambazo hata yeye mwenyewe Rais akisoma atakushangaa
 
Maandishi tu haya kwenye uhalisia tunajua hali ngumu
Mko bize kununua magari ya bil 500 ila kununua madawa na kujenga vyoo vya shule mpaka mtegemee michango ya wahisani
Vipi pesa ya covid bado ipo?
Kuna Rais ameawahi toa Madawa kuzidi Samia?

**** Rais amewahi nunua magari ya Kuhudumia jamii eg ambulance,Tarura ,Elimu kushinda Samia?

Wahisani Huwa hawachangii penye matobo elewa hivyo .

Swali jingine please.
 
Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo nchini ndio hoja kweli ya kuwaambia watanzania?

Hatujui hata mnakosimamia, mara maandamano, mkitoka huko mna hoja ya maisha magumu wakati Tundu Lissu ulimdai Rais Samia hela zako zote za ubunge na amekulipa, sasa hivi unakula raha tu mwenzetu maana maokoto uliyolipwa ya maana.

Tuachane na hoja hizo, ukweli ni kuwa huyo Rais ambaye analalamikiwa kuwa sio mtanganyika ndiye amefanya balaa kubwa la maendeleo hapa nchini.Hivi leo hakuna kijiji wala kata wala Tarafa wala wilaya ambazo hazina maboresho ya miradi ya elimu, kila shule ya kijiji ina miundombinu mizuri ya madarasa ukilinganisha na marais waliopita.

Rais Samia amejenga hospitali kubwa mpya za kisasa mikoani na wilayani, watoto wa Mbowe, shangazi zake, wajomba zake wanakwenda kutibiwa.

Zahanati kila kijiji zimejengwa kwa fedha za serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan.Tunamtaja yeye kwa sababu ndiye mwenye serikali.Fedha hizi hazitolewi na Mnyika, wala Heche wala Lissu, ni serikali ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan.

Miradi ya barabara sio ya kawaida, leo Lissu unaharibu barabara iliyojengwa kwa fedha za serikali ya Dkt Samia Suluhu Hassan kwa maandamano, kazi ya ujenzi wa barabara ilianza wakati wa awamu ya Kikwete lakini kwa sasa Dkt.Samia ameifungua nchi, leo unaweza kutembea umbali wa kilomita 2000 na usikutane na barabara ya vumbi.

Miradi ya maji imeboreshwa sana, kazi ya kumtua mama ndoo kichwani inaendelea.Rais Samia hatumii nguvu kujibizana na watu, yeye anahangaika na maisha ya watanzania, period.

Kwa kazi hiyo anayoifanya Rais Samia ya kujenga miundombinu ya elimu, afya, barabara nk unadhani utazungumza hoja gani zaidi ya ubaguzi wa kifala.

Hao wananchi unaowahutubia kwa kuwaambia unadai Tanganyika yako wanakushangaa kwa sababu hakuna hata mmoja kati ya hao unaowahutubia wanaojua jina hila limetokea wapi? Watanzania wengi hatuikubali hio hoja ya kututenganisha, sana sana tunawaona wajinga na mmeishiwa hoja.

Rais Samia, endelea kupiga kazi mama yetu, kazi ya kujenga nchi sio mchezo, ina misukosuko mingi, ina mawimni mengi, sisi wengine tunaopenda amani ya nchi itawale tutaendelea kukuunga mkono mwanzo mwisho hadi kieleweke.Kazi iendelee
Hivi umekisoma ulichokiandika au umeandika kwakuwa watu watasoma.? Hacha kumwaga mapambio ata kwenye mambo yanayo onekana dhairi, ni shule za wapi hizo zenye miundombinu Bora, hizo Barbara unazosema zipo wapi.? Tena unasema Kwa msisitizo "zisizo na kawaida" 🤔Ukombozi wa fikra mnahitajika Sana hapa TZ
 
TOKEA AINGIE GARAMA ZA MAISHA ZIMEPANDA KWA KASI YA HALI YA JUU UPANDISHAJI WA BEI KIHOLELA MAISHA YAMEZIDI KUWA MAGUMU

KAKUTA MIUNDOMBINU YA JPM NA MIRADI ALIOACHA AKAIENDELEZA HAKUNA JAMBO JIPYA ALILOLIANZISHA PUNGUZENI NJAA NYIE MACHAWA

TATIZO LENU NYIE MACHAWA MKISHAPATA VITENGO HUKO HUWA MNAJISAHAU NA KUANZA KUSIFIA TU YAANI MBONGO MPE KITENGO NJAA IISHE TU

JAMBO KUBWA AMBALO AWAMU HII LIMEFANYA VYEMA KULIKO AWAMU ZOTE NI KUKOPA TU YUPO VZURI
Gharama za maisha za mwaka 1977 haziwezi fanana na za mwaka 2024, itakuwa ni ajabu kama kilo ya unga iliyouzwa tsh 200 mwaka 1970's hadi leo hii mwaka 2024 iuzwe kwa bei hiyo
 
Hizo ni takwimu Tu,

Mwaka wa fedha ujao utashangaa kila wizara inasema imepata % 30 ya bajet yote

Sikiliza Bunge la bajet utaaamini

Achana na hayo maandishi
Haijawahi tokea chini ya Samia.Utekelezaji wa Bajeti ni zaidi ya 90% maana mama ana hela.

Mwisho nikiachana na maandishi nisikilozie stori zako za vijiweni au?
 
Haijawahi tokea chini ya Samia.Utekelezaji wa Bajeti ni zaidi ya 90% maana mama ana hela.

Mwisho nikiachana na maandishi nisikilozie stori zako za vijiweni au?

Nitajie wizara ambayo ilipata % 60 ya ela zote za bajet yake mwaka wa fedha uliopita
 
Hivi umekisoma ulichokiandika au umeandika kwakuwa watu watasoma.? Hacha kumwaga mapambio ata kwenye mambo yanayo onekana dhairi, ni shule za wapi hizo zenye miundombinu Bora, hizo Barbara unazosema zipo wapi.? Tena unasema Kwa msisitizo "zisizo na kawaida" 🤔Ukombozi wa fikra mnahitajika Sana hapa TZ
Unauliza Shule awamu ya Samia? Are you serious?
1788786682.jpg
-1777389216.jpg
-1943699279.jpg
-922811847.jpg

Unauliza Barabara Kwa Samia? Are you serious? Sio tuu Barabara Bali kafunga taa za Barabarani Nchi nzima mjini na Vijijini 👇👇
-1833041283.jpg
-1802034121.jpg
1850822653.jpg
 
Back
Top Bottom