Rais Samia anayepingwa kwa uzanzibari wake ndiye amefanya makubwa kuliko hao Marais wa Tanganyika

Nitajie wizara ambayo ilipata % 60 ya ela zote za bajet yake mwaka wa fedha uliopita
Yaani wewe ni punguani wa mwisho.Soma hii trend hapa chini ya Wizara kuanzia mwaka 2021-2023 maana imeonesha pesa zilizotoka hapa,hakuna Wizara imepata pesa chini ya 60% 👇
 
Wakati wa Nani haukuwa na shule ?
Kuanzia Mwendazake kurudi nyuma shule zilikwua hovyo hovyo tuu kidogo JK alijitahidi na Shule zake za Kata.

Unaulizia Shule awamu ya Samia? Are you serious? 👇👇

Nyie nyumbu na wapuuzi wengine hakuna sekta unayoweza mtask Samia ukakuta ame underperform,sio sawa na wale walikuwa wanasingizia Sgr sijui madaraja.Samia amepiga kote na hakuna kisingizio au wewe umewahi msikia anasingizia kama Magufuli?
 
Kweli kafanya makubwa maana hata deni limekuwa kubwa
Umewahi sikia Tanzania imeshindwa kulipa deni au imeshindwa kukopesheka? 😂😂😂😂

Mtahamisha sana Magoli ila elewwni kwamba hakuna Rais wa kumgikia Samia Kwa lolote na Kwa sekta yeyote unayoijua wewe.

Wakati mnaweweseka na bwawa la Nyerere,Mama ameshaanzisha miradi mingine ya Umeme mfano Malagalasi,Kakono na Kishapu ujenzi unaendelea.
 

Ha ha ha ha we jamaa bwana dah

Hizo shule ziko elf ngapi? Wilayani kwako kuna shule kama hiyo?

Shule za display ndio unaweka kama za inchi mzima?

Nenda mtwara, newala, tandahimba, Lete shule za huko
 
Yaani wewe ni punguani wa mwisho.Soma hii trend hapa chini ya Wizara kuanzia mwaka 2021-2023 maana imeonesha pesa zilizotoka hapa,hakuna Wizara imepata pesa chini ya 60% 👇
View attachment 2984322View attachment 2984323


Haya si makaratasi Tu? Uhalisia ukoje?

Ww unaongea mambo Kwa hewani Tu

Njoo fld uone

Hakuna hizo vitu

Miradi mingapi ya wizara husika ilikuwepo kwenye bajet la year na haijafanyika
 
Ha ha ha ha we jamaa bwana dah

Hizo shule ziko elf ngapi? Wilayani kwako kuna shule kama hiyo?

Shule za display ndio unaweka kama za inchi mzima?

Nenda mtwara, newala, tandahimba, Lete shule za huko
Samia amejenga shule hizo za Gorofa Mikoa yote 26 ni maalumu Kwa Ajili ya Wasichana (Women Empowerment-Form 5&6)

Pili Mikoa yote mikubwa na hususani Dar na Miji yenye Changamoto za Ardhi shule zinazotengwa Sasa ni magorofa tuu.

Mwisho hakuna shule hata Moja ambayo inajengwa na Samia iwe Kijijini au Mjini ikawa ni ya hovyo,zinajengwa zikiwa full package.

Mnachoweza kumhusu Samia ni chuki tuu ila hakuna kitu mnaweza shindana nae 👇👇

View: https://twitter.com/ortamisemitz/status/1786672270422761942?t=3j4JI0UT-rRF_37kbCfuXQ&s=19
 

Kijiji chetu hakuna Zahanati .....!!
 
Kijiji chetu hakuna Zahanati .....!!
Kwani umeambiwa ndani ya miaka 3 Samia ataweza Jenga zahanato Kila Kijiji?

Hata hivyo Kama hakuna mwaka huu wa Fedha ,mtapata zahanato kabla ya 2030 manaa mwaka ujao wa Fedha Kuna mabilioni yametengwa Kwa Ajili ya zahanati Mpya na kumalizika maboma ya Wananchi.
 
tupo wengi tu, ninyi magaidi ndio hamuitaki Tanganyika, ila sisi wengine, Tanganyika is just a matter of time, itarudi tu.
Tanganyika ikirudi itakusaidia nini sasa,mnajazwa akili za kifala na hao wendawazimu na nyinyi mnajaa...

Unapigania jina katika zama hizi kama siyo uchizi tuite nini sasa.
 
Wewe si umesema Zahanati kila kijiji ....!!
 
Zahanati kila kijiji zimejengwa kwa fedha za serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan.Tunamtaja yeye kwa sababu ndiye mwenye serikali.Fedha hizi hazitolewi na Mnyika, wala Heche wala Lissu, ni serikali ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan.
 
Tukiachana na kumalizia viporo Samia amefanya nini? Labda kuuza Rasilimali za nchi hapo Sawa. Na kufunga taa za Barabarani Kwenye kila miji
 
Tanganyika ikirudi itakusaidia nini sasa,mnajazwa akili za kifala na hao wendawazimu na nyinyi mnajaa...

Unapigania jina katika zama hizi kama siyo uchizi tuite nini sasa.
hela zetu hazitakuwa zinatumikwa kwa wazanzibari, zitatumika kujenga Tanganyika, pia, hatutakuwa na mtu toka nchi za nje anayetalawa Tanganyika, tutakuwa na Rais mwenye uchungu na Tanganyika's bandari, mbuga za wanyama na maliasili zote, hatutakuwa na mtu mwenye uchungu wa nchi nyingine kama zanzibar lakini anatawala Tanganyika. tutawacharge umeme wazanzibar hawatasamehewa mamia ya mabilioni ya umeme kama walivyosamehewa, hatutagawa bandari, hatutagawa vingi. na ni muhimu sana hili manake, tukiwa na Tanganyika, aliyeingia mikataba na "tanzania" ataitafuta ilipo, kila kitu itabidi kiingiwe upya. hasa hao dp word na KIA iliyopewa kwa wajomba Oman.
 
tujadili bila matusi, kwa ustaarabu tu, kama angekuwa serious, angenunua hizo mashine kidogo hivyo? unajua hela tu ya umeme ambao zanzibar wamesamehewa inatosha kununua hizo mashine ngapi, hela anayotumia kusafiri nchi za nje au niseme aliyosafiri hadi sasaivi inaweza kununua izo mashine hata zaidi ya 100? kwanini msiwe honest kwa nafsi zetu tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…