Acha roho ya kimaskini
Hii ni kufuru atasabisha inflation balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kufuru atasabisha inflation balaa
Hatutegemei wiza kwa watumishi wa Umma kwa sababu saizi Rais kawajari.Rais Samia ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.
Watu hamuelewi,hiyo haiongezi bajeti ya serikali bali bajeti ni ile ile ila kilichobadilika ni rates..Utasikia sensa ilishapangw 15000
Unapatikanaji wa pesa unapokuwa rahisi wengi upata mitaji ya kuwekezaSio kweli, vipato vinapandishwa maradufu tofauti na ukuaji wa uchumi
Kabisa, mi sielewi tu!Hii ni kufuru atasabisha inflation balaa
Unapotosha si kweli, hiyo ni 250,000 ni kwa wakurugenziHii maana yake....
Kiwango cha chini wameongezwa 25% na kiwango cha juu wameongezwa 100+%.
Hapa inadhiirisha wakurugenzi, wakuu wa idara kupanda juu ndio wafaidika kwakuu wa ongezeko hili.
Hii haiko fair,kima cha juu kawaongeza zaidi ya asilimia mia kima cha chini kaongeza asilimia 25% tu.Rais Samia ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.
[emoji28][emoji28]Huyu mama kila ushauri anaopewa anakubali tu,,, .atamaliza muda wake hakuna alichofanya...
Kusahihisha siyo kazi maalumu, ni sehemu ya ufundishaji!!Hizo posh zina husu na waalimu wanao simamia mitihani na kusaisha? Au ni watumishi wengini wa juu zaidi
Ni vizuri ameanza vema maandalizi ya 2025!! Naunga mkono juhudi hizo!! Keki ya taifa tuile wote angalau kidogo!!Rais Samia ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.
Yaani walimu hamtaki mpitwe na lolote....mnadeka mno hadi kero.Hizo posh zina husu na waalimu wanao simamia mitihani na kusaisha? Au ni watumishi wengini wa juu zaidi
We Jamaa unachekesha sana, unaponda mada hii kisha unakuja kujikosoa kupitia ID nyingine [emoji1]Acha roho ya kimaskini