Rais Samia apandisha kiwango cha Posho ya Kujikimu ya Safari za Ndani ya Nchi na Malipo ya Kazi Maalum kwa Watumishi wa Umma

Rais Samia ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.

Hatutegemei wiza kwa watumishi wa Umma kwa sababu saizi Rais kawajari.
 
Utasikia sensa ilishapangw 15000
Watu hamuelewi,hiyo haiongezi bajeti ya serikali bali bajeti ni ile ile ila kilichobadilika ni rates..

Mfano kama mlikuwa na bajeti ya supervision ya sh.15mln kwa mwaka mnatakiwa kuitumia hiyo hiyo kwa rate mpya..

Mkimaliza mapema hiyo imekula.kwenu Kazi lazima zifanyike.
 
Rais Samia ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.

Hii haiko fair,kima cha juu kawaongeza zaidi ya asilimia mia kima cha chini kaongeza asilimia 25% tu.
 
Konachonoshangozo Mimi hata kama mbengo zimefongoka... Kwa Nini Wanatangaza!. Hadharani mnatutafutia Shida tu Kwa kina Ashura!
 
Rais Samia ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.

Ni vizuri ameanza vema maandalizi ya 2025!! Naunga mkono juhudi hizo!! Keki ya taifa tuile wote angalau kidogo!!
 
Uchumi utamshinda 2025 yenyewe mbali. Akifika huko tutakuwa tumechoka nchi ibaki na madeni. Kuja kurudi kwenye mstari sahihi ni miaka 30 mingine
 
Back
Top Bottom