Rais Samia apokea Jeep Wrangler kutoka kwa watanzania waishio Oman

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea ufunguo wa gari aina ya Jeep Wrangler kutoka kwa Khalid Al Barwani lililotumika katika ziara ya Watanzania waishio nchini Oman, ya kuunga mkono juhudi za kiongozi huyo kutangaza utalii wa Tanzania duniani kupitia filamu ya “Tanzania: The Royal Tour,” Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, Januari 22, 2026.

Wakati huo huo, Rais Samia amefanya mazungumzo na Waziri wa Uchukuzi, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Oman, Saeed bin Hamoud bin Saeed Al Maawali.

1769153571037.png

Chanzo: TRT
 
Mtu Masikini faraja yake pekee ni pale anpolala tu usiku, ni kama anakuwa ana escape mawazo ya tabu zake,

Yes, ndio pumziko la tabu yake maana hana cha kuwaza zaidi ya kuota ndoto anafukuzana na panya wanaokula mahindi yake.
 
Hii nchi inapita kipindi kigumu kuliko kile walichopita wana wa Israeli kwa miaka 40 wakiwa utumwani nchini Misri.

mmeanza kuamka eheh, kidogo kidogo mnaanza kumjua adui ni nani, tayari kuna sharia banking inafanya kazi tanzagiza, msisahahu hii ni islamic banking system lkn tanzagiza siyo islamic state (yet), matter of fact majority ya watanzagiza siyo mulism sasa nani kawaruhusu waingize nchi yenye Christian majority sharia banking? na hii ni benki kuu ya tanzagiza inafuata sharia banking ...
 
Mtu Masikini faraja yake pekee ni pale anpolala tu usiku, ni kama anakuwa ana escape mawazo ya tabu zake,

Yes, ndio pumziko la tabu yake maana hana cha kuwaza zaidi ya kuota ndoto anafukuzana na panya wanaokula mahindi yake.
Yani umegusa palepale. Ni kama kina adriz Lucha Makebo Munch wa Annabelle yakilala yanalalaga chali yakiota misijdah yao mikubwa kama chapati kwenye paji zao nyeusi eti inamulika kama tochi.

Paambafff
 
mmeanza kuamka eheh, kidogo kidogo mnaanza kumjua adui ni nani, tayari kuna sharia banking inafanya kazi tanzagiza, msisahahu hii ni islamic banking system lkn tanzagiza siyo islamic state (yet), matter of fact majority ya watanzagiza siyo mulism sasa nani kawaruhusu waingize nchi yenye Christian majority sharia banking? na hii ni benki kuu ya tanzagiza inafuata sharia banking ...
Benki Kuu ya Tanzania inatoza riba.

Sharia banking hairuhusu riba.

Sasa hapo Benki Kuu ya Tanzania inafuata vipi Sharia Banking?

Unaposema Benki Kuu ya Tanzania inafuata Sharia Banking una maana gani? Weka ushahidi hapa.
 
Mtu Masikini faraja yake pekee ni pale anpolala tu usiku, ni kama anakuwa ana escape mawazo ya tabu zake,

Yes, ndio pumziko la tabu yake maana hana cha kuwaza zaidi ya kuota ndoto anafukuzana na panya wanaokula mahindi yake.
Hata tajiri anawaza wanaotaka kumuibia, wanaotaka kumuua, wanaotaka kum blackmail, wanaotaka kumtoza kodi, wanaitaka kumtapeli.

Mbaraka Mwinshehe aliimba kuhusu shida, akisema shida haijali mtu, hata siku ya harusi hutokea, shida haiishi mpaka siku ya mwisho.

Watu walifikiri kuwa rais ni raha sana, Nyerere akawafunulia pazia na kuwaambia kwa mtu anayejielewa urais ni mzigo, matatizo yote ya nchi ni yako, ukiona watu masikini nchini mwako unaona huu mzigo wangu.

Huyo Samia anajibaraguza tu ndani kabisa amekosa furaha ya uongozi wa nchi, kaua watu wengi iki juwa rais, watu wengi hawamoendi, wanataka ashitakiwe.

Urais umekuwa shida.

It is the human condition.

View: https://youtu.be/Mu2xEUk5HJM?si=WiWm5uBWfWN6oQ9U
 
Benki Kuu ya Tanzania inatoza riba.

Sharia banking hairuhusu riba.

Sasa hapo Benki Kuu ya Tanzania inafuata vipi Sharia Banking?

Unaposema Benki Kuu ya Tanzania inafuata Sharia Banking una maana gani? Weka ushahidi hapa.

hiyo hapo chini (namba 11) ni ktk bot wenyewe wanaongelea khs sharia banking, hata kama labda haijaanza rasmi bado lkn iko mbioni, definition ya sharia banking -Sharia banking, or Islamic banking, is a financial system that operates according to Islamic law (Shari'ah).

lkn sisi siyo islamic state hata ni Christian majority kwanza ...

11.-(1) There is established a Shari’ah AdvisoryCommittee that shall shall be responsible for provision ofShari’ah advice to the Board regarding the non-interestbanking business or non-interest banking window

Sasa hapo ulichoelewa wewe ni nini?

11.-(1) There is established a Shari’ah AdvisoryCommittee that shall shall be responsible for provision ofShari’ah advice to the Board regarding the non-interestbanking business or non-interest banking window
 
mmeanza kuamka eheh, kidogo kidogo mnaanza kumjua adui ni nani, tayari kuna sharia banking inafanya kazi tanzagiza, msisahahu hii ni islamic banking system lkn tanzagiza siyo islamic state (yet), matter of fact majority ya watanzagiza siyo mulism sasa nani kawaruhusu waingize nchi yenye Christian majority sharia banking? na hii ni benki kuu ya tanzagiza inafuata sharia banking ...
Acha bla bla zako Kijakazi.
Kila kitu ni udini.
Tuliza roho yako, upate amani.
Utaumia sana kwa style hii.
 
kawaambie saudi arabia dini hairuhusu mpira
 
Sasa hapo ulichoelewa wewe ni nini?

11.-(1) There is established a Shari’ah AdvisoryCommittee that shall shall be responsible for provision ofShari’ah advice to the Board regarding the non-interestbanking business or non-interest banking window

hakuna, iko clear kwamba islamic banking iko njiani, na ndicho nilichosema ...
 
Sasa hapo ulichoelewa wewe ni nini?

11.-(1) There is established a Shari’ah AdvisoryCommittee that shall shall be responsible for provision ofShari’ah advice to the Board regarding the non-interestbanking business or non-interest banking window
Mbishi sana huyu mdada.
 
Acha bla bla zako Kijakazi.
Kila kitu ni udini.
Tuliza roho yako, upate amani.
Utaumia sana kwa style hii.

ha ha ha huko nilishatoka, wanaoumia ni wale ambao bado wanajitafuta na kutafuta ufalme wa kidunia, besides unasema kila kitu ni udini then explain to me kwa nini tanzagiza ifwate sharia banking wakati tanzagiza siyo islamic state? unaweza kunielewsha hapo wewe unayesema mimi kila kitu ni udini? kwa maana i am confused ...
 
Back
Top Bottom