Rais Samia apokea Jeep Wrangler kutoka kwa watanzania waishio Oman

Rais Samia apokea Jeep Wrangler kutoka kwa watanzania waishio Oman

hakuna, iko clear kwamba islamic banking iko njiani, na ndicho nilichosema ...
Unachanganya mambo.

Umeandika mambo ya majority na minority, totally irrelevant, but let me indulge you.

Katika demokrasia, majority rules, but minority have rights. Kamsome Alexis de Tocqueville katika "Democracy in America", kaandika kirefu kuhusu hili jambo.

Maana yake, vikundi vyote, hata vidogo, ingawa inawezekana si majority, bado vina haki.

Yani ukiwa sio majority, hiyo haimaanishi unapoteza haki zako.

Na Islamic banking, kama sehemu ya haki za watu kuwa na option, mind you, option, ya kufanya banking ya hivyo, inaachiwa iwe option.

Na kwa sababu Benki Kuu ya Tanzania ndiyo inayo regulate banking ya aina yoyote Tanzania, basi ni muhimu Benki Kuu iwe na kamati ya kushauri kuhusu hii banking.

Na hakuna mtu atakayelazimishwa kufuata hii banking.

Na Benki Kuu haitafuata sharia banking, Benki Kuu ya Tanzania inaweka kamati ya kuishauri kuhusu sharia banking. Na hata ikiwepo hiyo banking itakuwa ni option.

Sasa kama wewe usiyetaka sharia banking unaweza kwenda CRDB au benki yako nyingine ukaendelea na mambo yako, hiyo anaywtaka sharia banking akiipata wewe tatizo lako nini?
 
mmeanza kuamka eheh, kidogo kidogo mnaanza kumjua adui ni nani, tayari kuna sharia banking inafanya kazi tanzagiza, msisahahu hii ni islamic banking system lkn tanzagiza siyo islamic state (yet), matter of fact majority ya watanzagiza siyo mulism sasa nani kawaruhusu waingize nchi yenye Christian majority sharia banking? na hii ni benki kuu ya tanzagiza inafuata sharia banking ...
Hilo jina Tanzagiza sio zuri mkuu
 
hakuna, iko clear kwamba islamic banking iko njiani, na ndicho nilichosema ...
Mkuu mbona unataka kufumba macho kwamba tayari tuna benki zinazofuta Islamic Sharia kama Amana Bank na PBZ lakini Bank za kawaida kama CRDB zina product kwaajili ya waislamu kwasababu Tanzania ni mchanganyiko wa Dini nyingi, kwaio kuwapo kwa hizo Bank/Products ni lazima kuwe na sheria inazoziregulate.
 
Unachanganya mambo.

Umeandika mambo ya majority na minority, totally irrelevant, but let me indulge you.

Katika demokrasia, majority rules, but minority have rights. Kamsome Alexis de Tocqueville katika "Democracy in America"

Maana yake, vikundi vyote, hata vidogo, ingawa inawezekana si majority, bado vina haki.

Yani ukiwa sio majority, hiyo haimaanishi unapoteza haki zako.

Na Islamic banking, kama sehemu ya haki za watu kuwa na option, mind you, option, ya kufanya banking ya hivyo, inaachiwa iwe option.

Na kwa sababu Benki Kuu ya Tanzania ndiyo inayo regulate banking ya aina yoyote Tanzania, basi ni muhimu Benki Kuu iwe na kamati ya kushauri kuhusu hii banking.

Na hakuna mtu atakayelazimishwa kufuata hii banking.

Na Benki Kuu haitafuata sharia banking, Benki Kuu ya Tanzania inaweka kamati ya kuishauri kuhusu sharia banking. Na hata ikiwepo hiyo banking itakuwa ni option.

Sasa kama wewe usiyetaka sharia banking unaweza kwenda CRDB au benki yako nyingine ukaendelea na mambo yako, hiyo anaywtaka sharia banking akiipata wewe tatizo lako nini?

sawa, lkn huwa inaanza hivyo kidogo kidogo haya mambo ni insidious, kwangu the fact hata tu wanaongela sharia banking kwenye nchi ambayo muslims hata siyo majority tayari wameshavuka red line, kinachofwatia ni full blown islamic state wakati huo itakuwa too late ku fight back, tanzagiza siyo ya kwanza kuna jamii nyingi zilizokuwa taken over by muslims ambao walikuwa minority mwanzoni na leo hii ni mulsims majority, huanza hivyo hivyo wanatest zari wakiona mko kimya au hata mnatetea wanakwenda next step kabla hatujaamka tayari ni islamic republic na ni ngumu kurudi nyuma ...
 
Mkuu mbona unataka kufumba macho kwamba tayari tuna benki zinazofuta Islamic Sharia kama Amana Bank na PBZ lakini Bank za kawaida kama CRDB zina product kwaajili ya waislamu kwasababu Tanzania ni mchanganyiko wa Dini nyingi, kwaio kuwapo kwa hizo Bank/Products ni lazima kuwe na sheria inazoziregulate.

yeah mwanzoni huwa ni hivyo siku zote , kwamba ni kwa ajili ya muslims tu na blah blah , lkn kuna next step na mwishowe total take over, historia ina mafundisho mengi sana juu ya hili, nigeria wanaua Christians kwa maelfu ili kupunguza idadi ya Christians na kuigeuza nigeria kuwa islamic state, sasa hivi baada ya D.Trump kuwapiga mkwara na kuwa bomb muslim jihadists, serikali ya nigeria hawatangazi tena lkn mateso dhidi ya Christians yanaendelea sema hawatangazi kuogopa bombing za USA ...
 
sawa, lkn huwa inaanza hivyo kidogo kidogo haya mambo ni insidious, kwangu mimi the fact hata tu wanaongeela sharia banking kwenye nchi ambayo muslims hata siyo majority tayari wameshavuka red line, kinachofwatia ni full blown islamic state wakati huo itakuwa too late ku fight back, tanzagiza siyo ya kwanza kuna jamii nyingi zilizokuwa taken over by muslims ambao walikuwa minority mwanzoni na leo hii ni mulsims majority, huanza hivyo hivyo wanatest zari wakiona mko kimya au hata mnatetea wanakwenda next step kabla hatujaamka tayari ni islamic republic na ni ngumu kurudi nyuma ...
Hiyo ni Islamophobia yako tu.

Kimantiki umefanya logical fallacies za non sequitur na strawman argument.

Umeunganisha mambo ambayo hayana uhusiano, umejenga hoja ambayo haipo ukaikuza sana bila mantiki.


Kikitokea kitu ambacho kiko kinyume na sheria au kanuni za kimantiki kuonesha Waislamu wanataka kulazimisha mambo yao, njoo hapa tuzungumze.

Na sisemi kwamba hakuna mpango wa Waislamu kuitawala dunia. Sisemi kwamba mpango huo haujailenga Tanzania.

Nasema kwamba hii hoja ya kwamba tukiruhusu Islamic banking hii ndiyo gateway ya kufanya Tanzania iwe Islamic state ni ujinga mtupu.

In fact Benki Kuu kuwa na mipango ya kuielewa Islamic Banking, ndiyo kuidhibiti vizuri. Kama kuna funding inafanyika kudhamini mambo ya Waislamu kutaka kuitawala Tanzania na dunia, kama funding inafanyika katika benki zilizo chini ya Bank of Tanzania, ni rahisi kuzijua na kuzidhibiti kuliko funding zikifanyika chini kwa chini misikitini na kwenye networks ambazo haziko chini ya Bank of Tanzania.

Huelewi wapi hapo kwamba Bank of Tanzania inadhibiti matatizo ya Uislamu kutaka ku take over dunia, money laundering, terrorism etc?

Hata mimi sipendi udini.

Lakini napenda watu wawe na haki ya kuabudu wanavyotaka na kupata huduma zinazoendana na imani zao.

Tukianza strawman argument hata wewe tunaweza kukutungia story tu kwamba unataka kufanya Crusade na Waislamu ili Tanzania iwe taifa la Kikristo.
 
mmeanza kuamka eheh, kidogo kidogo mnaanza kumjua adui ni nani, tayari kuna sharia banking inafanya kazi tanzagiza, msisahahu hii ni islamic banking system lkn tanzagiza siyo islamic state (yet), matter of fact majority ya watanzagiza siyo mulism sasa nani kawaruhusu waingize nchi yenye Christian majority sharia banking? na hii ni benki kuu ya tanzagiza inafuata sharia banking ...
Sharia compliance banking Tanzania iliingia zaidi ya miaka kumi iliyopita,kcb walikua wa kwanza,bank zingine zikafuata, pengo alipiga kelele kama wewe,ila poleni,maisha ndivyo yalivyo
 
Mtu Masikini faraja yake pekee ni pale anpolala tu usiku, ni kama anakuwa ana escape mawazo ya tabu zake,

Yes, ndio pumziko la tabu yake maana hana cha kuwaza zaidi ya kuota ndoto anafukuzana na panya wanaokula mahindi yake.
Halafu asubuhi anaamka amechoka. Umasikini ni laana ukataliwe kwa nguvu zote na akili zote
 
mmeanza kuamka eheh, kidogo kidogo mnaanza kumjua adui ni nani, tayari kuna sharia banking inafanya kazi tanzagiza, msisahahu hii ni islamic banking system lkn tanzagiza siyo islamic state (yet), matter of fact majority ya watanzagiza siyo mulism sasa nani kawaruhusu waingize nchi yenye Christian majority sharia banking? na hii ni benki kuu ya tanzagiza inafuata sharia banking ...
Katika Uislamu, pesa haina dini, lakini miamala yake ina hukumu; ndiyo maana riba, gharar na dhulma hupigwa marufuku, huku biashara halali ikiruhusiwa. Na Islamic banking ni kama conventional banking tofauti yake ni kuwa haina mambo ya riba, hakuna ubaya katika nchi isiyo ya kiislamu kutumia benki za kiislamu, hata wazungu wanazo islamic banks. Na kama kuna benki zinazutumia mfumo wa kikristo sidhani kama serikali inaweza kuzizuia. Kuna wafanya biashara wengi waislamu ambao benki hizi zetu zinawakwaza kutokana na imani yao.
 
Sharia compliance banking Tanzania iliingia zaidi ya miaka kumi iliyopita,kcb walikua wa kwanza,bank zingine zikafuata, pengo alipiga kelele kama wewe,ila poleni,maisha ndivyo yalivyo

lkn kwa mujibu wa benki kuu ni mwishoni mwa 2025 ndiyo imeanza …
 
lkn kwa mujibu wa benki kuu ni mwishoni mwa 2025 ndiyo imeanza …
Ipo hiyo muda,kcb bank ndiyo wa kwanza hapa,walianza kwao huko, sababu sharia compliance banking ina wateja wengi wanaokwepa mfumo wa riba kwenye banking system ingine
 
Sharia compliance banking Tanzania iliingia zaidi ya miaka kumi iliyopita,kcb walikua wa kwanza,bank zingine zikafuata, pengo alipiga kelele kama wewe,ila poleni,maisha ndivyo yalivyo
Sasa mkuu cha kushangaza kobaz wengi ama wote tu hela zao ni za ufisadi, wizi, dhulma, uuzaji unga na kukwepa kodi sasa bado wanaweka kwenye hizo sharia compliance bank uchwara? Yani uislam bana vichekesho.

adriz
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea ufunguo wa gari aina ya Jeep Wrangler kutoka kwa Khalid Al Barwani lililotumika katika ziara ya Watanzania waishio nchini Oman, ya kuunga mkono juhudi za kiongozi huyo kutangaza utalii wa Tanzania duniani kupitia filamu ya “Tanzania: The Royal Tour,” Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, Januari 22, 2026.

Wakati huo huo, Rais Samia amefanya mazungumzo na Waziri wa Uchukuzi, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Oman, Saeed bin Hamoud bin Saeed Al Maawali.



Chanzo: TRT
naye ni wa huko amepewa na ndugu zake
 
Sasa mkuu cha kushangaza kobaz wengi ama wote tu hela zao ni za ufisadi, wizi, dhulma, uuzaji unga na kukwepa kodi sasa bado wanaweka kwenye hizo sharia compliance bank uchwara? Yani uislam bana vichekesho.

adriz
Pole sana,funzeni vizazi vyenu kufanya biashara
 
yeah mwanzoni huwa ni hivyo siku zote , kwamba ni kwa ajili ya muslims tu na blah blah , lkn kuna next step na mwishowe total take over, historia ina mafundisho mengi sana juu ya hili, nigeria wanaua Christians kwa maelfu ili kupunguza idadi ya Christians na kuigeuza nigeria kuwa islamic state, sasa hivi baada ya D.Trump kuwapiga mkwara na kuwa bomb muslim jihadists, serikali ya nigeria hawatangazi tena lkn mateso dhidi ya Christians yanaendelea sema hawatangazi kuogopa bombing za USA ...
Ishu Nigeria sio sababu rasilimali za mafuta na gas Kwa Marekani na pia ku side sana na mchina na Mrussi??
 
Na si ndio vizuri hizo Islamic banking ziwe nyingi ili tukachukue mikopo ya gharama nafuu bila riba hata Kwa wakristo au wanazuiwa? Lakini nchi yetu isiwe Islamic state Wala Christianity state ni hatari baadae na hizi tensions zilizoanza kutengenezwa
 
Back
Top Bottom