ManchoG
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 3,828
- 5,728
Mkuu hili swali lina sehemu ya kuliuliza japo limenyooka na linataka jibu la moja kwa mojaMsimamizi wa sheria ni nani?
Ukiishi Marekani ni rahisi kulijibu haraka, ila ukiwa dunia ya 3 lazima lihitaji ufafanuzi
Dhamana ya kusimamia sheria dunia ya 3 lipo chini ya viongozi waochaguliwa na sio Wananchi.!
Ikiwa mwananchi hana analolijua kuhusu sheria zinazomuongoza kujifaragua hakusaidii kitu
Hata kwa mwenye kubahatisha kuifahamu sheria na matakwa yake dunia ya 3 wanaosimamia wasipokupa sikio ni bure
Itoshe kusema sheria pasi na usimamizi ni mtego kwa watawala kukontroo majinuni