Rais Samia apokea Jeep Wrangler kutoka kwa watanzania waishio Oman

Huyu anavopenda Range ilikuwa ni kumzawadia na kutega bomu lenye sensor yake humo ndani!, pindi akiingia tu yeye anawahishwa chap kwenda kubadilishwa kuwa bikra huko peponi kwaajili ya matumizi ya kobaz na mashehe!.
 
mmeanza kuamka eheh, kidogo kidogo mnaanza kumjua adui ni nani, tayari kuna sharia banking inafanya kazi tanzagiza, msisahahu hii ni islamic banking system lkn tanzagiza siyo islamic state (yet), matter of fact majority ya watanzagiza siyo mulism sasa nani kawaruhusu waingize nchi yenye Christian majority sharia banking? na hii ni benki kuu ya tanzagiza inafuata sharia banking ...
Sasa ingieni barabarani tuone nani wako wengi
Sisi tumeshasema tuko tayari nadhani mliiona nani wako wengi na wamejipanga juzi kati
 
Mkuu mbona unataka kufumba macho kwamba tayari tuna benki zinazofuta Islamic Sharia kama Amana Bank na PBZ lakini Bank za kawaida kama CRDB zina product kwaajili ya waislamu kwasababu Tanzania ni mchanganyiko wa Dini nyingi, kwaio kuwapo kwa hizo Bank/Products ni lazima kuwe na sheria inazoziregulate.
Inawezekana jamaa hayuko well informed na hii issue.
 
hiyo hapo chini (namba 11) ni ktk bot wenyewe wanaongelea khs sharia banking, hata kama labda haijaanza rasmi bado lkn iko mbioni, definition ya sharia banking -Sharia banking, or Islamic banking, is a financial system that operates according to Islamic law (Shari'ah).

lkn sisi siyo islamic state hata ni Christian majority kwanza ...

11.-(1) There is established a Shari’ah AdvisoryCommittee that shall shall be responsible for provision ofShari’ah advice to the Board regarding the non-interestbanking business or non-interest banking window

Mbona kuna benki hapa Tanganyika inakopesha bila kutoza RIBA!! Inafuata misingi hiyo hiyo ya Islamic banking and it is regulated by BOT! Nadhan inaitwa AMANA bank Kama sijakosea. Managing Director wake wa kwanza alikuwa former BOT Governor Idris Rashid.
 
Hilo gari ni zawadi au rushwa? Unaweza kufafanua Hilo kwanza?
Huyu mwanamke hela zote anazotuibia anaficha Oman na ndio maana amemteua ndugu yake kuwa balozi wa nchi yetu hukoII Nani anabisha?
Kama kuna mtu anabisha atutajie jina la balozi wa Tanzania huko Oman na uhusiano wake na Samia!
 
Wanashindwa nini kusema hiyo gari huyo muuaji kapewa na serikali ya Oman ikiwa ni shukran ya kupiga bei mbuga za watanganyika na usimamizi wa section kadhaa pale KIA.
 
M
Hiyo ni Islamophobia yako tu.

Kimantiki umefanya logical fallacies za non sequitur na strawman argument.

Umeunganisha mambo ambayo hayana uhusiano, umejenga hoja ambayo haipo ukaikuza sana bila mantiki.

Kikitokea kitu ambacho kiko kinyume na sheria au kanuni za kimantiki kuonesha Waislamu wanataka kulazimisha mambo yao, njoo hapa tuzungumze.

Na sisemi kwamba hakuna mpango wa Waislamu kuitawala dunia. Sisemi kwamba mpango huo haujailenga Tanzania.

Nasema kwamba hii hoja ya kwamba tukiruhusu Islamic banking hii ndiyo gateway ya kufanya Tanzania iwe Islamic state ni ujinga mtupu.

In fact Benki Kuu kuwa na mipango ya kuielewa Islamic Banking, ndiyo kuidhibiti vizuri. Kama kuna funding inafanyika kudhamini mambo ya Waislamu kutaka kuitawala Tanzania na dunia, kama funding inafanyika katika benki zilizo chini ya Bank of Tanzania, ni rahisi kuzijua na kuzidhibiti kuliko funding zikifanyika chini kwa chini misikitini na kwenye networks ambazo haziko chini ya Bank of Tanzania.

Huelewi wapi hapo kwamba Bank of Tanzania inadhibiti matatizo ya Uislamu kutaka ku take over dunia, money laundering, terrorism etc?

Hata mimi sipendi udini.

Lakini napenda watu wawe na haki ya kuabudu wanavyotaka na kupata huduma zinazoendana na imani zao.

Tukianza strawman argument hata wewe tunaweza kukutungia story tu kwamba unataka kufanya Crusade na Waislamu ili Tanzania iwe taifa la Kikristo.
Mkuu sidhani kama mdau lake ni la pekeyake, japo kalikanyagia sana

Binafsi sijafurahishwa na vizawadi kwa mtu mkubwa kama huyu.!

Ila nadhani yawezekana ni ufinyu wangu wa mambo ya kibenki yanavyofanya kazi na ushawishi

Unamzawadije usafiri mkuu wa nchi.!? Mtu kaapishwa juzi tu na kaondoka kwenye viwanja vya uapisho na ndinga za nguvu.!

Sawa Labda kuonesha kujitoa kwao kulingana na uwezo wao, lakini kwa kuonesha thamani ya kitu kunatoa umaana wa nia yao

Sasa mimi muuza supu ya miguu ya kuku mburahati ndio najiuliza.!? "Inamaana hawa watu wameona zile Range si usafiri mpaka wamzawadie mama Jeep Kama ya Ferooz na bongo fleva ikamwacha.!"

Wanamchukuliaje mama yetu yaani wamemweka wapi kiasi waone ile ni zawadi ya pekee kwa moyo wake.?

Kama hutojali tudadavulie ilimu ya kibenki na udhibiti wake wa kimhimili Pasi na kutingishwa na sera za wakuuu wao wa nchi utatasaidia sana mkuu
 
Katika Uislamu, pesa haina dini, lakini miamala yake ina hukumu; ndiyo maana riba, gharar na dhulma hupigwa marufuku, huku biashara halali ikiruhusiwa. Na Islamic banking ni kama conventional banking tofauti yake ni kuwa haina mambo ya riba, hakuna ubaya katika nchi isiyo ya kiislamu kutumia benki za kiislamu, hata wazungu wanazo islamic banks. Na kama kuna benki zinazutumia mfumo wa kikristo sidhani kama serikali inaweza kuzizuia. Kuna wafanya biashara wengi waislamu ambao benki hizi zetu zinawakwaza kutokana na imani yao.

amana ni sawa kwa maana amana ni sharia bank for muslims, lkn crdb siyo sharia bank na wala haina (crdb) sharia background ...
 
Acha ije tukope bila riba.

hakuna kitu kama hicho, mwisho wa siku mtaishia kulipia vile vile tu kama conventional banks, kwani kama financial institution ni lazima wafanye profit sema tofauti kubwa ni kwamba unakuwa de facto muslim abiding by the sharia, besides that hakuna utakachosevu financially zaidi ya kupromote islam ...
 
M

Mkuu sidhani kama mdau lake ni la pekeyake, japo kalikanyagia sana

Binafsi sijafurahishwa na vizawadi kwa mtu mkubwa kama huyu.!

Ila nadhani yawezekana ni ufinyu wangu wa mambo ya kibenki yanavyofanya kazi na ushawishi

Unamzawadije usafiri mkuu wa nchi.!? Mtu kaapishwa juzi tu na kaondoka kwenye viwanja vya uapisho na ndinga za nguvu.!

Sawa Labda kuonesha kujitoa kwao kulingana na uwezo wao, lakini kwa kuonesha thamani ya kitu kunatoa umaana wa nia yao

Sasa mimi muuza supu ya miguu ya kuku mburahati ndio najiuliza.!? "Inamaana hawa watu wameona zile Range si usafiri mpaka wamzawadie mama Jeep Kama ya Ferooz na bongo fleva ikamwacha.!"

Wanamchukuliaje mama yetu yaani wamemweka wapi kiasi waone ile ni zawadi ya pekee kwa moyo wake.?

Kama hutojali tudadavulie ilimu ya kibenki na udhibiti wake wa kimhimili Pasi na kutingishwa na sera za wakuuu wao wa nchi utatasaidia sana mkuu

Mkuu,

Inawezekana kushadadia Islamic banking ikawa Islamophobia isiyo na nsingi, halafu pia Samia akawa mchafu wa tabia vilevile.

There is no cobtradictiin hapo kwamba nimisema Islanic banking iruhusiwe basi kazima namtetea Samia.

Nchi zonazojitambua ukipata zawadi kama mkuu wa nchi hiyo ni zawadi kwa nchi si kwa mtu aliye mkuu wa nchi.

Kuna mke wa rais wa Korea Kusini alishapata shida kwa kuchukua zawadi alizopata kwa kukabidhiwa kama mke wa rais, akazichujua yeye binafsi.

Zawadi ya kibegi cha dola 2,000 tu.

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea ufunguo wa gari aina ya Jeep Wrangler kutoka kwa Khalid Al Barwani lililotumika katika ziara ya Watanzania waishio nchini Oman, ya kuunga mkono juhudi za kiongozi huyo kutangaza utalii wa Tanzania duniani kupitia filamu ya “Tanzania: The Royal Tour,” Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, Januari 22, 2026.

Wakati huo huo, Rais Samia amefanya mazungumzo na Waziri wa Uchukuzi, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Oman, Saeed bin Hamoud bin Saeed Al Maawali.

Chanzo: TRT
UTumishi wa umma wanaktaza kupokea zawadi yoyote binafsi

Kimaadili haijakaa sawa
Twende TU hili genge ni batili kuanzia mwanzo
 
M
Hiyo ni Islamophobia yako tu.

Kimantiki umefanya logical fallacies za non sequitur na strawman argument.

Umeunganisha mambo ambayo hayana uhusiano, umejenga hoja ambayo haipo ukaikuza sana bila mantiki.

Kikitokea kitu ambacho kiko kinyume na sheria au kanuni za kimantiki kuonesha Waislamu wanataka kulazimisha mambo yao, njoo hapa tuzungumze.

Na sisemi kwamba hakuna mpango wa Waislamu kuitawala dunia. Sisemi kwamba mpango huo haujailenga Tanzania.

Nasema kwamba hii hoja ya kwamba tukiruhusu Islamic banking hii ndiyo gateway ya kufanya Tanzania iwe Islamic state ni ujinga mtupu.

In fact Benki Kuu kuwa na mipango ya kuielewa Islamic Banking, ndiyo kuidhibiti vizuri. Kama kuna funding inafanyika kudhamini mambo ya Waislamu kutaka kuitawala Tanzania na dunia, kama funding inafanyika katika benki zilizo chini ya Bank of Tanzania, ni rahisi kuzijua na kuzidhibiti kuliko funding zikifanyika chini kwa chini misikitini na kwenye networks ambazo haziko chini ya Bank of Tanzania.

Huelewi wapi hapo kwamba Bank of Tanzania inadhibiti matatizo ya Uislamu kutaka ku take over dunia, money laundering, terrorism etc?

Hata mimi sipendi udini.

Lakini napenda watu wawe na haki ya kuabudu wanavyotaka na kupata huduma zinazoendana na imani zao.

Tukianza strawman argument hata wewe tunaweza kukutungia story tu kwamba unataka kufanya Crusade na Waislamu ili Tanzania iwe taifa la Kikristo.
Mkuu sidhani kama mdau lake ni la pekeyake, japo kalikanyagia sana

Binafsi sijafurahishwa na vizawadi kwa mtu mkubwa kama huyu.!

Ila nadhani yawezekana ni ufinyu wangu wa mambo ya kibenki yanavyofanya kazi na ushawishi

Unamzawadije usafiri mkuu wa nchi.!? Mtu kaapishwa juzi tu na kaondoka kwenye viwanja vya uapisho na ndinga za nguvu.!

Sawa Labda kuonesha kujitoa kwao kulingana na uwezo wao, lakini kwa kuonesha thamani ya kitu kunatoa umaana wa nia yao

Sasa mimi muuza supu ya miguu ya kuku mburahati ndio najiuliza.!? "Inamaana hawa watu wameona zile Range si usafiri mpaka wamzawadie mama Jeep Kama ya Ferooz na bongo fleva ikamwacha.!"

Wanamchukuliaje mama yetu yaani wamemweka wapi kiasi waone ile ni zawadi ya pekee kwa moyo wake.?

Kama hutojali tudadavulie ilimu ya kibenki na udhibiti wake wa kimhimili Pasi na kutingishwa na sera za wakuuu wao wa nchi utatasaidia sana
Mkuu,

Inawezekana kushadadia Islamic banking ikawa Islamophobia isiyo na nsingi, halafu pia Samia akawa mchafu wa tabia vilevile.

There is no cobtradictiin hapo kwamba nimisema Islanic banking iruhusiwe basi kazima namtetea Samia.

Nchi zonazojitambua ukipata zawadi kama mkuu wa nchi hiyo ni zawadi kwa nchi si kwa mtu aliye mkuu wa nchi.

Kuna mke wa rais wa Korea Kusini alishapata shida kwa kuchukua zawadi alizopata kwa kukabidhiwa kama mke wa rais, akazichujua yeye binafsi.

Zawadi ya kibegi cha dola 2,000 tu.

Mkuu,

Inawezekana kushadadia Islamic banking ikawa Islamophobia isiyo na nsingi, halafu pia Samia akawa mchafu wa tabia vilevile.

There is no cobtradictiin hapo kwamba nimisema Islanic banking iruhusiwe basi kazima namtetea Samia.

Nchi zonazojitambua ukipata zawadi kama mkuu wa nchi hiyo ni zawadi kwa nchi si kwa mtu aliye mkuu wa nchi.

Kuna mke wa rais wa Korea Kusini alishapata shida kwa kuchukua zawadi alizopata kwa kukabidhiwa kama mke wa rais, akazichujua yeye binafsi.

Zawadi ya kibegi cha dola 2,000 tu.

Mkuu Samahani kwa hili

Ila kwa kariba yako nilitarajia kalipio lisilo na msimamo, japo kalipio, kama ulivyo

Ila sema Umeact kama Muhammad said, (sijui kama unamjua) Namaanisha mnazi Msema kweli ila kwenye mlengo

Kama ungeweza kusema zaidi ingefaa na kutazamia kwa saburi
 
M

Mkuu sidhani kama mdau lake ni la pekeyake, japo kalikanyagia sana

Binafsi sijafurahishwa na vizawadi kwa mtu mkubwa kama huyu.!

Ila nadhani yawezekana ni ufinyu wangu wa mambo ya kibenki yanavyofanya kazi na ushawishi

Unamzawadije usafiri mkuu wa nchi.!? Mtu kaapishwa juzi tu na kaondoka kwenye viwanja vya uapisho na ndinga za nguvu.!

Sawa Labda kuonesha kujitoa kwao kulingana na uwezo wao, lakini kwa kuonesha thamani ya kitu kunatoa umaana wa nia yao

Sasa mimi muuza supu ya miguu ya kuku mburahati ndio najiuliza.!? "Inamaana hawa watu wameona zile Range si usafiri mpaka wamzawadie mama Jeep Kama ya Ferooz na bongo fleva ikamwacha.!"

Wanamchukuliaje mama yetu yaani wamemweka wapi kiasi waone ile ni zawadi ya pekee kwa moyo wake.?

Kama hutojali tudadavulie ilimu ya kibenki na udhibiti wake wa kimhimili Pasi na kutingishwa na sera za wakuuu wao wa nchi utatasaidia sana

Mkuu Samahani kwa hili

Ila kwa kariba yako nilitarajia kalipio lisilo na msimamo, japo kalipio, kama ulivyo

Ila sema Umeact kama Muhammad said, (sijui kama unamjua) Namaanisha mnazi Msema kweli ila kwenye mlengo

Kama ungeweza kusema zaidi ingefaa na kutazamia kwa saburi
Rais anapewa zawadi. Kubwa na ndogo.

Hilo halina tatizo.

Lakini anapewa zawadi kwa niaba ya nchi.

Si zawadi yake binafsi.

Kwa hiyo rais kupewa Jeep wala si tabu.

Tabu itakuja kama atalichukua kama zawadi yake binafsi, kama Tanzania haina sheria ya kutofautisha zawadi anazopewa rais kuwa ni za taifa, si za mtu binafsi.

Sasa wewe unajua sheria za Tanzania zinasemaje au unataka kugomba tu kuhusu Samia kupewa zawadi wakati hata hujui sheria inasemaje, hujui Samia anataka kulitumia vipi hilo gari.

Anaweza kuliweka makumbusho ya Royal Tour kuzidisha biashara ya utalii, hapo utamlaumu kupokea zawadi napo?

Anaweza kuweka mashindano ya utalii wilaya itakayoingiza pesa nyingi itapewa zawadi Jeep, hapo utamlaumu napo?

Anaweza kulitoa kwa kijiji kimoja alichokifurahia sana alipofanya Rotal Tour, hapo napo utamsema vibaya?

Unaijua story ya Seif Sharif Hamad alivyopewa zawadi za pesa nyingi sana Uarabuni, akazisajili na kuzirudisha serikalini, kwa sababu alijua amepewa zawadi hiyo kwa niaba ya serikali, sasa hapo utamlaumu Seif Sharif Hamad kupokea zawadi napo?

Mwacheni Samia alitumie yeye binafsi hilo gari ndiyo mumseme. Msimseme kabla hamjajua atalifanya nini.

Wekeni hapa sheria za nchi kuhusu hizi zawadi mzichambue, msiongee kwa hisia na hasira tu.
 
Sasa kama sheria zenyewe kapewa Musa wa Tz na Agano lake na walawi na ndunguze

Sisi guluguja tenapumulia wapi.!?

Sina maana ya udini wala kukulazimisha kufikiria hivyo

Ila ikiwa katiba imesema na wadau hawapo kikaoni ina maana gani.!?

Unasisitiza vipi sheria wakati hayupo aliyeiunda.? Kila mtu anasimuliwa katba ni nini.!

Sasa tumebaki kubeti kwe nia za walimwengu kila jini na ubani wake.!🤭
 
Hili ni jambo la zaidi ya sheria, ndiyo maana nikasema Samia akiligawa hilo gari kijijini kwako napo utamlalamikia? Hujajibu.

Unamlalamikiaje Rais kupokea zawadi wakati hujajua ataitumiaje? Ushaweka assumption kwamba Samia ana njaa ya kuchukua Jeep. Samia kashaiba mabilioni huko kina Abdul wanaendesha ma Bentley, hilo Jeep anaweza kuona gari la wakulima tu.

Unamlalamikia Samia kwenye Jeep wakati ana uwezo wakuagiza apewe pesa za ma Jeep 100 na mtu asijue.

Unamlalamikia kwa msingi gani?

Rais hatakiwi kupokea zawadi?

Kasema ataitumia zawadi kama mali yake binafsi?

Unacholalamikia ni kipi hasa marais wanapewa zawadi dunia nzima mwaka jana Donald Trump kapewa ndege na watu wa Qatar, unajua hilo?

Vitu vya kujadili ni je, rais analazimishwaje kuitoa hiyo zawadi iwe mali ya umma, kisheria, ili akivunja sheria tulalamike rais kavunja sheria tujue cha kifanya.

Na kama hakuna sheria ya kumlazimisha afanye hivyo tuiweke na tuisimamie.

Hujafanya hivyo.

Unalialia unyonge hata kujua tu sheria inasemaje hujui.

Pengine sheria ina itaratibu nzuri tu rais anaotakiwa aufuate unaweza kufuatilia ukambana rais ujue kaufuata, kaisajiki zawadi serikalini, pengine yote tunayoyataka yapo katika sheria.

Na bado manalalamika JF tu.
 
Ualialia unyonge hata kujua tu sheria inasemaje hujui.

Pengine sheria ina itaratibu nzuri tu rais anaotakiwa aufuate unaweza kufuatilia ukambana rais ujue kaufuata, kaisajiki zawadi serikalini, pengine yote tunayoyataka yapo katika sheria.

Na bado manalalamika JF tu.
Mkuu, sheria Pasi na msimamizi wa sheria.! 🤭

Sheria ina maana gani Pasi na waliyoiunda na kuisimamia tena kidete

Ukweli ni kwamba iwe kwa nia njema ama La wanaoisimamia ndio wenye mamlaka ya kuiongoza

Tuseme mwananchi unajua sheria inasema nini kwa jitihada ya ada za wanakijiji

Kafika kortini kuiwakilisha kwa wateuzi wa mamlaka husika

Mkuu unataka kusema huoni risk ya tatu kavu kwenye mhimili.!? 🤔

Ila kama utatuchukulia wote ni wa new Jersey sawa tunaongozwa na malaika
 
Msimamizi wa sheria ni nani?
 
Back
Top Bottom