Hii nchi inapita kipindi kigumu kuliko kile walichopita wana wa Israeli kwa miaka 40 wakiwa utumwani nchini Misri.
Yani umegusa palepale. Ni kama kina adriz Lucha Makebo Munch wa Annabelle yakilala yanalalaga chali yakiota misijdah yao mikubwa kama chapati kwenye paji zao nyeusi eti inamulika kama tochi.Mtu Masikini faraja yake pekee ni pale anpolala tu usiku, ni kama anakuwa ana escape mawazo ya tabu zake,
Yes, ndio pumziko la tabu yake maana hana cha kuwaza zaidi ya kuota ndoto anafukuzana na panya wanaokula mahindi yake.
Benki Kuu ya Tanzania inatoza riba.mmeanza kuamka eheh, kidogo kidogo mnaanza kumjua adui ni nani, tayari kuna sharia banking inafanya kazi tanzagiza, msisahahu hii ni islamic banking system lkn tanzagiza siyo islamic state (yet), matter of fact majority ya watanzagiza siyo mulism sasa nani kawaruhusu waingize nchi yenye Christian majority sharia banking? na hii ni benki kuu ya tanzagiza inafuata sharia banking ...
Hata tajiri anawaza wanaotaka kumuibia, wanaotaka kumuua, wanaotaka kum blackmail, wanaotaka kumtoza kodi, wanaitaka kumtapeli.Mtu Masikini faraja yake pekee ni pale anpolala tu usiku, ni kama anakuwa ana escape mawazo ya tabu zake,
Yes, ndio pumziko la tabu yake maana hana cha kuwaza zaidi ya kuota ndoto anafukuzana na panya wanaokula mahindi yake.
Benki Kuu ya Tanzania inatoza riba.
Sharia banking hairuhusu riba.
Sasa hapo Benki Kuu ya Tanzania inafuata vipi Sharia Banking?
Unaposema Benki Kuu ya Tanzania inafuata Sharia Banking una maana gani? Weka ushahidi hapa.
Sasa hapo ulichoelewa wewe ni nini?hiyo hapo chini (namba 11) ni ktk bot wenyewe wanaongelea khs sharia banking, hata kama labda haijaanza rasmi bado lkn iko mbioni, definition ya sharia banking -Sharia banking, or Islamic banking, is a financial system that operates according to Islamic law (Shari'ah).
lkn sisi siyo islamic state hata ni Christian majority kwanza ...
11.-(1) There is established a Shari’ah AdvisoryCommittee that shall shall be responsible for provision ofShari’ah advice to the Board regarding the non-interestbanking business or non-interest banking window
😂😂😂😂😂Hii nchi inapita kipindi kigumu kuliko kile walichopita wana wa Israeli kwa miaka 40 wakiwa utumwani nchini Misri.
Acha bla bla zako Kijakazi.mmeanza kuamka eheh, kidogo kidogo mnaanza kumjua adui ni nani, tayari kuna sharia banking inafanya kazi tanzagiza, msisahahu hii ni islamic banking system lkn tanzagiza siyo islamic state (yet), matter of fact majority ya watanzagiza siyo mulism sasa nani kawaruhusu waingize nchi yenye Christian majority sharia banking? na hii ni benki kuu ya tanzagiza inafuata sharia banking ...
Unaweza kufafanua huo ugumu?Hii nchi inapita kipindi kigumu kuliko kile walichopita wana wa Israeli kwa miaka 40 wakiwa utumwani nchini Misri.
kawaambie saudi arabia dini hairuhusu mpirammeanza kuamka eheh, kidogo kidogo mnaanza kumjua adui ni nani, tayari kuna sharia banking inafanya kazi tanzagiza, msisahahu hii ni islamic banking system lkn tanzagiza siyo islamic state (yet), matter of fact majority ya watanzagiza siyo mulism sasa nani kawaruhusu waingize nchi yenye Christian majority sharia banking? na hii ni benki kuu ya tanzagiza inafuata sharia banking ...
Sasa hapo ulichoelewa wewe ni nini?
11.-(1) There is established a Shari’ah AdvisoryCommittee that shall shall be responsible for provision ofShari’ah advice to the Board regarding the non-interestbanking business or non-interest banking window
Mbishi sana huyu mdada.Sasa hapo ulichoelewa wewe ni nini?
11.-(1) There is established a Shari’ah AdvisoryCommittee that shall shall be responsible for provision ofShari’ah advice to the Board regarding the non-interestbanking business or non-interest banking window
Acha bla bla zako Kijakazi.
Kila kitu ni udini.
Tuliza roho yako, upate amani.
Utaumia sana kwa style hii.
kawaambie saudi arabia dini hairuhusu mpira