MD SPECIAL
JF-Expert Member
- Jul 4, 2025
- 1,161
- 2,812
Sasa ingieni barabarani tuone nani wako wengimmeanza kuamka eheh, kidogo kidogo mnaanza kumjua adui ni nani, tayari kuna sharia banking inafanya kazi tanzagiza, msisahahu hii ni islamic banking system lkn tanzagiza siyo islamic state (yet), matter of fact majority ya watanzagiza siyo mulism sasa nani kawaruhusu waingize nchi yenye Christian majority sharia banking? na hii ni benki kuu ya tanzagiza inafuata sharia banking ...
Acha ije tukope bila riba.hakuna, iko clear kwamba islamic banking iko njiani, na ndicho nilichosema ...
Inawezekana jamaa hayuko well informed na hii issue.Mkuu mbona unataka kufumba macho kwamba tayari tuna benki zinazofuta Islamic Sharia kama Amana Bank na PBZ lakini Bank za kawaida kama CRDB zina product kwaajili ya waislamu kwasababu Tanzania ni mchanganyiko wa Dini nyingi, kwaio kuwapo kwa hizo Bank/Products ni lazima kuwe na sheria inazoziregulate.
Mbona kuna benki hapa Tanganyika inakopesha bila kutoza RIBA!! Inafuata misingi hiyo hiyo ya Islamic banking and it is regulated by BOT! Nadhan inaitwa AMANA bank Kama sijakosea. Managing Director wake wa kwanza alikuwa former BOT Governor Idris Rashid.hiyo hapo chini (namba 11) ni ktk bot wenyewe wanaongelea khs sharia banking, hata kama labda haijaanza rasmi bado lkn iko mbioni, definition ya sharia banking -Sharia banking, or Islamic banking, is a financial system that operates according to Islamic law (Shari'ah).
lkn sisi siyo islamic state hata ni Christian majority kwanza ...
11.-(1) There is established a Shari’ah AdvisoryCommittee that shall shall be responsible for provision ofShari’ah advice to the Board regarding the non-interestbanking business or non-interest banking window
Huyu mwanamke hela zote anazotuibia anaficha Oman na ndio maana amemteua ndugu yake kuwa balozi wa nchi yetu hukoII Nani anabisha?Hilo gari ni zawadi au rushwa? Unaweza kufafanua Hilo kwanza?
Nenda Amana Bank!Acha ije tukope bila riba.
Mkuu sidhani kama mdau lake ni la pekeyake, japo kalikanyagia sanaHiyo ni Islamophobia yako tu.
Kimantiki umefanya logical fallacies za non sequitur na strawman argument.
Umeunganisha mambo ambayo hayana uhusiano, umejenga hoja ambayo haipo ukaikuza sana bila mantiki.
Kikitokea kitu ambacho kiko kinyume na sheria au kanuni za kimantiki kuonesha Waislamu wanataka kulazimisha mambo yao, njoo hapa tuzungumze.
Na sisemi kwamba hakuna mpango wa Waislamu kuitawala dunia. Sisemi kwamba mpango huo haujailenga Tanzania.
Nasema kwamba hii hoja ya kwamba tukiruhusu Islamic banking hii ndiyo gateway ya kufanya Tanzania iwe Islamic state ni ujinga mtupu.
In fact Benki Kuu kuwa na mipango ya kuielewa Islamic Banking, ndiyo kuidhibiti vizuri. Kama kuna funding inafanyika kudhamini mambo ya Waislamu kutaka kuitawala Tanzania na dunia, kama funding inafanyika katika benki zilizo chini ya Bank of Tanzania, ni rahisi kuzijua na kuzidhibiti kuliko funding zikifanyika chini kwa chini misikitini na kwenye networks ambazo haziko chini ya Bank of Tanzania.
Huelewi wapi hapo kwamba Bank of Tanzania inadhibiti matatizo ya Uislamu kutaka ku take over dunia, money laundering, terrorism etc?
Hata mimi sipendi udini.
Lakini napenda watu wawe na haki ya kuabudu wanavyotaka na kupata huduma zinazoendana na imani zao.
Tukianza strawman argument hata wewe tunaweza kukutungia story tu kwamba unataka kufanya Crusade na Waislamu ili Tanzania iwe taifa la Kikristo.
Katika Uislamu, pesa haina dini, lakini miamala yake ina hukumu; ndiyo maana riba, gharar na dhulma hupigwa marufuku, huku biashara halali ikiruhusiwa. Na Islamic banking ni kama conventional banking tofauti yake ni kuwa haina mambo ya riba, hakuna ubaya katika nchi isiyo ya kiislamu kutumia benki za kiislamu, hata wazungu wanazo islamic banks. Na kama kuna benki zinazutumia mfumo wa kikristo sidhani kama serikali inaweza kuzizuia. Kuna wafanya biashara wengi waislamu ambao benki hizi zetu zinawakwaza kutokana na imani yao.
Acha ije tukope bila riba.
M
Mkuu sidhani kama mdau lake ni la pekeyake, japo kalikanyagia sana
Binafsi sijafurahishwa na vizawadi kwa mtu mkubwa kama huyu.!
Ila nadhani yawezekana ni ufinyu wangu wa mambo ya kibenki yanavyofanya kazi na ushawishi
Unamzawadije usafiri mkuu wa nchi.!? Mtu kaapishwa juzi tu na kaondoka kwenye viwanja vya uapisho na ndinga za nguvu.!
Sawa Labda kuonesha kujitoa kwao kulingana na uwezo wao, lakini kwa kuonesha thamani ya kitu kunatoa umaana wa nia yao
Sasa mimi muuza supu ya miguu ya kuku mburahati ndio najiuliza.!? "Inamaana hawa watu wameona zile Range si usafiri mpaka wamzawadie mama Jeep Kama ya Ferooz na bongo fleva ikamwacha.!"
Wanamchukuliaje mama yetu yaani wamemweka wapi kiasi waone ile ni zawadi ya pekee kwa moyo wake.?
Kama hutojali tudadavulie ilimu ya kibenki na udhibiti wake wa kimhimili Pasi na kutingishwa na sera za wakuuu wao wa nchi utatasaidia sana mkuu
UTumishi wa umma wanaktaza kupokea zawadi yoyote binafsiRais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea ufunguo wa gari aina ya Jeep Wrangler kutoka kwa Khalid Al Barwani lililotumika katika ziara ya Watanzania waishio nchini Oman, ya kuunga mkono juhudi za kiongozi huyo kutangaza utalii wa Tanzania duniani kupitia filamu ya “Tanzania: The Royal Tour,” Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, Januari 22, 2026.
Wakati huo huo, Rais Samia amefanya mazungumzo na Waziri wa Uchukuzi, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Oman, Saeed bin Hamoud bin Saeed Al Maawali.
Chanzo: TRT
Mkuu sidhani kama mdau lake ni la pekeyake, japo kalikanyagia sanaHiyo ni Islamophobia yako tu.
Kimantiki umefanya logical fallacies za non sequitur na strawman argument.
Umeunganisha mambo ambayo hayana uhusiano, umejenga hoja ambayo haipo ukaikuza sana bila mantiki.
Kikitokea kitu ambacho kiko kinyume na sheria au kanuni za kimantiki kuonesha Waislamu wanataka kulazimisha mambo yao, njoo hapa tuzungumze.
Na sisemi kwamba hakuna mpango wa Waislamu kuitawala dunia. Sisemi kwamba mpango huo haujailenga Tanzania.
Nasema kwamba hii hoja ya kwamba tukiruhusu Islamic banking hii ndiyo gateway ya kufanya Tanzania iwe Islamic state ni ujinga mtupu.
In fact Benki Kuu kuwa na mipango ya kuielewa Islamic Banking, ndiyo kuidhibiti vizuri. Kama kuna funding inafanyika kudhamini mambo ya Waislamu kutaka kuitawala Tanzania na dunia, kama funding inafanyika katika benki zilizo chini ya Bank of Tanzania, ni rahisi kuzijua na kuzidhibiti kuliko funding zikifanyika chini kwa chini misikitini na kwenye networks ambazo haziko chini ya Bank of Tanzania.
Huelewi wapi hapo kwamba Bank of Tanzania inadhibiti matatizo ya Uislamu kutaka ku take over dunia, money laundering, terrorism etc?
Hata mimi sipendi udini.
Lakini napenda watu wawe na haki ya kuabudu wanavyotaka na kupata huduma zinazoendana na imani zao.
Tukianza strawman argument hata wewe tunaweza kukutungia story tu kwamba unataka kufanya Crusade na Waislamu ili Tanzania iwe taifa la Kikristo.
Mkuu,
Inawezekana kushadadia Islamic banking ikawa Islamophobia isiyo na nsingi, halafu pia Samia akawa mchafu wa tabia vilevile.
There is no cobtradictiin hapo kwamba nimisema Islanic banking iruhusiwe basi kazima namtetea Samia.
Nchi zonazojitambua ukipata zawadi kama mkuu wa nchi hiyo ni zawadi kwa nchi si kwa mtu aliye mkuu wa nchi.
Kuna mke wa rais wa Korea Kusini alishapata shida kwa kuchukua zawadi alizopata kwa kukabidhiwa kama mke wa rais, akazichujua yeye binafsi.
Zawadi ya kibegi cha dola 2,000 tu.
Why a scandal over a Dior handbag is consuming a key U.S. ally
Hidden camera footage that appeared to show South Korea’s first lady accepting a $2,000 handbag as a gift has left President Yoon Suk Yeol facing mounting public pressure.www.nbcnews.com
Mkuu Samahani kwa hiliMkuu,

Kama ungeweza kusema zaidi ingefaa na kutazamia kwa saburiMkuu,

Rais anapewa zawadi. Kubwa na ndogo.M
Mkuu sidhani kama mdau lake ni la pekeyake, japo kalikanyagia sana
Binafsi sijafurahishwa na vizawadi kwa mtu mkubwa kama huyu.!
Ila nadhani yawezekana ni ufinyu wangu wa mambo ya kibenki yanavyofanya kazi na ushawishi
Unamzawadije usafiri mkuu wa nchi.!? Mtu kaapishwa juzi tu na kaondoka kwenye viwanja vya uapisho na ndinga za nguvu.!
Sawa Labda kuonesha kujitoa kwao kulingana na uwezo wao, lakini kwa kuonesha thamani ya kitu kunatoa umaana wa nia yao
Sasa mimi muuza supu ya miguu ya kuku mburahati ndio najiuliza.!? "Inamaana hawa watu wameona zile Range si usafiri mpaka wamzawadie mama Jeep Kama ya Ferooz na bongo fleva ikamwacha.!"
Wanamchukuliaje mama yetu yaani wamemweka wapi kiasi waone ile ni zawadi ya pekee kwa moyo wake.?
Kama hutojali tudadavulie ilimu ya kibenki na udhibiti wake wa kimhimili Pasi na kutingishwa na sera za wakuuu wao wa nchi utatasaidia sana
Mkuu Samahani kwa hili
Ila kwa kariba yako nilitarajia kalipio lisilo na msimamo, japo kalipio, kama ulivyo
Ila sema Umeact kama Muhammad said, (sijui kama unamjua) Namaanisha mnazi Msema kweli ila kwenye mlengo
Kama ungeweza kusema zaidi ingefaa na kutazamia kwa saburi
Sasa kama sheria zenyewe kapewa Musa wa Tz na Agano lake na walawi na ndunguzeRais anapewa zawadi. Kubwa na ndogo.
Hilo halina tatizo.
Lakini anapewa zawadi kwa niaba ya nchi.
Si zawadi yake binafsi.
Kwa hiyo rais kupewa Jeep wala si tabu.
Tabu itakuja kama atalichukua kama zawadi yake binafsi, kama Tanzania haina sheria ya kutofautisha zawadi anazopewa rais kuwa ni za taifa, si za mtu binafsi.
Sasa wewe unajua sheria za Tanzania zinasemaje au unataka kugomba tu kuhusu Samia kupewa zawadi wakati hata hujui sheria inasemaje, hujui Samia anataka kulitumia vipi hilo gari.
Anaweza kuliweka makumbusho ya Royal Tour kuzidisha biashara ya utalii, hapo utamlaumu kupokea zawadi napo?
Anaweza kuweka mashindano ya utalii wilaya itakayoingiza pesa nyingi itapewa zawadi Jeep, hapo utamlaumu napo?
Anaweza kulitoa kwa kijiji kimoja alichokifurahia sana alipofanya Rotal Tour, hapo napo utamsema vibaya?
Unaijua story ya Seif Sharif Hamad alivyopewa zawadi za pesa nyingi sana Uarabuni, akazisajili na kuzirudisha serikalini, kwa sababu alijua amepewa zawadi hiyo kwa niaba ya serikali, sasa hapo utamlaumu Seif Sharif Hamad kupokea zawadi napo?
Mwacheni Samia alitumie yeye binafsi hilo gari ndiyo mumseme. Msimseme kabla hamjajua atalifanya nini.
Wekeni hapa sheria za nchi kuhusu hizi zawadi mzichambue, msiongee kwa hisia na hasira tu.
Hili ni jambo la zaidi ya sheria, ndiyo maana nikasema Samia akiligawa hilo gari kijijini kwako napo utamlalamikia? Hujajibu.Sasa kama sheria zenyewe kapewa Musa wa Tz na Agano lake na walawi na ndunguze
Sisi guluguja tenapumulia wapi.!?
Sina maana ya udini wala kukulazimisha kufikiria hivyo
Ila ikiwa katiba imesema na wadau hawapo kikaoni ina maana gani.!?
Unasisitiza vipi sheria wakati hayupo aliyeiunda.? Kila mtu anasimuliwa katba ni nini.!
Sasa tumebaki kubeti kwe nia za walimwengu kila jini na ubani wake.!🤭
Mkuu, sheria Pasi na msimamizi wa sheria.! 🤭Ualialia unyonge hata kujua tu sheria inasemaje hujui.
Pengine sheria ina itaratibu nzuri tu rais anaotakiwa aufuate unaweza kufuatilia ukambana rais ujue kaufuata, kaisajiki zawadi serikalini, pengine yote tunayoyataka yapo katika sheria.
Na bado manalalamika JF tu.
Msimamizi wa sheria ni nani?Mkuu, sheria Pasi na msimamizi wa sheria.! 🤭
Sheria ina maana gani Pasi na waliyoiunda na kuisimamia tena kidete
Ukweli ni kwamba iwe kwa nia njema ama La wanaoisimamia ndio wenye mamlaka ya kuiongoza
Tuseme mwananchi unajua sheria inasema nini kwa jitihada ya ada za wanakijiji
Kafika kortini kuiwakilisha kwa wateuzi wa mamlaka husika
Mkuu unataka kusema huoni risk ya tatu kavu kwenye mhimili.!? 🤔
Ila kama utatuchukulia wote ni wa new Jersey sawa tunaongozwa na malaika