Katiba mpya na demokrasia ya Mzungu itawaondoa hawa wezi...Mama tupe katiba mpya na demokrasia ya Nzungu wezi wataisha.
 
Vipi? Ulisema hutatukana wala kufoka jukwani ila utatumia kalamu tu.

Taratibu utaelewa tu. Na bado.
Ngozi nyeusi inahitaji Roho kama ya mwamba, mama naleta roho ya huruma sana matokeo yake wakurungwa wanalamba asali kumzidi hata mwenye mzinga wake "Stupid".
 
Muwe. Mnaacha kuandika nyuzi kama huwezi kuandika the whole story na wewe,stupid !!!πŸ˜‚
 
Hahahaha alikuwa anaongea asichokijua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…