Huwezi mzuia kiongozi wa kiafrika kwenye magari ya kifahari na ndege. Hapa kwenye ndege ni "Sunk Cost Fallacy" yaani pamoja na kwamba tunapata hasara lakini tutaendelea kuweka pesa kwenye ndege. 😁
 
Sio lazima ukaripie ukiwa umekunja ndita, ninaamini wote waliofanya hivyo majibu watayapata tena ya haraka sana.
Mfano mwaka uliopita baada ya report ya CAG alichukua hatua gani kwa waliokula pesa?
 
Huwezi mzuia kiongozi wa kiafrika kwenye magari ya kifahari na ndege. Hapa kwenye ndege ni "Sunk Cost Fallacy" yaani pamoja na kwamba tunapata hasara lakini tutaendelea kuweka pesa kwenye ndege. 😁
This is rubbish na hasara zinazidi kuongeza

Watakaokuwa marais baada ya Sgr Kukamilika wajiandae na hasara za kufa mtu..

Nchi imejaa watu wasiotumia akili unategemea nini
 
Sauti ya leo niliyoisikia, napata mashaka makubwa sana. Raisi anasema tukilinda rasilimali tutapunguza kukopa, swali kwa nn tusilinde hizo rasilimali?
 
Hata TAKUKURU kama mbwa wa polisi mpaka waambiwe fautilie lile na sio kuchukua maamuzi ya ghafla kama sehemu ya kazi yao..
 
Huwezi mzuia kiongozi wa kiafrika kwenye magari ya kifahari na ndege. Hapa kwenye ndege ni "Sunk Cost Fallacy" yaani pamoja na kwamba tunapata hasara lakini tutaendelea kuweka pesa kwenye ndege. 😁
tatizo linaanza atcl wanakodi ndege kutoka kwa wakala wa ndege za serikali....
 
Ulitake atumie kipaza sauti ndio uelewe anachosema.
 
Tuone kama walamba asali Mbowe, Lisu, Zito Kabwe wataichambua hii report ya CAG maana imejaa ufisadi tupu na ucheleweshaji wa miradi.
Sasa hivi wapo kimya zitto na mbowe wamesukumiwa bonge la senga la asali ili wendelee kumnanga magufuli
 
Hivi we unafikiri sauti Kali ndo mqarobaini wa matatizo? Mi bona jpm alikuwa na sauti Kali lakini akina makonda na sabaya wanazipiga kama Kawa. Nenda uangalie makonda alivyo tycoon wa kitupwa.
 
Weye fikiria uonekane bwege halafu wapewa kibuyu chako cha asali uwe walamba kila asubuhi.

Utaendelea kutojitambua.
 
Rais Samia karudia zaidi ya mara 5 kwenye hotuba yake kuhusu kuwekeza katika mifumo bandarini

Kasema Wakorea wasiondoke hadi mifumo iweze ungana kati ya TRA na TPA

Kasema Sekta binafsi ziingizwe kwa lazima
 
Ooh badala ya kuhesabu faida tunahesabu hasara ATCL vipi?
 
Hixo gharama zitakua zile za kurusha ndege toka TZ mpaka uk kwa msiba wa malkia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…