Zamani kidogo hizo report ingezikuta jamiiforumu hata kabla ya kuwasilishwa kwa Rais , jamiiforumu ya sasa mpaka muda huu ni donoa donoa tu report full hakuna.

Mwenye nayo aweke hapa

USSR
 
Kama ripot ya CAG haijaonyesha ubadilifu uliofanyika kwenye UJENZI wa madarasa ya UVIKO na madarasa ya mwaka jana DISEMBA 2022 HALMASHAURI YA BUCHOSA basi nafunga safari kwenda IKULU kumuonyesha ushaidi rais SAMIA
 
Ubadilifu uliofanyika BUCHOSA DC katika mradi wa UJENZI wa madarasa ya UVIKO ni another white elephant. DED aliyekuwepo aliondokewa na maafisa wengine akiwepo wa manunuzi na DSEO. Kama RIPOTI ya CAG haijataja ubadilifu huo basi nafunga safari kwenda CHAMWINO au MAGOGONI
 
Magufuli huyu huyu aliye kwapua 1.5trillion na nyingine akafika china?

Unaakili wewe?
 
Rais wa JMT amekemea tabia ya wizi unaofanywa na baadhi ya Watu waliopo serikali huku akisema wanadhulumu Haki za wengine na kuzorotesha maendelea.
 
Wakati CAG akisema deni la serikali limezidi kuongezeka na kufikia Tilioni 71,Rais Samia ametetea na kusema Serikali yake inakopa Kwa akili na Kwa Ajili ya Maendelea.

Hatuwezi kuogopa Kukopa Kwa sababu Kukopa ni maendelea,amesema Rais Samia.
 
Mkuu nimeanza kutambua sasa, kuwa ndio maana Serikali inakipenda sana hichi Chama kinacho isimamia, maana aidha hakina meno ama wana lamba wote hii keki ya Taifa
 
Asa dawa ya wizi mbona ipo uliza wachina watakwambia mwizi auawe na familia yake itengwe maana wizi ni mbegu kama mbegu nyingine
 
Rais Samia amesema kujiingiza kwa Madiwani kwenye mchakato wa mikopo ya Vijana, Wanawake na Walemavu limesababisha uwepo wa Vikundi hewa na Wengi kushindwa kurejesha mikopo

Hivyo Kuanzia mwaka wa Fedha ujao mikopo hiyo itapitia Benki ambako kuna umahiri wa kuifuatilia na kudai Madeni

Rais Samia amesema kiasi cha tsh 88 bilioni ambazo haziwezekani kurejeshwa tena zingesaidia kujenga Zahanati za kutosha

Source TBC
 
Uchungu atue wapi ye na Tanganyika wapi na wapi
Mkuu huko ni kumonea. Ninyi wenyewe mpo zaidi ya 60trion na hampendani. Lawama zingine hazipendezi. Hebu jichunguzeni ninyi wenyewe kwanza kabla ya kuwanyoshea wengine vidole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…