Hizo zamani ni lini?Zamani kidogo hizo report ingezikuta jamiiforumu hata kabla ya kuwasilishwa kwa Rais , jamiiforumu ya sasa mpaka muda huu ni donoa donoa tu report full hakuna.
Mwenye nayo aweke hapa
USSR
Alitaka Magufuli aonekane alikuwa mbaya na mpayukaji. Kumbe kuna punda bila mjeledi hawaendi.Vipi? Ulisema hutatukana wala kufoka jukwani ila utatumia kalamu tu.
Taratibu utaelewa tu. Na bado.
Ujuaji mwingi mbele kizaVipi? Ulisema hutatukana wala kufoka jukwani ila utatumia kalamu tu.
Taratibu utaelewa tu. Na bado.
Tena mjeledi wa chuma Cha pua.Alitaka Magufuli aonekane alikuwa mbaya na mpayukaji. Kumbe kuna punda bila mjeledi hawaendi.
Alisema mwenyeweVipi? Ulisema hutatukana wala kufoka jukwani ila utatumia kalamu tu.
Taratibu utaelewa tu. Na bado.
Naona Mbarawa kamuangusha katika hili la ndege ya Cargo!Vipi? Ulisema hutatukana wala kufoka jukwani ila utatumia kalamu tu.
Taratibu utaelewa tu. Na bado.
π€π€πΆπΆπΆ
[emoji23][emoji23][emoji23]Ile stupid Haina nguvu, stupid na kurembua haviendi pamoja.
Amesema CAG nani apinge! Usikute wazee wamepenyezea huko [emoji36]
Hakuwa akijua wezi wa tanzania wasivyo na soni wala haya ya uso.Vipi? Ulisema hutatukana wala kufoka jukwani ila utatumia kalamu tu.
Taratibu utaelewa tu. Na bado.
Atakua amejua alikua anaongea asichokijua. Sasa anaelewa.Vipi? Ulisema hutatukana wala kufoka jukwani ila utatumia kalamu tu.
Taratibu utaelewa tu. Na bado.
Siku moja waibe lisimame njiani wafuate na kidumu.ποΈποΈποΈποΈHakuwa akijua wezi wa tanzania wasivyo na soni wala haya ya uso.
Mbongo ana uwezo wa hata kuiba mafuta ya gari ya rais wakiwa katika msafara mikoani.
Ngoja wahuni wamuoneshe sasaAlitaka Magufuli aonekane alikuwa mbaya na mpayukaji. Kumbe kuna punda bila mjeledi hawaendi.