Rais Samia apokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum BoT, CAG abaini uwepo wa malipo kufanywa nje ya bajeti

Competition of working pamoja na friction of ideas ndiyo lengo la kuwa na vyama vya upinzani ukifeli katika chama chako kama Trump wengine wanachukua nchi kwa chama kingine kama Biden ili yule aliyeteleza na chama chake wajifunze,tupunguze hadithi za kukatishana tamaa kwa sababu ya rushwa ya chama tawala,ubabe,na hila za kila namna.
 

Suala la wabunge 19 limeishia wapi? Narejea kauli ya Pascal Mayalla kwamba nyie chadema mnayo mengi ya kurekebisha kabla ya kudai katiba ya Tanzania
 
“Tulivyoaminishwa” na nani/ nini?
Machagadema,eti hooh, Bashir na Dotto wamepiga mabilion ya shiling wakati Magufuri anaumwa, juzi hapa niliuliza mmoja wapo hapa,huyu Bashir mnayemsema amekwapua fedha BOT alikuwa kama Nani? akasema wewe subiria liport uone, sasahivi hivi liport imetoka chadema wanaanza kupindisha maneno, ujinga wa wanachadema wengi wamejenga ufahamu wao kupitia akina Kigogo na Mbowe chochote wanakacho post wanaona kiko sawa kabisa hawashughurishi akiri zao;Wafuasi wa Mbowe aliyewaita Nyumbu akudanganya
 
Wakati haya yote yakiendekea mafuta ya petrol hayakamatiki. Hii nchi kwel ni ya kisenge kabisa.
 
Nilipoona Bashiru na Doto wameachwa huru nikajua hawa odita wanakula posho za bure tu
 
Stori za Bashiru, Mpango na Dotto kukwapua hazina ni hekaya za Kigogo, so hakuna uthibitisho wowote kuwa ni lazima ziwe kweli.
Kwamba na mama aliact on hekaya za Kigogo? And it took 3 months kuassess transactions za wiki kadhaa?
 
Kwamba na mama aliact on hekaya za Kigogo? And it took 3 months kuassess transactions za wiki kadhaa?
Labda Bashiru alitubu na kurudisha ngawira ,Chamuriho Sasa hivi hasikiki.Tatizo Dr Wa kupanga alikuwa pale na Sasa ni raia wa pili.
 
Kwa hiyo Msemaji wa Ikulu hajui cheo cha Dkt. Albina Chuwa? Hili ni jambo la kushangaza kidogo!

Hakuna Dkt. Albina Chuwa anbae ni Mtakwimu Mkuu wa Serikali nchini.
 
Lazima zimepigwa. Hasa hapo kwenye ucheleweshaji miradi, malipo mara mbili na miradi isikuwepo kwenye bajeti ..... Naona imegusa sehemu mbili tu, Bandari na TANROAD ...... No wonder Mfugale kondoka, labda walimtonya .... akaingiwa woga!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] shenzi wanatuchezea akili hawa mafala
 
Siku hizi tumekuwa ni watu wa kusomewa maripoti ya wizi tu, sijui wanatarajia nini......soon watakipata wanachokitafuta.
 
Kwani ukiwa sukumagang, lazima uandike liport badala ya report?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…