Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

Wazee sehemu za kuweka barua zipo mbili pale kwenye machaguo ya shule na chini kwenye viambatanisho nikoweka barua kwenye viambatanisho inaniambia document hio ushaweka vipi nafanyaje je barua tofauti hapa au ileile nibadili jina la document
 
Yote tisa Jaman hebu mwakahuu kwenye hizi muwakumbuke waliosoma stashahada ya uzamili. Wengine wamemalza Tangu mwaka 2014. UDSM kwanini mnawaacha? Hakuna mtu anatafuta special seat ya mshahara ila walisoma ili wapate nafasi ya kupractice passion zao za kufundisha. Baada ya kuchaguliwa cozi nyingine diploma or Degree. Na kama mnawasiwasi wataondoka wakipata kwingine wapeni mikataba wafanye hata Ten Years ya mwanzo. [emoji53][emoji53]
 
Wazee sehemu za kuweka barua zipo mbili pale kwenye machaguo ya shule na chini kwenye viambatanisho nikoweka barua kwenye viambatanisho inaniambia document hio ushaweka vipi nafanyaje je barua tofauti hapa au ileile nibadili jina la document
Barua ipi na ipi?
 
Barua ni Moja tu pale utakapokuwa unachagua shule. Baada ya hapo itahamia kwenye viambatanisho vingine..
 
Aisee, Sawa!
 
Kweli man badala ya hiyo hela kidogo unayopata uizungushe mambo mengine,unaitumia kusaidia ndugu
Kuwa na 500K kwa Mwezi ni bahati kubwa kwa maisha haya hata ukoo mzima uwe unakuangalia mzee imagine baadhi yetu hatuna hata hio shilling 1 kwa siku na familia inatuangalia tuchangie tuungeunge watu wale full stress kuwa na mshahara ni mshahara tu unaweza fanya kiti ila now unayegemewa na kitu huwezi fanya
 
CHa muhimu ni tufanye kazi
 
Kwanza hiyo kubwa, watu tunapata laki huku tunakojitolea na familia zinztutegemea.
 
Serikali isiangalie tu kwa walimu wanaojitolea katika mashule, wafahamu kuna walimu wengi wanapenda kujitolea lakini wanakosa hizo nafasi. Siku hizi hata kujitolea ni connection. Chance ziwe Sawa kwa wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…