Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
Nitukane hata kimoyomoyoNatamani kukutukana ila acha nkae kimya[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitukane hata kimoyomoyoNatamani kukutukana ila acha nkae kimya[emoji23]
Tunaposema kozi za masikini tunamaanisha watu wasio na connection pia so tunaposema wasomeUnamasihara wewe.sehemu watu wanapata pesa ni madini ikifuatiwa na kilimo na uvuvi
Alafu kweliHuyo wa Necta atakuibia desa la QT
Kwani wameajiri watu 21,000 kwa mwaka ama wameajiri 21K Afya na Elimu?Serikali yatakiwa ijitafakari hili swala la kuajiri watu 21,000 kwa mwaka na wanaohitimu ni zaidi ya 100,000 kwa vyuo vikuu na vya kati, hili swala litaleta shida
Serikali itafute vyanzo vya mapato vipya ili waajiri Walimu, Afya, Kodi
Mf kwa Mwaka huu Darasa la Kwanza ni zaidi ya 1.2mil ila walimu ni wale wale
Shukrani mzee
AhsanteHzo nafasi. Zisikuchanganye azinaga hualisia autoamini macho yako somo uliloomba kwenye shule x ajapelekwa hata mmoja Mungu tu omba
Hiyo haipo mkuu ndiomaana nafasi huwa zinatangazwa wakati Kuna reserveTukumbushane: walisema kuwa kama umefaulu interview na nafasi zikawa chache, ikitokea nafasi mliokuwa mmefaulu na hamkuchukuliwa mnatake position automatically... eg pass mark ni 70, mmefaulu 10 lkn wanaotakiwa ni 5, then this time hao watano wanachukuliwa
Nashukuru mkuuAidama tujaribu humu kwanza.
Kwa sababu za kiusalama naomba iwe classified maana natumia jina langu halisi humu, na wapekenyuzi wengi, thanksNGO ipi ndugu
Ok basi tuachane na hiyo unayofanya Kazi. Nisaidie basi majina ya NGO's zingine ambazo naweza peleka hata CV za maswala ya elimu.Kwa sababu za kiusalama naomba iwe classified maana natumia jina langu halisi humu, na wapekenyuzi wengi, thanks
Halafu watalipwa nini?Ili kukabiliana na tatizo la ajira, serikali yapaswa ajiri angalau watu 50,000 kila mwaka.
Na ibadilishe mfumo wa ajira kutoka kuwa wa kudumu hadi wa mkataba maana kuna watu wanaridhika sana
Tuna tofautiana tunavyodefine mafanikioNdio
Yule si mwalimu tayariUsisahau kumshitua na Mpwayungu Village
Mwishowd nimgonge binti yako,we nifatilieUsiwe na makasiriko kijana, tuliaa tu ajira inakuja na utaajiriwa kama utakidhi vigezo na mashart
Tatizo ukisha ajiriwa kwa mkataba, mkataba ukiisha we ndio utakwenda kuroga ili uajiriwe milele.
Tatizo kila mwaka hakukosekani zengwe kwenye hizo ajira zao. Mfano anaajiriwa mhitimu wa mwaka 2022, halafu anaachwa yule wa 2016!!TAMISEMI yatangaza ajira 21000 afya na elimu 2023
======
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kibali cha kuajiri watumishi 21,200 wa Kada za Ualimu na Afya.
Idadi ya Watumishi watakaoajiriwa katika Kada za Ualimu ni 13,130 ambao watafundisha katika shule za Msingi na Sekondari.
Aidha idadi ya watumishi watakaoajiriwa katika kada za Afya ni 8,070 ambao watafanya kazi katika Hospitali za Halmashauro, Vituo vya Afya na Zahanati.