Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

Ka shule za sekondari nafasi ni Moja Moja tu, na mpaka Sasa nilikoomba Mimi tayari nafsi Moja tupo watu 30 ya chini ni 15. Mpaka tarehe 25 huenda nafasi Moja ikawa watu 80/90
Hzo nafasi. Zisikuchanganye azinaga hualisia autoamini macho yako somo uliloomba kwenye shule x ajapelekwa hata mmoja Mungu tu omba
 
Wafanye hivyo kwa sekta zingine teena siyo kuwapa mseleleko maticha na madokta.
 
Tukumbushane: walisema kuwa kama umefaulu interview na nafasi zikawa chache, ikitokea nafasi mliokuwa mmefaulu na hamkuchukuliwa mnatake position automatically... eg pass mark ni 70, mmefaulu 10 lkn wanaotakiwa ni 5, then this time hao watano wanachukuliwa
 
Naombeni ushauri wenu wadau au kama Kuna member mwenye tatzo kama langu anisaidie mawazo. Mimi nimehitimu Diploma in secondary education mwaka 2015, nilikua nikisoma masomo ya Sanaa yaani Historia Kiswahili na English. Nimekua nikiomba kazi Kila serikali ilipotoa tangazo la kazi lakin sijawahi kupata, mbaya zaidi kipengele Cha diploma in secondary education hakimo kwenye mfumo wa maombi japo nimekuwa nkijishusha kuomba ngazi ya primary..Sasa sijui tatizo ni gani wakati Nina ufaulu mzuri wa GPA ya 3.8 na Nina uwezo mkubwa wa kufundisha secondary..naomba kama Mh rais alivyosema kuwa anapitia humu ajaribu kutuonea huruma sisi wahitimu wa 2015 tupewe kipaumbele.
Sawa
 
Kuna binti sikumbuki jina lake alipost humu uzi kakata tamaa ana shahada ya madawa sijui kitu gani.

Alienda mpaka kozi akiwa anajua kaishaula, kisha wakapimwa mara ya pili akaambiwa hayupo fiti, biashara zote alikuwa kafunga.

Kama kuna mtu anamkumbuka amtag tafadhali.
Sawa
 
Namshukuru Mungu nimeajiriwa na Ngo na maisha yanaenda sasa, mshahara wa huko ni mdogo saana japo nilikua na upigania ila kuna kaumasikini huko kwa walimu, ngo niliyopo inahusiana na maswala ya elimu napita huko vijijini naona
NGO ipi ndugu
 
Back
Top Bottom