Rais Samia, asema kuna mabadiliko makubwa zaidi yanafuata, ameanza na Jeshi la Polisi

Siku zinaenda mbio Sana....juzi tu hapa, JPM alisema: "I wish I could be IGP....."

Anyway karibu uraiani Mkaruka, Sokolo Siro.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule wafuatao:
1. Inspekta Jenerali CAMILLUS MWONGOSO WAMBURA, kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP)
2. Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (GP) SIMON NYAKORO SIRRO, kuwa Balozi Wa Tanzania Nchini Zimbabwe 3. Balozi Luteni Jenerali MATHEW EDWARD MKINGULE, kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Zambia
4. Dkt. SULEIMAN HAJI SULEIMAN kuwa Balozi

====​

Aliyoyazungumza Rais Samia katika hafla ya uapisho Ikulu, Dodoma: Asema kuna mabadiliko makubwa yanakuja
Rais amempongeza IGP aliyepita Simon Sirro kwa utumishi wake uliotukuka lakini amesema kama maisha yalivyo amelazimika kufanya uteuzi huo. Na ameahidi kutakuwa na mabadiliko mengine makubwa. pia amempongeza kwa kuteuliwa kuwa balozi.

Rais pia amempongeza IGP Wambura kwa kuteuliwa kuwa IGP na amemtaka awe muadilifu katika nafasi yake hiyo aliyoteuliwa baada ya utendaji wake kwa nafasi zilizotangulia kuonekana.

Pia Rais amewapongeza watu wengine walioapishwa.

Rais Kumekuwa na ulazima wa kufanya mabadiliko katika taasisi za haki jamii ili kuboresha suala la utawala bora.

Rais amesema amelazimika kufanya mabadiliko kwenye taasisi hizo ambapo ameanza na Jeshi la Polisi, wataiangalia TAKUKURU, Magereza na Kamishne ya dawa za kulevya ambapo wataangalia mfumo wa utendaji katika maeneo hayo ili kuboresha utendaji.

Amesema wataangalia mifumo ya upandishaji vyeo kwenye taasisi hizo. Amesema ametazama maeneo mengi watu wanakaribia kustaafu lakini mabega yako wazi kama watu walioanza ajira hivi karibuni. Na pia wataangalia mafunzo maana mtu ili apandishwe cheo ni lazima apitie mafunzo ya kitaaluma na kimadaraka.

Jambo lingine litakaloangaliwa ni mahusiano na raia na taasisi nyingine. Ili kuangalia kanuni zilizpo kwa kuwa wamepokea malalamiko mengi kutoka kwa wageni.

Mwaka wa fedha 2022/23 ameongeza bajeti ya majeshi ili kuangalia stahiki na haki za maaskari. Suala lingine la kuangaliwa ni namna ya kuwaingiza watu katika ajira. Amesema maaskari wengi ukiwatizama na nidhamu yao haviendani. Na inaonekana hakuna kushindwa katika majeshi. Ambapo amesema kuna viashiria ya vyeti feki.

Amesema kutakuwa na mchujo kwenye majeshi yote ili kuwa na wataalamu mbalimbali ikiwemo wataalamu wa fedha, ICT na wataalamu wengine. Pia kuangalia masuala ya tafiti na ugunduzi ili kuwa na zana za kisasa katika majeshi kwa kuangalia mahitaji yakoje.

Mipango ya mawasiliano itaangaliwa ili kujua teknolojia inatumiakaje. Kwa sasa amenza na jeshi la polisi

Kamati ya watu 12 yaundwa.
Kamati inaongoza na Jaji Msaafu Chande Othmani na makamu wake Sefue. Rais Samia amesema ameunda kamati ili kupewa ushauri wa namna ya kuleta mabadiliko ya utendaji kazi bora. Ambapo wameanza na polisi na watampelekea taarifa ya taaisis nyingine ili kuboresha taasisi hizo.

Rais amesema kwa sasa serikali inakuja na jicho lingine kwenye masuala ya kijeshi ili kuunda majeshi imara na bora katika utendaji.
PIA, SOMA: Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI

Asidahau kupunguza tozo.
 
BILA JESHI LA POLISI KUUNDWA UPYA KUWA POLICE SERVICE na Chombo cha Kulisimamia utendaji na Upatikanaji wa Viongozi badala ya KUWA na WATEULE wa RAIS Bado Matatizo ya Jeshi la Polisi hayataisha kamwe
 
15 February 2022

Hivi Ndivyo Serikali Inavyoweza Kuuboresha Mfumo wa Haki Jinai Tanzania

Moja kati ya matatizo makubwa ambayo wadau wa haki za binadamu wamebainisha kuwa yanaukumba mfumo wa utoaji haki nchini Tanzania ni namna mfumo wa haki jinai wa taifa hilo la Afrika Mashariki ulivyotengenezwa kwa kuipa nguvu maradufu Serikali ya kuamua hatma ya mshukiwa huku Mahakama ikipokwa nguvu hiyo.

Pengine hakuna sauti muhimu nchini linapokuja suala la umuhimu wa kurekebisha mfumo wa haki jinai Tanzania zaidi ya Tito Magoti, mwanasheria na mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), ambaye pia alishawahi kuwa muhanga wa mfumo huo na kukumbana na madhila yake.

Kuweza kufahamu mambo mbalimbali yanayohusiana na mfumo wa haki jinai na namna za kuuboresha, mwandishi wetu Shafii Hamisi amefanya mazungumzo na Tito Magoti kama sehemu ya mfululizo wa podcast yetu iitwayo The Chanzo Podcast. Endelea

The Chanzo: Mwananchi wa kawaida angependa kufahamu ni ipi, au ni zipi, changamoto kubwa ambazo zinaukabili mfumo wa haki jinai nchini Tanzania na labda ungeweza kwa kuanza kwa kutueleza kwa ufupi tunaposema haki jinai tunakuwa tunamaanisha nini?

Tito Magoti: Asante mwandishi, nafurahi kuzungumza na wewe leo. Tunapozungumzia haki jinai tunamaanisha taratibu za washitakiwa, ama washtumiwa, wa makosa fulani fulani ya jinai wanavyoshughulikiwa, ama wanavyodhibitiwa na sheria zetu. Mtu akikuzaba kofi apate haki yake na wewe upate haki yako.

Kama haki yake ni kuadhibiwa basi astahili kuadhibiwa na kama haki yako ni kupata tamko kwamba kweli ulizabwa kofi na kuona nafuu ya kwamba mtu anaadhibiwa basi ionekane hivyo. Ama kutibiwa kutokana na maumivu na kadhalika na kadhalika.

Sasa, kimfumo, [nchini Tanzania] tuna taasisi ambazo zinadhibiti masuala fulani fulani. Mfumo huo wa haki jinai [unaamua mambo kama vile] unapofanyiwa tukio la jinai unakwenda wapi? Utaenda polisi. Polisi wataenda kwa Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma. Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma kwa niaba yako, kama ni Mahakama kuanzia ya wilaya yataenda mahakamani. Kwa hiyo, hapo umeona kuna polisi, kuna Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma [na] kuna Mahakama.

Kwa hiyo [hao], ni taasisi, ama ni wadau [wa haki jinai]. Lakini zaidi kuna wadau kama Magereza ambao wanahifadhi, wanakaa na watu ambao ni washukiwa wa makosa ya jinai. Lakini kadhalika wanakaa na wafungwa ambao wametamkwa kuwa wafungwa na wanastahiki kutumikia adhabu wakiwa magerezani.

Kwa hiyo, hao ni wadau wa haki jinai. Lakini sasa kwa Tanzania mambo ni mengi katika mfumo huu na kwa sababu shabaha ya mazungumzo haya ni kujaribu kuonesha changamoto ambazo pengine ni za kimfumo ambazo pia ni za kimsingi ambazo kama taifa tunafaa kuzimulika na kuzipatia majibu.

Sitajielekeza huko zaidi na nitapenda kuzungumzia masuala kama matatu au manne ambayo yakipata majibu yanaweza yakatuvusha, hata kutuondolea sintofahamu iliyopo katika mfumo wetu wa utoaji haki, hususani ya kijinai. Suala la kwanza ni upelelezi.

Upelelezi kwa sababu ni tatizo na kuona hata viongozi wa ngazi za juu, hata Mheshimiwa Rais marehemu [John] Magufuli katika moja ya hotuba yake katika Wiki ya Sheria alikiri kwamba upelelezi ni tatizo sugu. Simaanisha kwamba imekuwa ni tatizo kwa sababu Rais Magufuli alikiri lakini nataka kuonesha kwamba ni kilio ambacho hadi viongozi wamekiri kwamba kimewashinda.

Kwa hiyo, baada ya malalamiko yake Mheshimiwa Magufuli alisema kwamba tuwaombee wapelelezi na akaenda mbali zaidi akasema kwamba wapelelezi tuwaombee wanaweza wakalaaniwa na vitu vya namna hiyo. Kwa hiyo, unaona kwamba ni jambo kubwa la kitaifa ambalo limesikika kwa sauti za hali ya juu lakini bado limebaki kuwa vile vile.

Endelea kusoma makala nzima source : Hivi Ndivyo Serikali Inavyoweza Kuuboresha Mfumo wa Haki Jinai Tanzania - The Chanzo Initiative
 
bado mihimili 3 nayo inapaswa ipanguliwe maana haitaki kubadilika.... haitaki kubadilika,
kuna uonevu, upendeleo, ufuska umeshamiri na kulindana.

Lengo la Amiri Jeshi Mkuu Rais Samia anataka kuona mabadiliko ya kweli, uwazi, ukweli.
 
Bado hajaona mpinzani wa kufaa kumpa nafasi ya kutumikia wananchi
 
bado mihimili 3 nayo inapaswa ifumuliwe na isukwe upya kwendana na dhamira ya Mhe. Rais, maana kuna baadhi ya Idara/taasisi/mihimili haitaki kubadilika.

kuna uonevu, upendeleo, ufuska umeshamiri na kulindana.

Kuna miungu watu humo, uttachable,
Mkono wa Mama utawafikia safari hiii.

Lengo la Amiri Jeshi Mkuu Rais Samia anataka kuona mabadiliko ya kweli, uwazi, ukweli.
 
1. Ukweli ni kuwa waanze na jina lenyewe...Police force au police services....
2. Mtaala na ubora wa walimu wanaofundisha vyuo vya polisi.
3. Utaratibu na sifa za kujiunga na polisi.
4. Ukaguzi wa kina " vetting" wa polisi wote waliopo... .matendo ya rushwa na kulimbiza mali, uonevu, mauaji, nk walithibitika waondolewe.
5. Utaratibu wa kupandisha vyeo na tathmini ya utenda kazi ziangaliwe upya...
6. Kuna wengi wagonjwa, walevi kupindukia, nk hivyo wamepoteza sifa ya kuwa askari imara..hilo nalo liangaliwe...

Nk

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
 
Rais angalia dar ni shida kupita maelezo Ni kama hakuna serikali ni fujo kila kona
Hamisha uongozi wote wote ni walaji tu,
Milori, boda boda machinga kati kati ya jiji ni fujo tu
 
1658981492671.png

Picha: Toka maktaba online ya wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule wafuatao:
1. Inspekta Jenerali CAMILLUS MWONGOSO WAMBURA, kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP)
2. Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (GP) SIMON NYAKORO SIRRO, kuwa Balozi Wa Tanzania Nchini Zimbabwe 3. Balozi Luteni Jenerali MATHEW EDWARD MKINGULE, kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Zambia
4. Dkt. SULEIMAN HAJI SULEIMAN kuwa Balozi

====​

Aliyoyazungumza Rais Samia katika hafla ya uapisho Ikulu, Dodoma: Asema kuna mabadiliko makubwa yanakuja
Rais amempongeza IGP aliyepita Simon Sirro kwa utumishi wake uliotukuka lakini amesema kama maisha yalivyo amelazimika kufanya uteuzi huo. Na ameahidi kutakuwa na mabadiliko mengine makubwa. pia amempongeza kwa kuteuliwa kuwa balozi.

Rais pia amempongeza IGP Wambura kwa kuteuliwa kuwa IGP na amemtaka awe muadilifu katika nafasi yake hiyo aliyoteuliwa baada ya utendaji wake kwa nafasi zilizotangulia kuonekana.

Pia Rais amewapongeza watu wengine walioapishwa.

Rais Kumekuwa na ulazima wa kufanya mabadiliko katika taasisi za haki jamii ili kuboresha suala la utawala bora.

Rais amesema amelazimika kufanya mabadiliko kwenye taasisi hizo ambapo ameanza na Jeshi la Polisi, wataiangalia TAKUKURU, Magereza na Kamishne ya dawa za kulevya ambapo wataangalia mfumo wa utendaji katika maeneo hayo ili kuboresha utendaji.

Amesema wataangalia mifumo ya upandishaji vyeo kwenye taasisi hizo. Amesema ametazama maeneo mengi watu wanakaribia kustaafu lakini mabega yako wazi kama watu walioanza ajira hivi karibuni. Na pia wataangalia mafunzo maana mtu ili apandishwe cheo ni lazima apitie mafunzo ya kitaaluma na kimadaraka.

Jambo lingine litakaloangaliwa ni mahusiano na raia na taasisi nyingine. Ili kuangalia kanuni zilizpo kwa kuwa wamepokea malalamiko mengi kutoka kwa wageni.

Mwaka wa fedha 2022/23 ameongeza bajeti ya majeshi ili kuangalia stahiki na haki za maaskari. Suala lingine la kuangaliwa ni namna ya kuwaingiza watu katika ajira. Amesema maaskari wengi ukiwatizama na nidhamu yao haviendani. Na inaonekana hakuna kushindwa katika majeshi. Ambapo amesema kuna viashiria ya vyeti feki.

Amesema kutakuwa na mchujo kwenye majeshi yote ili kuwa na wataalamu mbalimbali ikiwemo wataalamu wa fedha, ICT na wataalamu wengine. Pia kuangalia masuala ya tafiti na ugunduzi ili kuwa na zana za kisasa katika majeshi kwa kuangalia mahitaji yakoje.

Mipango ya mawasiliano itaangaliwa ili kujua teknolojia inatumiakaje. Kwa sasa amenza na jeshi la polisi

Kamati ya watu 12 yaundwa.
Kamati inaongoza na Jaji Msaafu Chande Othmani na makamu wake Sefue. Rais Samia amesema ameunda kamati ili kupewa ushauri wa namna ya kuleta mabadiliko ya utendaji kazi bora. Ambapo wameanza na polisi na watampelekea taarifa ya taaisis nyingine ili kuboresha taasisi hizo.

Rais amesema kwa sasa serikali inakuja na jicho lingine kwenye masuala ya kijeshi ili kuunda majeshi imara na bora katika utendaji.
PIA, SOMA: Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI

Njia inasafishwa ili mfalme apite bila bugudha

Back
Top Bottom