Rais Samia: Asiyejua anasema Serikali inakopa tu, kwani tunakopa kununua sare za harusi?

Majibu ya namna hiyo huashiria kuwa kitu flani haiko sawa ima katika mfumo au mtu binafsi.
 
Tuna viongozi wabinafsi au wavivu wa kufikiri. Kama hatuwezi kutekeleza development projects kwa hela zetu, kwanini Serikali inatumia taxpayers money kununua magari ya kifahari (yanayogharimu zaidi ya TZS 250 million apiece)? Matumizi ya aina hii hayana tofauti sana na yale ya kununua sare za harusi.
 
Una.gongwa we jamaa manina zako
Usrmtukane tu Chawa wa Mama.. hata kula yake inategemea arushiwe makombo baada kumpambania Mama mitandaoni... jamani umasikini mbaya !
 
Mnakopa na kupiga hela hiyo. Tena mnakopa mumeshindwa kukusanya kodi. Mnakopa kwa sababu mnaona kukopa rahisi kuliko kukusanya kodi. Wenyewe mnafanya biashara mnaona bora mukopi kuliko kulipa kodi. Tunajua kila mkikopa binafdi mnapata hela.
 
Ndani ya takribani miaka 4 deni limepaa 32 Trilion hadi 96 Trilion

Wananchi wakiuliza kuna makosa hapo!!

Si bure kuna shida sehemu
 
Kukopa sio vibaya.
Ila nakuomba rais wangu shughulika ipasavyo na wanaotafuna fedha za umma.
Wewe unawafahamu ,si uwataje? Kwa mfumo wa Udhibiti wa hela ulivyo Kwa Sasa hao wanaotafuna wao wanazipatia wapi na Kwa utaratibu gani?
 

Attachments

  • VID-20250115-WA0018.mp4
    16.9 MB

Attachments

  • 5945173-23735a1566a1fc06bd36bb28be6a7fb2.mp4
    8.8 MB
  • 5944929-4d92792ffdf762a4208c3397ae41a106.mp4
    15.1 MB
Morogoro, moshi, himo rombo, handeni, korogwe etc hakuna maji.... au hiyo miradi inatekelezwa wapi wewe mnufaika wa mikopo yetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…