Rais Samia: Asiyejua anasema Serikali inakopa tu, kwani tunakopa kununua sare za harusi?

Rais Samia: Asiyejua anasema Serikali inakopa tu, kwani tunakopa kununua sare za harusi?

Rais Samia amedai Wafanyabiashara wadogo na wakati wengi wao wanakimbia ulipaji kodi hali inayosababisha kuingia kwenye mikopo na "Asiyejua anasema Serikali inakopa tu, kwani tunakopa kununua sare za harusi?"

Soma, Pia: Luhaga Mpina: Taifa limebakiza 4.6% tu kufikia Ukomo elekezi wa Deni la nje. Kauli ya 'Deni letu ni himilivu' karibu inapotea

Majibu ya namna hiyo huashiria kuwa kitu flani haiko sawa ima katika mfumo au mtu binafsi.
 
Rais Samia amedai Wafanyabiashara wadogo na wakati wengi wao wanakimbia ulipaji kodi hali inayosababisha kuingia kwenye mikopo na "Asiyejua anasema Serikali inakopa tu, kwani tunakopa kununua sare za harusi?"

Soma, Pia: Luhaga Mpina: Taifa limebakiza 4.6% tu kufikia Ukomo elekezi wa Deni la nje. Kauli ya 'Deni letu ni himilivu' karibu inapotea

Tuna viongozi wabinafsi au wavivu wa kufikiri. Kama hatuwezi kutekeleza development projects kwa hela zetu, kwanini Serikali inatumia taxpayers money kununua magari ya kifahari (yanayogharimu zaidi ya TZS 250 million apiece)? Matumizi ya aina hii hayana tofauti sana na yale ya kununua sare za harusi.
 
Rais Samia amedai Wafanyabiashara wadogo na wakati wengi wao wanakimbia ulipaji kodi hali inayosababisha kuingia kwenye mikopo na "Asiyejua anasema Serikali inakopa tu, kwani tunakopa kununua sare za harusi?"

Soma, Pia: Luhaga Mpina: Taifa limebakiza 4.6% tu kufikia Ukomo elekezi wa Deni la nje. Kauli ya 'Deni letu ni himilivu' karibu inapotea

Mnakopa na kupiga hela hiyo. Tena mnakopa mumeshindwa kukusanya kodi. Mnakopa kwa sababu mnaona kukopa rahisi kuliko kukusanya kodi. Wenyewe mnafanya biashara mnaona bora mukopi kuliko kulipa kodi. Tunajua kila mkikopa binafdi mnapata hela.
 
Ndani ya takribani miaka 4 deni limepaa 32 Trilion hadi 96 Trilion

Wananchi wakiuliza kuna makosa hapo!!

Si bure kuna shida sehemu
 
Wanazingua na matumizi mabaya ya kodi zetu, nchi hii mjamzito kujinunulia glove aibu.

Pesa wanapewa machawa kutangaza birthday kwenye kirikuuu.

Wanapewa machawa kwenda korea ya kusini.
Unachekesha sana,huyo anaewadanganya Mkoani kwake Simiyi Kuna mradi wa zaidi ya Bilioni 400 na ni Mkopo harafu mna dance upuuzi wake.

Aliwaambia kwamba Kuna huo mradi?
Screenshot_20250130-173909.jpg

View: https://www.instagram.com/reel/DEwqeTlIiBu/?igsh=MTZibHVqcWlucXl2cA==
 
Kukopa sio vibaya.
Ila nakuomba rais wangu shughulika ipasavyo na wanaotafuna fedha za umma.
Wewe unawafahamu ,si uwataje? Kwa mfumo wa Udhibiti wa hela ulivyo Kwa Sasa hao wanaotafuna wao wanazipatia wapi na Kwa utaratibu gani?
 
Attachments

  • VID-20250115-WA0018.mp4
    16.9 MB

Attachments

  • 5945173-23735a1566a1fc06bd36bb28be6a7fb2.mp4
    8.8 MB
  • 5944929-4d92792ffdf762a4208c3397ae41a106.mp4
    15.1 MB
Utajuaje kile Serikali inafanya wakati mda wote wewe uko busy kufuatilia ujinga wa kina Mpina na Lisu wanafanya siasa Kwa vile wanajua Watanzania wengi hawana akili za kufuatilia mambo ya msingi so mnasubiria kuambiwa na hao wanaopotosha.

Mfano huu ni mradi Mijini 28 Nchi nzima zaidi ya Trilioni 1 za Mkopo kutoka India zinafanya kazi kwenye maeneo 28 Tanzania nzima ,ukitaka nikupe updates ya Kila sehemu naweza fanya hivyo.

Songea 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFYNDejsw3b/?igsh=OHFjNWMxbXljdWow

Morogoro, moshi, himo rombo, handeni, korogwe etc hakuna maji.... au hiyo miradi inatekelezwa wapi wewe mnufaika wa mikopo yetu?
 
Back
Top Bottom