Rais Samia Ataishi na huu ukweli kwa maisha yake yote yaliyobakia hapa duniani

Sasa hivi wote washindwa kuamua ama wamuachie Tundu Lissu na kama kumwachia ni kwa namna ipi. Pia hata kama akina Humphrey Polepole bado wapo hai ni vigumu kuwaachia hivihivi kwa aibu na uoga.

Wamejiweka wenyewe katika mtego mgumu.
Kuna mengi makubwa na magumu sana ya kurekebisha.

Dhambi ya kumwaga damu kiasi kile ni kubwa sana. Hakuna namna ya kusahihisha hilo kosa na kurejea hali iliyokuwepo kabla. Lazima hatua kubwa za “Kimapinduzi” (a radical move) zichukuliwe kuponya nchi.

Kwa sisi Wakristo, muuaji wa kwanza, Kaini, alipomuua ndugu, yake, Habili, Mungu alimuondoa mahali pake na kumtupa atangetange duniani kote!

Vivyo hivyo wote waliohusika na damu ya Oktoba 29+ hawana budi kuwajibika na kuondoka kabisa kwenye utawala na uongozi wa nchi. Lazima mabadiliko makuu yafanyike.

A TOTAL RESET is essential and necessary. Devoid of that, we’d continue living in a DOOMED and DAMNED country. We’ll soon join the wretched of the earth.
 
Na haya mambo hayawezi kufanyika as total reset endapo waliosababisha massacree wataendelea kuwa madarakani au kuwa hai

shetani siku zote anapitia kwa mwanamke, lazima nafsi ya shetani iliyondani ya Samia itoke na kuuacha mwili wake

Samia is a devil in human form, she is being used and she Will never make It

Samia amebeba historia mbaya kwenye taifa letu. Hakuna namna atakayoweza kufanya

Wameingiza uhawara na uchangudoa yeye na mwenzie kwenye nchi yetu .
 
Umeandika mav! lakini nachotaka kukwambia samia kama ana access (well,access anayo) ya kuuona huu uzi atakuwa baada ya kuusoma alitafuta ndoo ya maji na kopo akaingia kwanza msalani maana anajua yote yaliyoandikwa ndiyo anayahisi moyoni mwake.
 
Sasa anaishi kwa kulindwa na battalion nzima ya jeshi na ziara zake hazitangazwi,anaibuka tuu kuhutubia watu waliochaguliwa kumpigia makofi,mnaofikiri haogopi mwambieni akahutubie viwanja vya wazi Jangwani
 
Hakuna gen Z anayemshabikia magu acha kupotosha
 
Sasa kwani inabadilisha nini?
Wagalatia na Matanganyika mtateseka sana na Machogo yenu
Chupi,hivi mtoto wa kiume unakuwaje na akili fupi na ndogo kiasi hiki?yaani wewe hilo boga ulilobeba juu ya shingo linakutuma uamini kwamba walio against na samia sababu ni uislam wake!

Dude wTf,yaani watu wauawe aambiwe wewe useme wanamsema kwa sababu muislam?so uislam kumbe kuuwa unaotafuta kuwaongoza ni jambo lililoruhusiwa,ok sawa then leo nimeongeza kitu ktk mazuri yangu niliyokuwa nayajua kuhusu hiyo dini.
 
Total Reset maana yake lazima wote waliohusika wawajibike na kuondoka. Soma tena post yangu. Sio hivyo tu, bali pia mfumo mzima wa CCM wa chama dola (state party), urais wa kiimla (imperial presidency), na udikteta wa dola (state dictatorship) uvunjiliwe mbali. Mustakabali wa taifa ujadiliwe na kuundwa upya. Bila hivyo itakuwa kazi bure kabisa.

Samia na kundi lake si tatizo la msingi; ni matokeo tu ya kulea mfumo mbovu ulioasisiwa enzi za chama kimoja cha siasa na kupewa nguvu Kingunge Ngombale Mwiru alipokuwa mkuu wa itikadi wa chama wakati wa JKN. Ndani ya sera ya Chama kushika hatamu, CCM ikawa na nguvu ndani ya serikali na taasisi zake, majeshi yote, hata ndani ya sekta binafsi. Nchi nzima. It was, virtually, a police state.

Tulipoingia vyama vingi 1992, sijui ni papara au kitu gani, watu walikimbilia kuanzisha vyama, kuanza kampeni na kuweka uzito mdogo sana katika suala zima la kufanya marekebisho ya maana katika Katiba na mfumo mzima wa utawala. Hii ni licha ya mapendekezo ya maana ya Tume za Nyalali na baadaye, Kisanga. Nyerere mwenyewe alionyesha ubovu wa katiba iliyokuwepo inavyompa Rais absolute power.

Leo nchi inaishi kwa kutegemea hekima, busara, wema na upole wa Rais na washauri wake. Lakini mfumo ni bomu. Rais akiwa mwema kiasi, watu wanapumua. Akiamua kuwa fisadi na mkatili wa wazi, watu wanaumia kimyakimya. Wanaotaka kupambania haki na marekebisho ya mfumo hujikuta wakilazimika kulipa gharama ya damu!
 
Hapana, tutakuweka ww
Si mmnù⁷
We Kafiri huna akili, utachukia mpaka ujinyee
 
Si mmnù⁷

We Kafiri huna akili, utachukia mpaka ujinyee
Watoto wa kipemba si michezo yenu hiyo kuchezeana mavi,kwa sababu umeshabomolewa seal zote na mjomba sijui baba yako mdogo unadhani wote ni wale wale.
 
Kitabu kinachoandaliwa na Mtizedi Dr Ezekiel Elibariki, Lecturer wa Penn University. Inaaminika anashirikiana na Amnesty to uncover the Tanzania Massacre na Hidden motives ya wahuni wawili na kundi lao
 

Attachments

  • 5B985264-A3B7-4D80-B319-4F81A9045113.png
    3.5 MB · Views: 18
Amnesty will expose the massacre.
 

Attachments

  • IMG_6821.jpeg
    403.8 KB · Views: 12
  • IMG_6822.jpeg
    298.6 KB · Views: 11
  • IMG_6823.jpeg
    278.4 KB · Views: 12
  • IMG_6824.jpeg
    248.9 KB · Views: 15
  • IMG_6825.jpeg
    320.4 KB · Views: 13
  • IMG_6826.jpeg
    196.4 KB · Views: 11
Naungana na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…