Umeliweka vizuri sanaTotal Reset maana yake lazima wote waliohusika wawajibike na kuondoka. Soma tena post yangu. Sio hivyo tu, bali pia mfumo mzima wa CCM wa chama dola (state party), urais wa kiimla (imperial presidency), na udikteta wa dola (state dictatorship) uvunjiliwe mbali. Mustakabali wa taifa ujadiliwe na kuundwa upya. Bila hivyo itakuwa kazi bure kabisa.
Samia na kundi lake si tatizo la msingi; ni matokeo tu ya kulea mfumo mbovu ulioasisiwa enzi za chama kimoja cha siasa na kupewa nguvu Kingunge Ngombale Mwiru alipokuwa mkuu wa itikadi wa chama wakati wa JKN. Ndani ya sera ya Chama kushika hatamu, CCM ikawa na nguvu ndani ya serikali na taasisi zake, majeshi yote, hata ndani ya sekta binafsi. Nchi nzima. It was, virtually, a police state.
Tulipoingia vyama vingi 1992, sijui ni papara au kitu gani, watu walikimbilia kuanzisha vyama, kuanza kampeni na kuweka uzito mdogo sana katika suala zima la kufanya marekebisho ya maana katika Katiba na mfumo mzima wa utawala. Hii ni licha ya mapendekezo ya maana ya Tume za Nyalali na baadaye, Kisanga. Nyerere mwenyewe alionyesha ubovu wa katiba iliyokuwepo inavyompa Rais absolute power.
Leo nchi inaishi kwa kutegemea hekima, busara, wema na upole wa Rais na washauri wake. Lakini mfumo ni bomu. Rais akiwa mwema kiasi, watu wanapumua. Akiamua kuwa fisadi na mkatili wa wazi, watu wanaumia kimyakimya. Wanaotaka kupambania haki na marekebisho ya mfumo hujikuta wakilazimika kulipa gharama ya damu!
Wasijekumfanya kama JFK . Na kwa TZ ni rahisi sana hawana distant protection kwa kutumia technology…. Utawaona wapo wengi nanmitutu but hamna kituSasa anaishi kwa kulindwa na battalion nzima ya jeshi na ziara zake hazitangazwi,anaibuka tuu kuhutubia watu waliochaguliwa kumpigia makofi,mnaofikiri haogopi mwambieni akahutubie viwanja vya wazi Jangwani
Uzi mzuri, umeutoa wakati sahihiNi Rais pekee ambae watanzania wamemkataa wazi wazi.
Sio kwa sababu ya Udini( tuliwahi kuwa na rais waislam na hakukuwa na shida yoyote) , Ukabila au Jinsia kama inavyoenezwa kwa propaganda.
Wengi wamemkataa Samia kwa kigezo cha Competency na Uzalendo. Watanzania wanaamini nchi yao ipo kwenye majaribio na kwa sasa nchi inaendeshwa na WAHUNI, huo ni ukweli mchungu.
Huu ni ukweli ambao Samia ataingia nao kaburini.
1. Hakuwahi kuchaguliwa na wananchi kwa ridhaa yao kwa awamu zote mbili
2. Samia ni rais pekee ambae amebeba historia mbaya ya Tanzania , ni historia ya kipekee tangu TZ iumbwe na mbaya zaidi ameiandika hii historia kipindi cha technology and digital transformation, in the near future …. Hata familia yake itaathirika na hii historia
3. Ni Rais pekee ambae baada ya mauti yake, nyuma ataacha vitabu, documentary hata movies zitakazoelezea ubaya wake na ukatili ambao kwa asilimia kubwa umechangiwa na INCOMPETENCY , : sidhani kama ataipenda hii historia.
I feel so sad for her - Sidhani kama alitamani iwe ilivotokea. It is all about incompetency, smart leaders would never let that happen. Unawezaje kufanya massacre kwa wananchi unaowaongoza ….. very strange. Akili ni kitu muhimu sana
The worst part ni kwa miaka 4 iliyobaki ( kama mungu atampa kibali cha pumzi zaidi) hakuna atakachoweza kufanya cha kuleta maendeleo, kwa sasa ni anazuga zuga tu hakuna maendeleo atakayofanya kwa sasa , watanzania wamemkataa, na wataendelea kumkataa : now yupo kwenye survive of the fittest, it is sad but true ….: ni rais pekee atakaekuwa amekaa madarakani bila maendeleo yoyote.
Hapo chini ni kitabu ambacho kinaandaliwa na Mtanzania anaeishi marekani , Dr Ezekiel , aliwahi kuwa Mwalimu wa UDSM miaka ile akapata nafasi ya kufundisha, USA Pennsylvania University. Anafanya kazi kwa karibu pia na Shirika la haki za binadamu , Amnesty.
Hii kitu samia hawezi kukaa nayo mbali, I feel sad for her
Dr. Megalodon Mushi
Ottawa, Canada
Rue 52
Hii paragraph ya mwisho imeniliza sana baada ya kuisoma, maana nimekuwa nikiwaza kila muda baada. Ni lini wanainchi wataipora hiyo nguvu ya kimamlaka kutoka kwa huo muhimili mkuu ambayo kimsingi hawajawahi kuwa nayo tangu taifa hili lipate uhuru..!?Total Reset maana yake lazima wote waliohusika wawajibike na kuondoka. Soma tena post yangu. Sio hivyo tu, bali pia mfumo mzima wa CCM wa chama dola (state party), urais wa kiimla (imperial presidency), na udikteta wa dola (state dictatorship) uvunjiliwe mbali. Mustakabali wa taifa ujadiliwe na kuundwa upya. Bila hivyo itakuwa kazi bure kabisa.
Samia na kundi lake si tatizo la msingi; ni matokeo tu ya kulea mfumo mbovu ulioasisiwa enzi za chama kimoja cha siasa na kupewa nguvu Kingunge Ngombale Mwiru alipokuwa mkuu wa itikadi wa chama wakati wa JKN. Ndani ya sera ya Chama kushika hatamu, CCM ikawa na nguvu ndani ya serikali na taasisi zake, majeshi yote, hata ndani ya sekta binafsi. Nchi nzima. It was, virtually, a police state.
Tulipoingia vyama vingi 1992, sijui ni papara au kitu gani, watu walikimbilia kuanzisha vyama, kuanza kampeni na kuweka uzito mdogo sana katika suala zima la kufanya marekebisho ya maana katika Katiba na mfumo mzima wa utawala. Hii ni licha ya mapendekezo ya maana ya Tume za Nyalali na baadaye, Kisanga. Nyerere mwenyewe alionyesha ubovu wa katiba iliyokuwepo inavyompa Rais absolute power.
Leo nchi inaishi kwa kutegemea hekima, busara, wema na upole wa Rais na washauri wake. Lakini mfumo ni bomu. Rais akiwa mwema kiasi, watu wanapumua. Akiamua kuwa fisadi na mkatili wa wazi, watu wanaumia kimyakimya. Wanaotaka kupambania haki na marekebisho ya mfumo hujikuta wakilazimika kulipa gharama ya damu!
Na hii ndiyo one of the greatest mistake Nyerere does, hakujali mustakabali wa Taifa, yeye alijiangalia yeye kwanza kabla ya Taifa.Hii paragraph ya mwisho imeniliza sana baada ya kuisoma, maana nimekuwa nikiwaza kila muda baada. Ni lini wanainchi wataipora hiyo nguvu ya kimamlaka kutoka kwa huo muhimili mkuu ambayo kimsingi hawajawahi kuwa nayo tangu taifa hili lipate uhuru..!?
Nikiangalia yale yaliyotendeka kwenye MO29 hili mtawala aendelee kubaki na nguvu yake ndio nachoka kabisa..
Nawaza sana inakuwaje mtu mmoja kati ya watu 67m ndio anaamua mahakama zifanye nini,zitoe adhabu gani, kwamba lipi ni kosa na lipi sio kosa, watu waishi vip na kipi hawapaswi kufanya,nani aishi na nani hatakiwi kuishi na kubwa zaidi yeye ndio anaamua bunge liwe vipi... aisee hata nchi za kikomunist hazina kabisa huu upumbafu japo na wao kwa kiasi kikubwa wanaongozwa na busara za mtu mmoja.
Binafsi mtu yeyote ambaye ana usapoti huu utawala wa mboga mboga na mmind sana
Akishabugia K Vant yote hayo hayafikirii anajiona mi malaika kabisa.Ni Rais pekee ambae watanzania wamemkataa wazi wazi.
Sio kwa sababu ya Udini( tuliwahi kuwa na rais waislam na hakukuwa na shida yoyote) , Ukabila au Jinsia kama inavyoenezwa kwa propaganda.
Wengi wamemkataa Samia kwa kigezo cha Competency na Uzalendo. Watanzania wanaamini nchi yao ipo kwenye majaribio na kwa sasa nchi inaendeshwa na WAHUNI, huo ni ukweli mchungu.
Huu ni ukweli ambao Samia ataingia nao kaburini.
1. Hakuwahi kuchaguliwa na wananchi kwa ridhaa yao kwa awamu zote mbili
2. Samia ni rais pekee ambae amebeba historia mbaya ya Tanzania , ni historia ya kipekee tangu TZ iumbwe na mbaya zaidi ameiandika hii historia kipindi cha technology and digital transformation, in the near future …. Hata familia yake itaathirika na hii historia
3. Ni Rais pekee ambae baada ya mauti yake, nyuma ataacha vitabu, documentary hata movies zitakazoelezea ubaya wake na ukatili ambao kwa asilimia kubwa umechangiwa na INCOMPETENCY , : sidhani kama ataipenda hii historia.
I feel so sad for her - Sidhani kama alitamani iwe ilivotokea. It is all about incompetency, smart leaders would never let that happen. Unawezaje kufanya massacre kwa wananchi unaowaongoza ….. very strange. Akili ni kitu muhimu sana
The worst part ni kwa miaka 4 iliyobaki ( kama mungu atampa kibali cha pumzi zaidi) hakuna atakachoweza kufanya cha kuleta maendeleo, kwa sasa ni anazuga zuga tu hakuna maendeleo atakayofanya kwa sasa , watanzania wamemkataa, na wataendelea kumkataa : now yupo kwenye survive of the fittest, it is sad but true ….: ni rais pekee atakaekuwa amekaa madarakani bila maendeleo yoyote.
Hapo chini ni kitabu ambacho kinaandaliwa na Mtanzania anaeishi marekani , Dr Ezekiel , aliwahi kuwa Mwalimu wa UDSM miaka ile akapata nafasi ya kufundisha, USA Pennsylvania University. Anafanya kazi kwa karibu pia na Shirika la haki za binadamu , Amnesty.
Hii kitu samia hawezi kukaa nayo mbali, I feel sad for her
Dr. Megalodon Mushi
Ottawa, Canada
Rue 52
Na hizi reforms zitachukua mda sana na gharama kubwa mno hasa ya damu, na ile MO29 kulikua sababu kabsa nchi kurudi kwa Raia, ila kwa sababu ya haya mamlaka ya Rais, Raia wakaishia kuawa bila hatia zozote kuchukuliwa.Total Reset maana yake lazima wote waliohusika wawajibike na kuondoka. Soma tena post yangu. Sio hivyo tu, bali pia mfumo mzima wa CCM wa chama dola (state party), urais wa kiimla (imperial presidency), na udikteta wa dola (state dictatorship) uvunjiliwe mbali. Mustakabali wa taifa ujadiliwe na kuundwa upya. Bila hivyo itakuwa kazi bure kabisa.
Samia na kundi lake si tatizo la msingi; ni matokeo tu ya kulea mfumo mbovu ulioasisiwa enzi za chama kimoja cha siasa na kupewa nguvu Kingunge Ngombale Mwiru alipokuwa mkuu wa itikadi wa chama wakati wa JKN. Ndani ya sera ya Chama kushika hatamu, CCM ikawa na nguvu ndani ya serikali na taasisi zake, majeshi yote, hata ndani ya sekta binafsi. Nchi nzima. It was, virtually, a police state.
Tulipoingia vyama vingi 1992, sijui ni papara au kitu gani, watu walikimbilia kuanzisha vyama, kuanza kampeni na kuweka uzito mdogo sana katika suala zima la kufanya marekebisho ya maana katika Katiba na mfumo mzima wa utawala. Hii ni licha ya mapendekezo ya maana ya Tume za Nyalali na baadaye, Kisanga. Nyerere mwenyewe alionyesha ubovu wa katiba iliyokuwepo inavyompa Rais absolute power.
Leo nchi inaishi kwa kutegemea hekima, busara, wema na upole wa Rais na washauri wake. Lakini mfumo ni bomu. Rais akiwa mwema kiasi, watu wanapumua. Akiamua kuwa fisadi na mkatili wa wazi, watu wanaumia kimyakimya. Wanaotaka kupambania haki na marekebisho ya mfumo hujikuta wakilazimika kulipa gharama ya damu!
Hatukuwaona tarehe 9/12 na hicho mdiyo kipimo cha uwezo wa SerikaliHuna akili, the sad part
Nani anajali? Hata ukikasirika lakini hesabu hazirudi nyuma.....Leo ni siku kadhaa toka tar 29/10 - 29/11-21/12. Takriban miezi miwili. Msinitukane bure, hesabu hizo sijazitengeneza mimi...karibia 60 days. Tunasubiri 40 days ili zifike 100 - hutuba ya maendeleo na mustakbali wa Taifa- Rais Samia suluhu Hassan. Inapendeza! Poleni wenye Gundu.Huu ni ukweli ambao Samia ataingia nao kaburini
Kwa kifupi kabisa, huyo unayomuona kuwa mtu mmoja hayuko peke yake. Ana kundi kubwa sana la wawezeshaji ambao ni:Hii paragraph ya mwisho imeniliza sana baada ya kuisoma, maana nimekuwa nikiwaza kila muda baada. Ni lini wanainchi wataipora hiyo nguvu ya kimamlaka kutoka kwa huo muhimili mkuu ambayo kimsingi hawajawahi kuwa nayo tangu taifa hili lipate uhuru..!?
Nikiangalia yale yaliyotendeka kwenye MO29 hili mtawala aendelee kubaki na nguvu yake ndio nachoka kabisa..
Nawaza sana inakuwaje mtu mmoja kati ya watu 67m ndio anaamua mahakama zifanye nini,zitoe adhabu gani, kwamba lipi ni kosa na lipi sio kosa, watu waishi vip na kipi hawapaswi kufanya,nani aishi na nani hatakiwi kuishi na kubwa zaidi yeye ndio anaamua bunge liwe vipi... aisee hata nchi za kikomunist hazina kabisa huu upumbafu japo na wao kwa kiasi kikubwa wanaongozwa na busara za mtu mmoja.
Binafsi mtu yeyote ambaye ana usapoti huu utawala wa mboga mboga na mmind sana
Muone huruma kama unampenda,yuko kwenye halimbaya duniani na Akhera, ameuwa watu haijalishi wakristo au waislaam. Amedhulmu roho zao kuwa na utu sheikh.Basi kamtoeni mumuweke Kitima au Pengo 🤣🤣🤣
I also believe there is something , really wrongCorrecting a wanton massacre of citizens? Then grabbing state power with impunity! That's quite a high bar. I really don't see her (or anyone, in that case) overcoming that - short of a heartfelt public confession, begging for mercy (self-humiliation) as well as submitting oneself to appropriate legal authorities for due process and penalty. A sure suicide move on her part.
Very sadly, she's at the point of no-return. Whoever pushed her there had sinister motives, for sure. I keep wondering who that person could be?!! And, most important, what's their endgame?
Pascal Mayalla ni one of those failure GuyMohamed Said
Nasubiri andiko/kitabu chako kuhusu mauaji ya Oct 29 na ushiriki wa KMKM toka Znz
Au utafanya pitio cha Mohomed Njozi akitoa cha kwake?
Pascal Mayalla
Mohamed Said

Usiwe na wasi. Gen kuanzia Z kwenda mbele ni Gen inayotaka majibu ya nchi yao . Gen ya kina Samia bado wanaamini wataongoza nchi kama tupo ujima kurubuni watu na propaganda hapo ndio watafeli zaidi.Hii paragraph ya mwisho imeniliza sana baada ya kuisoma, maana nimekuwa nikiwaza kila muda baada. Ni lini wanainchi wataipora hiyo nguvu ya kimamlaka kutoka kwa huo muhimili mkuu ambayo kimsingi hawajawahi kuwa nayo tangu taifa hili lipate uhuru..!?
Nikiangalia yale yaliyotendeka kwenye MO29 hili mtawala aendelee kubaki na nguvu yake ndio nachoka kabisa..
Nawaza sana inakuwaje mtu mmoja kati ya watu 67m ndio anaamua mahakama zifanye nini,zitoe adhabu gani, kwamba lipi ni kosa na lipi sio kosa, watu waishi vip na kipi hawapaswi kufanya,nani aishi na nani hatakiwi kuishi na kubwa zaidi yeye ndio anaamua bunge liwe vipi... aisee hata nchi za kikomunist hazina kabisa huu upumbafu japo na wao kwa kiasi kikubwa wanaongozwa na busara za mtu mmoja.
Binafsi mtu yeyote ambaye ana usapoti huu utawala wa mboga mboga na mmind sana
Inasikitisha. Hafai hata kuitwa Baba wa taifaNa hii ndiyo one of the greatest mistake Nyerere does, hakujali mustakabali wa Taifa, yeye alijiangalia yeye kwanza kabla ya Taifa.
Second mistake ni kwenye Muungano, ukifuatilia Utakuta mtanganyika ananyonywa sana na Zanzibar yaani kiufupi ni Tanganyika ni kama Koloni la Zanzibar. Mzanzibar yupo huru kwenye nchi zote mbili, lakini mtanganyika hayupo huru Zanzibar.
Haya ndiyo yalikua maono ya JKN, pamoja na mapambano yake yote ya kulipa hili Taifa uhuru, lakini aliishia kujenga Taifa lenye mustakabali mbovu na wa kuskitisha, hizi lawama hatazikwepa kizazi na kizazi kitaisoma history hii na kulaani aliyo yaacha.
Huyu hajui kama Jumuia ya Kimataifa ikikukataa madhara yake ni Makubwa kwa Uchumi wa nchi Maana Uraisi wake utakua hauna tofauti na Mwenyekiti wa Mtaa, Yeye hana tena furaha ya Uongozi ndani na nje ya nchi, sasa hivi ni kujifungia ndani tu na kwenda ukumbini, Mwenzake Magufuli yeye nje alikua hapendi kwenda watu walisema hajui kuongea Englishi na lakini yeye Magufuli alikua anatembea Mikoani anaongea na Wananchi wana furahia, Yani huyu Samuya hana akili kabisa yani hata kuongea na Wananchi roho yake inamsuta maisha yake ya kukaa ndani mpaka lini hana tofauti na Lissu, Maana Lissu anapelekwa Mahakamani na Ulinzi Mkali na kurudishwa Ndani na Samuya hivyo anatolewa ndani na Ulinzi mkali na kupelekwa ukumbini na kurudishwa ndani.HUNA akili. Utaona impact ya alichokifanya ndio utajua maana ya amiri jeshi.
Unadhani imeesha ? Akili ni kitu muhimu sana
Kipindi cha Magufuli ni kweli alizuia Democrasia lakini Upande alifanya Vizuri alivuluga Demokrasia na Upande wa Huduma za kijamii Wananchi walienjoi Magufuli alikua anaonyesha nia ya dhati ya kuleta Maendeleo ya nchi ndiyo Maana wananchi walimuacha awe huru kufanya Maendeleo ambayo Wapinzani Maendeleo ya Vitu siyo Mazuri, Unajua kipindi cha Kikwete wapinzani walikua wanatukana kwa kusema miaka 50 ya uhuru CCM hawajafa lolote lile la maana na CCM wenyewe walikua kimya mpaka Kikwete akawambia wajitokeze wawajibu wasikae kimya wasiwe wanyonge, awamu ya Magufuli wapinzani wakaacha kauli mbiu yao ya Miaka 50 hakuna kilichofanyika wakaja na kaulimbiu Wanataka Maendeleo ya watu na siyo Maendeleo ya vitu na wakati huo Mbowe na Zitto wapo ndani ya Ndege, Sasa awamu hii ile kauli ya Miaka zaidi ya 50 imekuja tena watu wanasema Miaka zaidi ya 50 Wananchi hawana maji ya kupikia, angekua Magufuli mpaka sasa shida ya Maji ingemalizika kwasababu Tilioni 107 ni pesa nyigi mno, hizi pesa Viongozi wametia mifukoni kwasababu Raisi Hana Elimu hawezi kujua hesabu za Tilioni zimetumikaje hawezi kuhoji hana uwezo huo wa kuijadili Matilioni na hawezi kusoma nyaraka kwasababu Elimu ndogo.Gen Z wanaponishangaza ni kumshabikia Hayati na kumkataa Maza. Wanasahau legacy hii kubwa kabisa ya ukosefu wa demokrasia haijaanza kwake. Wanasahau vilio vya wabongo kipindi kile na hiki ni dhidi ya utekaji, ukosefu wa demokrasia na uhuru wa kuropoka ovyoovyo.
Anyway anti CCM hamjawahi kumsapoti Mwendazake enzi zake. Tena yeye alikuwa na nguvu nyingi! Mngejaribu hili la vurugu na alisema ole wake atakaejaribu.Ni Nini unafiki kuonesha mnapenda sana Hayati?
Nb. Kusema Bi mkubwa hajaleta maendeleo yoyote huo ni uwongo mkuu. Njoo Bongo boss utaona vile Kuna utofauti mkubwa kiuchumi, kijamii na kiteknolojia ndani ya enzi yake hii.