Mpongeze wewe na ukoo wako inatosha.!Mpe pongezi mh Rais wetu kwa kazi kubwa anayoifanya, husikii wenzetu wanavyolia Hali ngumu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpongeze wewe na ukoo wako inatosha.!Mpe pongezi mh Rais wetu kwa kazi kubwa anayoifanya, husikii wenzetu wanavyolia Hali ngumu,
Mimi na ukoo wangu na watanzania wengi tunaendelea kumpongeza mh Rais wetu kwa kazi kubwa anayofanya, huku niliko tayari mbolea ya Ruzuku umeshapika, huku Ni pongezi tu kwa mh Rais wetuMpongeze wewe na ukoo wako inatosha.!
Namba ya simu umesahauNdugu zangu, wanasema uchumi mzuri Ni ule unao gusa maisha ya watu wengi, ukimfuatilia vizuri mh Rais wetu utagundua kuwa Anajenga uchumi wenye kumgusa kila mtanzania.
Kwanza mh Rais ametambua kuwa kilimo ndio secta iliyo ajiri watanzania wengi wa makundi tofauti tofauti, Hivyo juhudi zozote za kuujenga uchumi wetu Ni sharti ukipe kipaombele kilimo, Ndio maana unaona ongezeko la bajeti katika wizara ya kilimo Na hata utoaji wa Ruzuku takribani billioni 150, hii inakwenda kuchochea uzalishaji, lakini pia kundi kubwa linakwenda kuguswa kupitia mipango hii ya Rais wetu mpendwa.
Mh Rais wetu Amedhamilia kuhakikisha kuwa katika kujenga uchumi wetu Hakuna mtu au kundi lolote linaloachwa nyuma au kusahaulika, Hali hii inajidhihilisha kwa namna anavyojenga miradi mbalimbali inayogusa maisha ya watu hasa wanyonge, ndio maana unaona miradi Kama shule, vituo vya Afya,zahanati,huduma za maji na umeme vikitamalaki kila Kona ya nchi hii.
Rais wetu pia anajitahidi kuhakikisha kuwa mfumuko wa Bei unaoikumba Dunia unapunguzwa kwa kuweka Ruzuku kwenye mafuta ambayo Ni injini ya uchumi wetu, ndio maana unaona akitoa karibu billioni Mia moja kila mwezi.
Rais Samia mama yetu Atakumbukwa Sana akimaliza uongozi wake 2030 kwa kujenga uchumi unaogusa watanzania hasa wakipato Cha chini, kazi ya serikali Ni kusaidia watu kunyanyuka kiuchumi, kazi ambayo mh Rais wetu anaifanya vyema Sana.
Mama hakika yupo kazini, Tunamuhitaji mama aendelee kututumikia Hadi 2030, ndio tutajuwa tufanye Nini akitufikisha hapo, kikubwa tunaendelea kumuombea uzima na Afya njema.
Acheni pambio, Mama anatuweka kwenye hali mbaya zaidi deni lenyewe tu ndani ya mwaka mmoja linatisha na bado anadai mitano tena miradi mkakati inasuasua ilikuwa sasa hivi bwawa limemalizika na Maji yanajazwa, reli inasuasua.
Watu hawampi ukweli hali mbaya manunguniko ni mengi. Kama ana mizania namshauri asihangaike na mitano tena.
Niweke Namba ya simu kwa ajili ya niniNamba ya simu umesahau
Niweke Namba ya simu kwa ajili ya nini
Weka kwanza utanishukuru Badae
Mkuu sijui labda mi sijui. Je unajua Mama mtizamo wake hasi juu ya Dkt Magufuli umelighalimu hili taifa kwa kuwa na maisha magumu? Hiyo ni yake yeye Mama kama yeye. Sijui labda hapo baadaye. Ila kwa sasa Mama hajaleta unafuu zaidi ya kufanya bei ya mchele kubakia zaidi ya 2400 kwa kilo.Ndugu zangu, wanasema uchumi mzuri Ni ule unao gusa maisha ya watu wengi, ukimfuatilia vizuri mh Rais wetu utagundua kuwa Anajenga uchumi wenye kumgusa kila mtanzania.
Kwanza mh Rais ametambua kuwa kilimo ndio secta iliyo ajiri watanzania wengi wa makundi tofauti tofauti, Hivyo juhudi zozote za kuujenga uchumi wetu Ni sharti ukipe kipaombele kilimo, Ndio maana unaona ongezeko la bajeti katika wizara ya kilimo Na hata utoaji wa Ruzuku takribani billioni 150, hii inakwenda kuchochea uzalishaji, lakini pia kundi kubwa linakwenda kuguswa kupitia mipango hii ya Rais wetu mpendwa.
Mh Rais wetu Amedhamilia kuhakikisha kuwa katika kujenga uchumi wetu Hakuna mtu au kundi lolote linaloachwa nyuma au kusahaulika, Hali hii inajidhihilisha kwa namna anavyojenga miradi mbalimbali inayogusa maisha ya watu hasa wanyonge, ndio maana unaona miradi Kama shule, vituo vya Afya,zahanati,huduma za maji na umeme vikitamalaki kila Kona ya nchi hii.
Rais wetu pia anajitahidi kuhakikisha kuwa mfumuko wa Bei unaoikumba Dunia unapunguzwa kwa kuweka Ruzuku kwenye mafuta ambayo Ni injini ya uchumi wetu, ndio maana unaona akitoa karibu billioni Mia moja kila mwezi.
Rais Samia mama yetu Atakumbukwa Sana akimaliza uongozi wake 2030 kwa kujenga uchumi unaogusa watanzania hasa wakipato Cha chini, kazi ya serikali Ni kusaidia watu kunyanyuka kiuchumi, kazi ambayo mh Rais wetu anaifanya vyema Sana.
Mama hakika yupo kazini, Tunamuhitaji mama aendelee kututumikia Hadi 2030, ndio tutajuwa tufanye Nini akitufikisha hapo, kikubwa tunaendelea kumuombea uzima na Afya njema.
Unatia huruma na kinyaaa eti "mh rais wetu'" unajinyenyekesha kwa binadamu mwenzio, kuliko ata muumba wako ovyo kabisaLazima ujuwe Mambo yanabadilika, acha kukalili, wewe unafikiri Bei zimepanda Tanzania pekee, mh Rais wetu amejitahidi Sana ukiangalia Hali Ilivyo kwa Sasa duniani kwote, lakini pia mh Rais amefanya juhudi kubwa kuvuta wawekezaji wa viwanda vya mbolea ili waje kuwekeza hapa nchini
Unatafuta kazi au afu kumbuka unafiki ni dhambiNdugu zangu, wanasema uchumi mzuri Ni ule unao gusa maisha ya watu wengi, ukimfuatilia vizuri mh Rais wetu utagundua kuwa Anajenga uchumi wenye kumgusa kila mtanzania.
Kwanza mh Rais ametambua kuwa kilimo ndio secta iliyo ajiri watanzania wengi wa makundi tofauti tofauti, Hivyo juhudi zozote za kuujenga uchumi wetu Ni sharti ukipe kipaombele kilimo, Ndio maana unaona ongezeko la bajeti katika wizara ya kilimo Na hata utoaji wa Ruzuku takribani billioni 150, hii inakwenda kuchochea uzalishaji, lakini pia kundi kubwa linakwenda kuguswa kupitia mipango hii ya Rais wetu mpendwa.
Mh Rais wetu Amedhamilia kuhakikisha kuwa katika kujenga uchumi wetu Hakuna mtu au kundi lolote linaloachwa nyuma au kusahaulika, Hali hii inajidhihilisha kwa namna anavyojenga miradi mbalimbali inayogusa maisha ya watu hasa wanyonge, ndio maana unaona miradi Kama shule, vituo vya Afya,zahanati,huduma za maji na umeme vikitamalaki kila Kona ya nchi hii.
Rais wetu pia anajitahidi kuhakikisha kuwa mfumuko wa Bei unaoikumba Dunia unapunguzwa kwa kuweka Ruzuku kwenye mafuta ambayo Ni injini ya uchumi wetu, ndio maana unaona akitoa karibu billioni Mia moja kila mwezi.
Rais Samia mama yetu Atakumbukwa Sana akimaliza uongozi wake 2030 kwa kujenga uchumi unaogusa watanzania hasa wakipato Cha chini, kazi ya serikali Ni kusaidia watu kunyanyuka kiuchumi, kazi ambayo mh Rais wetu anaifanya vyema Sana.
Mama hakika yupo kazini, Tunamuhitaji mama aendelee kututumikia Hadi 2030, ndio tutajuwa tufanye Nini akitufikisha hapo, kikubwa tunaendelea kumuombea uzima na Afya njema.
Chawa katika ubora wakeNdugu zangu, wanasema uchumi mzuri Ni ule unao gusa maisha ya watu wengi, ukimfuatilia vizuri mh Rais wetu utagundua kuwa Anajenga uchumi wenye kumgusa kila mtanzania.
Kwanza mh Rais ametambua kuwa kilimo ndio secta iliyo ajiri watanzania wengi wa makundi tofauti tofauti, Hivyo juhudi zozote za kuujenga uchumi wetu Ni sharti ukipe kipaombele kilimo, Ndio maana unaona ongezeko la bajeti katika wizara ya kilimo Na hata utoaji wa Ruzuku takribani billioni 150, hii inakwenda kuchochea uzalishaji, lakini pia kundi kubwa linakwenda kuguswa kupitia mipango hii ya Rais wetu mpendwa.
Mh Rais wetu Amedhamilia kuhakikisha kuwa katika kujenga uchumi wetu Hakuna mtu au kundi lolote linaloachwa nyuma au kusahaulika, Hali hii inajidhihilisha kwa namna anavyojenga miradi mbalimbali inayogusa maisha ya watu hasa wanyonge, ndio maana unaona miradi Kama shule, vituo vya Afya,zahanati,huduma za maji na umeme vikitamalaki kila Kona ya nchi hii.
Rais wetu pia anajitahidi kuhakikisha kuwa mfumuko wa Bei unaoikumba Dunia unapunguzwa kwa kuweka Ruzuku kwenye mafuta ambayo Ni injini ya uchumi wetu, ndio maana unaona akitoa karibu billioni Mia moja kila mwezi.
Rais Samia mama yetu Atakumbukwa Sana akimaliza uongozi wake 2030 kwa kujenga uchumi unaogusa watanzania hasa wakipato Cha chini, kazi ya serikali Ni kusaidia watu kunyanyuka kiuchumi, kazi ambayo mh Rais wetu anaifanya vyema Sana.
Mama hakika yupo kazini, Tunamuhitaji mama aendelee kututumikia Hadi 2030, ndio tutajuwa tufanye Nini akitufikisha hapo, kikubwa tunaendelea kumuombea uzima na Afya njema.
KabisaWaanzisha nyuzi kama hizi wanatutafutia dhambi kwa nguvu
Jinsia yako inaonekana niya kikeNiweke Namba ya simu kwa ajili ya nini
Mimi naweka Yale mazuri aliyofanya mh Rais wetu na namna watanzania wanavyoendelea kumuunga mkono mh Rais, huku niliko wakulima wanasema watafanya kazi ya kumpigia kampenii mh Rais ili asihangaike kuzunguka,
wamefurahishwa na namna mbolea za Ruzuku zilivyo wahi kufika hata kabla ya kuanza msimu mpya, wanasema hakika mh Rais Ni msikivu na amesikia kilio chao na kugusa maisha yao
Hakuna ruzuku inayowekwa ila ni aina ya kutafuna pesa za walipa kodi kwa kisingizio kisichoaminisha chochote, ulaghai mtupuUchumi wa watanzania wengi unategemea secta ya kilimo ambako huko utakuta mh Rais ameweka mkono wake wa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini ili mkulima amudu Bei za mbolea, hii itamsaidia mkulima kukuza kipato chake na uchumi wake kwa kuwa uzalishaji utaongezeka
Hapo Kama ana mtoto akienda shule anakuta Elimu bure kwa kuwa mh Rais ni Rais mwenye huruma anayetaka kuona watoto wa wananchi wanyonge nao wanapata fursa ya Elimu bila shida,sasa hapo hajasaidia au unataka Rais wetu afanye Nini ndio ulizike wewe
Hata mbwa ula makombo ya bosi wake 🦮🦮🦮Mimi naweka Yale mazuri aliyofanya mh Rais wetu na namna watanzania wanavyoendelea kumuunga mkono mh Rais, huku niliko wakulima wanasema watafanya kazi ya kumpigia kampenii mh Rais ili asihangaike kuzunguka,
wamefurahishwa na namna mbolea za Ruzuku zilivyo wahi kufika hata kabla ya kuanza msimu mpya, wanasema hakika mh Rais Ni msikivu na amesikia kilio chao na kugusa maisha yao
Kazi anayoifanya mh Rais Ni kubwa Sana, Anastahili pongezi zetu , Anastahili kuungwa mkono, Anastahili kupewa faraja, Ameliheshimisha Taifa hili, amejenga umoja wa kitaifa, amewaleta watanzania kwa pamoja, amevunja uadui wa kivyama, ameijenga misingi ya kuelewana na kuaminiana,Hata mbwa ula makombo ya bosi wake 🦮🦮🦮