Rais Samia atakumbukwa kwa kujenga uchumi unaowagusa Watanzania

Rais Samia atakumbukwa kwa kujenga uchumi unaowagusa Watanzania

Mama amefanya Mambo makubwa mpaka watanzania wamebaki hawana neno na mh Rais wetu Zaid ya kusubiri kuja kumpa kura Kama sehemu ya kuhitaji utumishi wake kwa miaka mingine mitano
Mkuu usisumbuke na walamba asali wamepoteza dira kwa kuoneshwa kitita cha peshee
 
Huyu mama ataendelea kujua rangi za Watanzania, akitoka madarakani,nadhani hakujifunza kwa Magu.Kama JPM alipondwa vile na alikua vile, huyu mama itakuaje? Aisee.
Nilitabiri kuwa mama ataishia kubaya sana kuliko viongozi wote tz maana anakwenda kuchukiwa kuliko kikwete.
 
😁😁😁😁🏋️
Matusi siyo jadi yangu na siwezi nika
Nilitabiri kuwa mama ataishia kubaya sana kuliko viongozi wote tz maana anakwenda kuchukiwa kuliko kikwete.
Kwa Taarifa yako Ni kuwa huyu ndio Rais atakayekumbukwa Sana na watanzania atakapokuwa anamaliza muda wake 2030, huyu Ni Rais atakayekumbukwa kwa ushupavu wa uongozi wake katika kuwatumikia watanzania

Atakumbukwa kwa kujenga uchumi unaomgusa kila mtanzania, Atakumbukwa kwa kumfanya kila mtanzania ajionee fahari kuitwa mtanzania na kwamba anajiona anayonafasi katika kulijenga Taifa letu, Atakumbukwa kwa namna alivyoliunganisha Taifa letu na namna alivyojenga umoja na mshikamano wakitaifa, Atakumbukwa kwa namna alivyoituliza nchi na kuiendesha na kutuongoza kwa amani na utulivu mkubwa sana
 
Back
Top Bottom