Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #41
Kazi anayoifanya mh Rais Ni kubwa Sana, Anastahili pongezi zetu , Anastahili kuungwa mkono, Anastahili kupewa faraja, Ameliheshimisha Taifa hili, amejenga umoja wa kitaifa, amewaleta watanzania kwa pamoja, amevunja uadui wa kivyama, ameijenga misingi ya kuelewana na kuaminiana,Hata mbwa ula makombo ya bosi wake 🦮🦮🦮
Amefanya kila mtu ajisikie Anayo nafasi katika ujenzi wa nchi hii, Najivunia kuongozwa na mh Rais mama Samia suluhu Hassani Kama Rais wa nchi, Kama kijana na Kama mwananchi panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu mtoa njia na maarifa, anayetoa uzima na kumjalia mtu Afya njema nitakuja kuwasimulia watu juu ya ushupavu wa uongozi wa mh Rais wetu aliouonyesha tangia aliposhika na kuapishwa katikati ya majonzi ya kuondokewa na Rais aliyekuwa madarakani na namna alivyoibeba nchi katika mabega yake bila kuteteleka,