Rais Samia atakumbukwa kwa kujenga uchumi unaowagusa Watanzania

Hata mbwa ula makombo ya bosi wake 🦮🦮🦮
Kazi anayoifanya mh Rais Ni kubwa Sana, Anastahili pongezi zetu , Anastahili kuungwa mkono, Anastahili kupewa faraja, Ameliheshimisha Taifa hili, amejenga umoja wa kitaifa, amewaleta watanzania kwa pamoja, amevunja uadui wa kivyama, ameijenga misingi ya kuelewana na kuaminiana,

Amefanya kila mtu ajisikie Anayo nafasi katika ujenzi wa nchi hii, Najivunia kuongozwa na mh Rais mama Samia suluhu Hassani Kama Rais wa nchi, Kama kijana na Kama mwananchi panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu mtoa njia na maarifa, anayetoa uzima na kumjalia mtu Afya njema nitakuja kuwasimulia watu juu ya ushupavu wa uongozi wa mh Rais wetu aliouonyesha tangia aliposhika na kuapishwa katikati ya majonzi ya kuondokewa na Rais aliyekuwa madarakani na namna alivyoibeba nchi katika mabega yake bila kuteteleka,
 
Lucas mwashambwa, ficha ujinga wako uone hata aibu kidogo...mwenye akili, japo cha kujazia kijiko cha chai akivuliwa nguo huchutama, wewe ndio unazidi kutanua, ebo! Hii ni Jamii Forums kijana...!
 
Lucas mwashambwa, ficha ujinga wako uone hata aibu kidogo...mwenye akili, japo cha kujazia kijiko cha chai akivuliwa nguo huchutama, wewe ndio unazidi kutanua, ebo! Hii ni Jamii Forums kijana...!
Kipi unachoona nilichozungmza ambacho hajakifanya mh Rais, hivi unafuatilia uchumi wa Dunia inavyokwenda, hivi unafuatilia Hali ya kimaisha katika nchi nyingine, hivi unajuwa ugonjwa wa Corona pamoja na Vita vya ukraein vimeathiri Sana uchumi wa Dunia, hivi umefuatilia hatua zinazochikuliwa na wakuu wa nchi na serikali mbali mbali duniani, hivi umeona Hali zilivyo hata kwa majirani zetu,

hakika Kama umefuatilia hayo yote niliyokuuliza Basi Kama huna kinyongo na mh Rais wetu naamini utampongeza kwa hatua alizozichukua katika kunusuru uchumi wetu na uchumi wa mwananchi mmoja mmoja
 
B
Hakuna ruzuku inayowekwa ila ni aina ya kutafuna pesa za walipa kodi kwa kisingizio kisichoaminisha chochote, ulaghai mtupu
Napata shaka na wasiwasi na wewe Kama huwezi ukaona kuwa alichokifanya mh Rais wetu katika suala la mbolea limeleta ahueni ya Bei ya mbolea, au jaribu kwenda dukani hata Sasa ukaulize Bei ya mbolea ya DAP Ni shilingi ngapi kwa Sasa na itakuwa shilling ngapi baada ya Ruzuku,

Naamini ikirudi hapa utakuja kumpongeza mh Rais kwa juhudi zake kubwa katika kumsaidia mkulima kuweza kumudu Bei na kuongeza uzalishaji na hatimaye kukuza na kuinuka kiuchumi
 
Wakulima sio watu wa kuwaamini sana

Wakati wa Jk alisifia Kilimo kwanza, wakati wa magu walisifia Sana na wakasema hakuna kama yy

Now wanasema mama ndio kila kitu

Usiwaamini sana
Wameona Bei ya mbolea ilivyo kuwa mwaka Jana na itakavyokuwa mwaka huu baada ya mh Rais wetu kutoa Ruzuku,

ndio maana wamefurahi na kumshukuru Sana mh Rais wetu, wanasema hakika mh Rais wetu amesikiliza kilio chao na Amegusa mioyo yao kwa kuwa kilimo ndio pumzi yao na uhai wao
 
Ungekuwa mtaani ungechapwa makofi wewe!
 
Ungekuwa mtaani ungechapwa makofi wewe!
Ndiko niliko huku mtaani na ndiko nakoona namna mh Rais wetu anavyokubalika, kwani huko uliko wewe Ni Nini mh Rais wetu ambacho unaona hajafikisha huko kwenu, huduma za kijamii hamzioni huko uliko,
 
Chawa katika ubora wake
Kama kusema kile nachokiona na kukisikia na kukishuhudia huku mtaani niliko ambako wakulima wanaendelea kumpongeza mh Rais wetu kwa kuwahisha mbolea ya Ruzuku kwa wakati hata kabla ya msimu mpya kuanza, ndio wewe unasema Ni uchawa Basi naomba niitwe tu chawa mkuu wa mh Rais mama Samia suluhu Hassani katika kueleza uhalisia wa Yale aliyoyafanya yanayogusa maisha ya wananchi wanyonge

Kumbuka na fikiria namna kilimo kilivyo ajiri kundi kubwa la watanzania halafu Hilo kundi ndilo mh Rais wetu kaenda kuligusa kwa kutoa Ruzuku, unafikiri mioyo ya watanzania inafuraha Kias gani juu ya mh Rais wetu kwa Sasa

Sisi wakulima tunamuunga mkono Sana mh Rais wetu kwa juhudi zake katika kuinua kilimo na mkulima, Tunafurahi kuona mh Rais wetu akipigana ili nasi wakulima tufaidi jasho letu, siyo wakulima tuhangaike kutwa nzima juani na kwenye mvua halafu waje watu waliokaa kimvulini ndio wafaidi jasho letu

Mkulima mwaka huu anafuraha maana Bei ilikuwa nzuri tangia wakati wa mavuno ukilinganisha na miaka mingine ambapo wakati wa mavuno huwa chini na hivyo mkulima kuuza kwa Bei ya hasara na kuja kununua kwa Bei ya juu
 
Unatafuta kazi au afu kumbuka unafiki ni dhambi
Naelezea Mambo makubwa aliyoyafanya mh Rais wetu katika uongozi wake namna anavyo endelea kugusa maisha ya watanzania, naelezea namna pia wakulima walivyo furahishwa na kitendo Cha mh Rais wetu kutoa Ruzuku na kuiwahisha kufika katika maeneo yetu ili tuanze kufanya maandalizi mapema ya msimu mpya

Kilimo ndio pumzi yetu, ukiinua kilimo umetupatia pumzi iliyo Safi na mpya na kutufanya tupate nguvu mpya, hivyo katika Hilo tunamshukuru Sana mh Rais wetu kwa kutujali wakulima secta iliyoajiri kundi kubwa la watanzania, hivyo kwa kufanya hivyo ametugusa watanzania Tulio wengi Tunakutegemea kilimo Kuendesha maisha yetu,

Kilimo Ni biashara, Tumuunge mkono Rais wetu katika juhudi zake za kutukwamua kimaisha
 
Mshamba na Mwashambwa Ni kitu kimoja!
 

Hiyo ruzuku ndio watu wanalalamika makato sasa,

Na tozo zinakuwa nyingi, now dar to Dom ni elf 30

Kwenye bei za mchele unga mafuta ndio isiguse, elf kumi now ni kama miatano tu

So wakati wao wanafurahi wengine wanaumia Kwa ajili yao tena ni kundi kubwa
 
Siasa ni mchezo mchafu
 
Hili Ni lifisiemu tuu, Wala lisikuumize kichwa
CCM Ni chama kiongozi,CCM Ni chama kilichobeba matumaini ya watanzania,CCM Ni chama kilichobeba Iman ya watanzania katika kuwatumikia na kuwaletea maendeleo,CCM Ni chama chenye Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watanzania

CCM Ni chama chenye dira na muelekeo unaoeleweka, CCM Ni chama sikivu na ndicho chama Cha Hayati baba wa Taifa mwalimu Nyerere
 

Haya unayoongea ni Sawa kabisa

Because it's like unasifia Mfuko wa nyuma wa suruali yako ni mzuri na mwema kuliko Mfuko wa mbele wakati nguo ni moja
 
Maake hapo kwanza nchekee
 
Naona
Huyu shoga asipojiangalia atatatuliwa marinda soon
Naona umeishiwa hoja umeanza matusi, hata hivyo Mimi nawaheshimu hata ninao tofautiana nao mtazamo maana Naheshimu utu wa mtu, wewe Kama binadamu unastahili heshima na siyo kudhalilishwa utu wako

Mungu akupe hekima na moyo wa upendo, Mimi hata unitukane vipi siwezi nikafungua mdomo wangu Wala kuandika matusi hapa juu yako, Sina kisasi Wala chuki nawe, nitaendelea kuheshimu michango yako hata Kama sikubaliani nayo nitaichukulia Kama maoni yako binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…