Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Kwa tozo hizi na bei ya vyakula ,,,Kazi za mh Rais zitasimama kumtetea na kumsemea hata Kama tusipomsemea, lakini Mimi nitaendelea kumsemea Rais wangu popote pale
Mkuu usisumbuke na walamba asali wamepoteza dira kwa kuoneshwa kitita cha peshee
Nilitabiri kuwa mama ataishia kubaya sana kuliko viongozi wote tz maana anakwenda kuchukiwa kuliko kikwete.Huyu mama ataendelea kujua rangi za Watanzania, akitoka madarakani,nadhani hakujifunza kwa Magu.Kama JPM alipondwa vile na alikua vile, huyu mama itakuaje? Aisee.
Matusi siyo jadi yangu na siwezi nikaππππποΈ
Kwa Taarifa yako Ni kuwa huyu ndio Rais atakayekumbukwa Sana na watanzania atakapokuwa anamaliza muda wake 2030, huyu Ni Rais atakayekumbukwa kwa ushupavu wa uongozi wake katika kuwatumikia watanzaniaNilitabiri kuwa mama ataishia kubaya sana kuliko viongozi wote tz maana anakwenda kuchukiwa kuliko kikwete.
AminaNdugu zangu wana JF tuungane kwa pamoja kuacha kuchangia nyuzi za aina hii.